Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.
A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.
Ndo hivyo enyi haters, historia inaendelea kuandikwa..........kwa kifupi, enyi haters mtayamaliza maji yenu yote makali yanayotengenezwa na maini sababu ya mafanikio ya mumchukiae!! Yatadondokea kwenye utumbo mpate vidonda vya tumbo.
Samia ni level zingine.
Marais wote waliopita kuanzia Mwl Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli hawa wote licha ya kwamba si wote walikuwa wanawakubali lakini kuna baadhi ya maeneo walikuwa wapo competent mpaka hata wale waliokuwa wanawapinga wanashusha silaha chini na kukiri kwenye eneo fulani wapo vizuri ...
Hivi Kombo anatuchukulia sisi watani zake eeeeh? :BearLaugh::BearLaugh: Halafu hapo hapo anakwambia tumewaalika Maseneta waje wahakikishe kama hatuuani kidini! Sasa kama walielewa somo kwanini mmewaalika?
Halafu hivi Maseneta walisema nchini kuna vita ya kidini? Serikali kuambiwa mnakandimiza...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema kuwa siku za hivi karibuni Rais Samia amekuwa akisemwa na kuchorwa sana na lawama zote kupewa yeye kutokana na matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi, wakati rais alifanya kazi kubwa ya kikatiba...
Pamoja na kuwa bado utakuwa na kibarua kigumu kuhusu yaliyotokea October 29th 2025, bado unaweza kuonesha remorse and a road to a fresh start kwa yaliyotokea 29th October 2025 kwa kumwachia Lisu as a good gesture to a road to truth, accountability and finally reconciliation.
Hao wanaokushauri...
Wanabodi
Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo ni makala ya kuhimiza uzalendo kwa kutanguliza maslahi ya Taifa mbeli, kwa kumtia Moyo Rais Samia, na Watanzania, tusikubali vitisho vyoyote kutoka kwa nchi yoyote, kuingilia sovereignity yetu, na kutolea mfano Rais...
Museveni aliyempa maharamia ya kuja kuua watoto wa Tanganyika yeye alimaliza Uchaguzi uliokuwa na mikiki mikiki yote lakini hakuua hata mbu.
Kagame alishangaa unawezaje kuua watu ambao kimsingi unapaswa kuwalinda ili kupata madaraka? Na ndiyo sababu yeye na vijana wadogo wa Rwanda nyakati hizo...
Hilo Kundi linadai kua 'Mali zao na Fedha walizipata tangu za Nyerére, Mwingi, Mkapa, Kikwete, Magufuli.
Kundi hili linasema kwa namna yoyote, Mali na Fedha zao hazina uhusiano na SAMIA.
Kundi hili Mwisho linasema "Sisi hatuhusiki na Utekaji, Wala Mauaji ya RAIA Wala Mauaji ya Vijana ,akinà...
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anataka haki na uadilifu.
■Aapisha majaji wa rufaa, awakumbusha pia uzalendo
■Asisitiza kuepuka upendeleo, kuwa na hofu ya Mungu
■Asema duniani ukiacha Mungu, dhamana kubwa ni yao
Ndugu zangu Watanzania,
Ukiona na Unapoona Rais wetu Mpendwa anaunda Tume Kuchunguza Kila Tukiona linalohusu Kupoteza Uhai wa Mtanzania yeyote yule ni kwa sababu Rais wetu anajali Maisha ya watanzania na Mtanzania mmoja mmoja. Ni kwa sababu Anataka kila mmoja Aishi Mpaka pale Mungu atakapoamua...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassana akiapisha Majaji 9 wa Mahakama ya Rufani aliowateua leo Mei 26, 2026, amesema Serikali itaendelea kuchukua hatua kuimarisha uwezo wa Mahakama za Tanzania ili kusimamia ufanisi wa utoaji haki
"Tumefanya mengine mengi na nyinyi ni...
"Kwa kutambua umuhimu wa haki kama misingi ya amani, utulivu, lakini pia maendeleo ya taifa letu, na ustawi wa wananchi kwa ujumla. Haki ndiyo inayo-prevail katika hayo yote hayo. Nendeni mkae"
Hayo yamesemwa na Rais Samia Leo, Mei 26,2026 wakati akiwaapisha Majaji aliowateua hivi karibuni...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 26 Mei, 2026, amewaapisha Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania aliowateua hivi karibuni kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani.
Majaji walioapishwa ni
(i) Mhe. Imani Daud Aboud;
(ii) Mhe. Rabia Hussein Mohamed...
You were one of my favorite politician by whatever yard stick measure.
Je ungelikuwa umepewa nafasi za ULAJI CCM, je ungelitoka CCM kwa sababu ya kukelwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu za CCM?
NAOMBA jibu
Mchungaji Peter Msigwa
Soma pia
Peter Msigwa: Baada ya mauaji ya Oktoba 29...
Huwezi kuacha kujiuliza hili swali.
Kwa matukio ya hivi karibuni, hasa hili la jaribio la kutekwa kwa kada wa CHADEMA aitwaye Jumbe, wengi tumejiuliza.
Watekaji inasemekana walikuwa na lafudhi isiyopingika ya watu wa visiwani.
Inaelekea ni vijana wa vyombo vya ulinzi na usalama , maana...