Good morning, Samia haters!!!! Tanzania plays U-17 afcon final guys!!

Dr wa Manesi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2024
Posts
5,742
Reaction score
4,288
Ndo hivyo enyi haters, historia inaendelea kuandikwa..........kwa kifupi, enyi haters mtayamaliza maji yenu yote makali yanayotengenezwa na maini sababu ya mafanikio ya mumchukiae!! Yatadondokea kwenye utumbo mpate vidonda vya tumbo.

Samia ni level zingine.
 
Kama kwenye mafanikio ya Timu mnamsema Yeye ndio kafanikisha.

Basi na pale ambapo Timu ikifanya vibaya mseme yeye ndio kasababisha.

Simple as that.

Mm nishukuru tu TFF kwa kuratibu mpango wa kuendeleva vipaji na kujenga uwanja pale Tanga ambapo waliwakusanya hawa vijana na kuweka Kambi pale.
 
Ndo hivyo enyi haters, historia inaendelea kuandikwa..........kwa kifupi, enyi haters mtayamaliza maji yenu yote makali yanayotengenezwa na maini sababu ya mafanikio ya mumchukiae!! Yatadondokea kwenye utumbo mpate vidonda vya tumbo.

Samia ni level zingine.
Samia anachezea namba ngapi? Chawa mna hekaheka sana.
Vipi deni lake la matrilioni analilipaje au deni si lake ni la taifa?
Hivi alivyofanikiwa kuua Watanganyika furaha yake ilikuwaje siku hiyo na mass graves alizofukia Watanganyika ana mpango angalau wa kuwataarifu ndugu zao?
 
Aisee jamaa wapo kwenye tabu, si mchezo.
wana mafarakano ya kiroho na kisakolojia ya kiwango kibaya sana aise,

hakuna kizuri wala cha kupendeza kwao, yaani unaweza kumkuta jamaa yupo VIP kwenye sgr lakini roho inamuuma?🤣
 
Ndo hivyo enyi haters, historia inaendelea kuandikwa..........kwa kifupi, enyi haters mtayamaliza maji yenu yote makali yanayotengenezwa na maini sababu ya mafanikio ya mumchukiae!! Yatadondokea kwenye utumbo mpate vidonda vya tumbo.

Samia ni level zingine.
Hii mechi niliiangalia,wale vijana wetu wako vizuri sana.Sasa jumapili wanacheza fainali na senegal.Tuwaombee Mungu washinde hilo kombe
 
Ndo hivyo enyi haters, historia inaendelea kuandikwa..........kwa kifupi, enyi haters mtayamaliza maji yenu yote makali yanayotengenezwa na maini sababu ya mafanikio ya mumchukiae!! Yatadondokea kwenye utumbo mpate vidonda vya tumbo.

Samia ni level zingine.
😂😂😂😂
 
We chawa usitutoneshe vidonda.
Hatujasahau alivyotuulia wanetu wenye vipaji vya soccer kule Mwanza.

Tell her that we HATE her.
One day we gonna squeeze her sonophabitchly.
 
Ndo hivyo enyi haters, historia inaendelea kuandikwa..........kwa kifupi, enyi haters mtayamaliza maji yenu yote makali yanayotengenezwa na maini sababu ya mafanikio ya mumchukiae!! Yatadondokea kwenye utumbo mpate vidonda vya tumbo.

Samia ni level zingine.
Siku hizi anacheza mpira mwenyewe?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom