samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli ripoti ya Chande ni kituko! Aibu kwa Samia

    Hakuna hata idara yeyote inayo aminika imepongeza ripoti fake ya judge Chande. Ni mbaya kiasi kwamba imewaharibia hata washikiri wake kuaminika kimataifa hasa Sefue na Mwema wamekuwa wanajificha maana ni aibu kubwa. Kusema vijana walikufa walichomwa na mikuki, utekaji ni mambo ya...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rekodi ya Karne: Rais Samia Ahudhuria Kikao Cha Shina Chamwino Dodoma kilichoitishwa Na Balozi Wa CCM Shina.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Ameonyesha unyenyekevu wa kiwango cha Juu sana ambacho hakijawahi kutokea. Hii Ni Baada ya Kuhudhuria kikao cha Shina kilichoitishwa na Balozi wa Shina Chamwino...
  3. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Je Tatizo ni Ruto au Samia ?

    Kabla ya Rais kwenda mahali kunakuwa na communication nyingi na Objectif ya Safari. Ya Kwamba Samia was not informed in advance juu ya project ya Tanga - inaacha maswali mengi juu ya Idara ya Usalama wa Taifa na Taasisi ya Ikulu Na Kama ni kweli ilikuwa hivyo: it was supposed to be indoors...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati Afrika Mashariki Wambana Samia Kuhusu Mikwaju Yake

    https://m.youtube.com/watch?v=sYN-FCrYapU Watoa waraka mzito kulaani matamshi ya hivi karibuni kuhusu kuwashughulikia raia wa Afrika ya Mashariki watakaotumia uhuru wao kupinga tawala Hii inakuja baada ya Samia Hassan kuchagiza kuwa lazima kuwepo na mikono ya sheria ya serikali haramu...
  5. Traxtion

    JamiiForums Tanzania The Samia Authoritarian Dictionary

    Maria Sarungi ameandika jinsi ubongo wa Samia unavyotafsiri maneno. Hii ndio kamusi ya Samia In Samia Suluhu's authoritarian dictionary Criticism of her = wananitukana Protests/ Maandamano = kufanya fujo To kill, abduct and torture = kuchapa mikwaju Freedom of expression = nywinywinywi...
  6. Course Coordinator1

    JamiiForums Tanzania Samia punguza kiburi cha madaraka, anguko lako litakuwa la aibu

    Namkumbusha Samia Suluhu Hassan Samia uache kiburi na majivuno ya madaraka ubaki kuwa mnyenyekevu kwa wananchi. Samia sikiliza wananchi. Samia , jambo la Oktoba 29 litabaki kuwa kovu na doa katika maisha yako milele hadi unakufa. Samia, hakuna Rais aliyewahi kuua watu mwenyewe kwa uroho wa...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waikosoa vikali kauli ya Rais Samia ya "kukamatwa na kuwachapa mikwaju wanaharakati"

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesikitishwa na kauli ya ndugu Samia Suluhu Hassan aliyoitoa hivi karibuni kwa Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mheshimiwa William Samoei Ruto. Ndugu Samia alimtaka Rais Ruto awakamate na kuwachapa mikwaju wanaharakati mwanaotoka Tanzania na akasema kuwa...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Raia wa Burundi akamatwa kwa kujifanya msaidizi wa Rais Samia

    Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora limemkamata Gadiel Lameck Mtema (45) raia wa Burundi kwa tuhuma za kujifanya msaidizi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kitengo cha maombi ya ufadhili na udhamini na kufanya jaribio la kuwatapeli shilingi milioni 15 viongozi wa kanisa la EAGT Kidatu mkoani humo, kwa...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Anajilisha upepo tu, kile kikohozi ni ishara ya misukosuko na shinikizo anazojikakamua kukabiliana nazo

    Watu ambao hukabiliwa na msongo wa mawazo na wanaohofia au kujua jambo baya linalokaribia kuwakuta kwa kawaida ni waongeaji sana, wabwatukaji sana. Hata kama unauguza mgonjwa, siku ukiona anaongea sana na kupenda kula kaa chonjo. Huwa siyo bahati mbaya, ni namna yao kujifariji kuwa kila kitu...
  10. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mkakati wa Kiuchumi Watikisa EAC

    HUYU MAMA(RAIS SAMIA)NI MTU HATARI SANA! George Michael Uledi. May 6,2026.12:10AM. (ON EMBARGO) Mara nyingi nyota ya mtu inabeba tabia zake za ndani za "kiungu" ambazo umtofautisha na mtu/binadamu mwingine katika dunia hii.Biblia inasema kwenye KITABU cha Zaburi👇🏽👇🏽 Zaburi 147:4 na Ayubu 9:9)...
  11. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais Samia anaamanisha au ni siasa uchwara?

    Kwa nini kama kweli, Mungu analaani WATUMISHI wasio timiza wajibu, wao iweje amwache aliyeua watu 518 kisa awe apo alipo atapewa Nini na Mungu? JE kwa Nini anaishi mpaka Leo?
  12. Ileje

    JamiiForums Tanzania Wakenya wamshukia Samia wanasema hawamuogopi!

    Wakenya wanasema wanamuogopa Mungu tu, Ruto ni mwajiriwa wao! https://twitter.com/MariaSTsehai/status/2051929840492920943?s=19
  13. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ni dhambi kubwa kupata cheo ukavimba mabega, ukapandisha ukawa untouchable, 'Wewe unanijua mimi nani? Who are you?'

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiapisha viongozi aliowateua leo Mei 6, 2026, Ikulu ya Chamwino Dodoma, ametoa onyo kali kwa viongozi wa umma dhidi ya tabia ya ujeuri na majivuno mara baada ya kupata madaraka. Akizungumza katika hafla iliyofanyika Ikulu, Rais Samia...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Samia: Ukiapa unaapa mbele ya Mungu, Serikali inaamrishwa tu kupitia Rais kwamba huyu ana haya na haya weka pembeni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka viongozi waliokula viapo vyao leo Mei 6, 2026 Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma, kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa uadilifu, akisisitiza kuwa kiapo ni ahadi nzito mbele ya Mungu. "ukiapa unaapa mbele ya Mungu. Hii...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Kitu kimoja kikubwa sana ambacho Kinafanya watanzania wengi kuupenda uongozi wa Rais Samia

    Mtindo wa Uongozi wa Maridhiano na Kusikiliza Kwa list fupi: 1. Kufungua nafasi ya siasa – Aliwaruhusu mikutano ya vyama, akaachia wanasiasa waliokuwa jela/uhamishoni 2. Kusamehe na kusikiliza – Kauli “msiniite mama” ilionyesha unyenyekevu, anakutana na makundi yote 3. Kupunguza uhasama –...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awaapisha viongozi aliowateua, leo Mei 6, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=J6rFxg187NY
  17. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Wakenya: Samia, sisi si kama watanzania, hatuogopi Ruto, si boss wetu. Kenya inahitaji mazuri zaidi ya Ruto

    Mama Samia kasema na kumwomba Ruto awashughulikie wapinzani huko Kenya kama yeye anvyowashughulikia huku Tanzania. Hii kauli si tu kuwa ni undiplomatic lakini ni kuingilia mambo ya ndani ya nchi jirani. Kwa viwango vyovyote si kauli ya kistaarabu kisiasa. Hapo ndio najiuliza kama speech writers...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli: Rais Ruto aliogopa kumualika Rais Samia

    William Ruto aligopa kumualika Rais Samia nchini Kenya kuongelea refinery ya Tanga kwasababu aliogopa atazomewa na vijana Kenya na maandamano yangekuwepo. Lakini kwa akili yake ndogo haelewi kwasababu anaishi kwa kujidanganya danganya. Mama Samia kwasasa amekuwa na umashahuri wa utekaji, wizi wa...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama ipo ipo tu; CCM na Rais Samia wanazidi kudharauliwa na Watanzania, CHADEMA inazidi kukubalika

    Ziara ya Drogba na Rais Ruto ina umuhimu gani kwa maisha ya mtanzania amabae anaishi kijihini ambapo maji na umeme ni tatizo kubwa. Mpaka sasa Watanzania wengi wanaoishi vijijini na hata miji mikubbwa kama Mwanza na Dar majji tatizo.. Ziara ya Ruto ina umuhomu gani kwa Tanzania. Ujenzi wa oil...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria mkuu wa Chadema atoa maamuzi ya kikao cha kamati kuu, yaitwanga vikali ripoti ya Jaji Chande, wamvaa Rais Samia

    05 May 2026 Maazimio ya Kamati kuu ya CHADEMA MWANASHERIA MKUU WA CHADEMA, ASOMA MAAMUZI YA KAMATI KUU YA CHADEMA WAIRARUA VIKALI RIPOTI YA JAJI CHANDE, WAMVAA RAIS SAMIA https://m.youtube.com/watch?v=WgE5hkLdB_s Kamati Kuu ya CHADEMA inasema imejiridhisha pasi kuwa na shaka kuwa...
Back
Top Bottom