samia suluhu

Jamhuri ya muungano, kazi iendelee
Samia Hassan Suluhu (born 27 January 1960) is a Tanzanian CCM politician and the designated President of Tanzania, due to be sworn into office following the death of president John Magufuli on 17 March 2021. She became Tanzania's first female vice-President following the 2015 General election, after being elected on the CCM ticket along with president John Magufuli. Suluhu and Magufuli were reelected to a second term in 2020. Before her tenure as vice-president she served as the Member of Parliament for Makunduchi constituency from 2010 to 2015, and was also the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015.
Prior to this, she served as a minister in the semi-autonomous region of Zanzibar in the administration of President Amani Karume. In 2014, she was elected as the Vice Chairperson of the Constituent Assembly tasked with drafting the country's new constitution.

View More On Wikipedia.org
  1. chakii

    JamiiForums Tanzania UTENGUZI: Rais Samia awatumbua Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi TASAC, Posta na Posta Masta. Avunja Bodi ya Wakurugenzi Posta

    ..
  2. U

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Akutana na Rais Mstaafu wa Nigeria, Olesegun Obasanjo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani amekutana leo na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Nigeria Oluseguni Obasanjo. Taarifa zaidi kutolewa ======== Rais wa Jamhuri ya Muungano leo Mei 3, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Nigeria...
  3. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama Samia Suluhu karibu Nairobi, kweli umedhamiria kurekebisha

    Japo haya mataifa tumekua watani wa jadi, ila hatukuwahi kufikia kwenye kilele cha chuki ambacho tumeshuhudia miaka michache ya hivi majuzi, hongera sana mama, binafsi nitaacha shughuli zangu ili tu nikuone hata kama wapambe hawataruhusu tukukaribie sisi akina Yahaya wa mtaani...
  4. technically

    JamiiForums Tanzania Rais Samia achana na kuikumbatia CCM, fanya kazi zenye Maslahi mapana kwa Watanzania

    Hakika mimi uwa nasema ukweli bila sisi kama nchi kuacha kuishi ya Uongo uongo hakuna maendelea ambayo tutakuja kupata. Mama Samia alionekana ni mtu atakaye kuja kufanya mageuzi makubwa lakini nasikitika hakuna kitu chochote mpaka sasa ambacho amefanya. Kwanza alitoa ahadi ya ukaguzi maalumu...
  5. Chief Kabikula

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza Darasa la Saba waliofutwa kazi walipwe stahiki zao

    Hongera Rais , kwa kuamua kulipa haki zao stahiki Mungu akubaliki sana . Katika hotuba yake leo amesema watumishi wa darasa la na vyeti feki walikuwa wakichangia mifuko ya hifadhi ya jamii hivyo amewataka waajiri wote kuhitimisha utumishi wao kwa kuwalipa stahiki zao. ========= RAIS SAMIA...
  6. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Mapambano dhidi ya COVID-19: Rais Samia anayo dhamira ya kweli? Kinachoendelea India kinatisha

    Hivi ni kweli kabisa Rais Samia ana nia ya kweli ya kupambana na COVID-19? Sijui kama na nyie mnafuatilia yanayoendelea huko India sasa hivi! Akina Narendra Modi walikuwa huko West Bengal wanapiga kampeni za kisiasa utadhani hamna kesho. Ona sasa kilivyoumana. Sasa kweli hiyo kamati...
  7. mama D

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini na Watanzania, hiki ni kipindi cha kumuombea sana Rais wetu Sami zaidi kipindi kingine chochote

    Tukiwa tunapitia kipindi hiki cha mabadiliko ya ghafla ya uongozi wa juu wa nchi yetu ambayo hayakuhusisha uchaguzi. Watanzania tunatakiwa kusimama imara sana, tunatakiwa kuiangalia nchi na kuweka matakwa yetu binafsi kando, tunatakiwa kulinda tunu za taifa letu na kuweka itikadi zetu pembeni...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya Siku Kuu ya wafanyakazi duniani, nchini Tanzania Kauli Mbiu ya Mei Mosi 2021: “Masilahi Bora, Mishahara Juu, Kazi iendelee”

    Heri ya siku kuu ya wafanyakazi! Hii ni siku iliyobeba matumaini makubwa kwa wafanyakazi wote Tanzania. Baada ya kupandisha mishahara kwa mara ya mwisho July 2015 (by Kikwete) ni takribani miaka 6 sasa wafanyakazi wameambulia patupu. Matarajio kutoka kwa Rais: 1. Kuhimiza kufanya kazi kwa...
  9. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Nilichokiona leo Dodoma hakina afya kwa mustakabali mzima wa ustawi Taifa letu, tujirekebishe kwa maslahi mapana ya Taifa

    Wote tunafahamu msemo usemao umoja ni nguvu,na utengano ni udhaifu. Hakuna shaka yeyote kwamba penye mafarakano hakuna mafanikio. Bwana Yesu alipoambiwa kwamba anatoa pepo kwa kumtumia Belzebuli, alisema, "nyumba ikifitinika haiwezi kusimama!" Leo kule Dodoma nimeona nyumba ya mama Tanzania...
  10. Gamba la Nyoka

    JamiiForums Tanzania Wajumbe wa Mkutano Mkuu CCM Taifa, mchagueni Mama Samia kuwa mwenyekiti wa CCM na Ashraf Sadru Kiobya kuwa mjumbe wa NEC

    Ndugu Ashraf Sadru Kiobya Ndugu wajumbe wa mkutano mkuu CCM Taifa. Poleni kwa Safari na Majukumu mazito ya ujenzi wa Taifa na chama Naomba kuchukua nafasi hii kuwaombeni kwa unyenyekevu mkubwa mumchague Mama yetu, Rais wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan kuwa Mwenyekiti wa CCM. Mama Samia ni...
  11. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Mzee Jakaya Kikwete: Sina wasiwasi na uwezo wa Rais Samia Suluhu

    “Sina wasi wasi na uwezo wa Samia Suluhu kukiongoza chama (CCM), nina matumaini makubwa kwamba chama kitazidi kuimarika katika kipindi cha uongozi wake. Anakijua chama, amekuwa mjumbe wa NEC na Kamati Kuu kwa muda mrefu, yeye ni tunda la ndani ya chama” Rais Mstaafu Jakaya Kikwete "Tayari Samia...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Halmashauri Kuu ya CCM yampitisha Rais Samia Suluhu kuwania nafasi ya Uenyekiti wa Chama hicho

    Taarifa hii ni kwa Mujibu wa EATV , bado haijajulikana kama kwenye Mkutano Mkuu nako atapitishwa au vinginevyo . Bali kinachofahamika ni kwamba kupitishwa kwake kuwania nafasi hii ni hatua muhimu kuelekea kuchukua kiti hicho
  13. W

    JamiiForums Tanzania Twitter bila VPN yarejea nchini Tanzania

    Habari, kama mtakumbuka wakati wa uchanguzi mkuu wa mwaka uliopita kulipelekea kufungwa kwa mitandao ya kijamii na njia pekee ya kuifikia ilikupaswa uwe unatumia virtual private network (VPN) - a technology for protect private network over public network such as internet. Mara baada ya uchaguzi...
  14. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Unajua ni vigumu kiasi gani kwa Rais Samia Suluhu Hassan kufikia malengo yake

    Rais Samia Anaweza kuwa Rais Bora kabisa kutokea nchini Tanzania. Ila kinachotokea Sasa ni kama kila mtu anataka kuandika anachokiamini kwenye kitabu chake. Sasa kuna mnyukano mkubwa, CCM na wapinzani kila moja akitaka aende kwenye uelekeo wa kisiasa unaupa nafuu upande wake. Hata kesho...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan kwenye Mtego Mkubwa sana Mei Mosi hii ya mwaka 2021

    Kwanza kabisa haijajulikana kama Sherehe hizi yeye ndiye atakuwa mgeni Rasmi au nayo itapita kimya kimya kama ilivyokuwa jana Sherehe za Muungano kwa sababu ya kuomboleza Msiba Mkubwa wa Jiwe. Rais Samia ameamua kutojitenganisha na Hayati JPM - Mpango Kazi wa Mwaka 2020-2021 umejadiliwa lakini...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Askofu Niwemugizi amshauri Rais Samia Suluhu kuanza na Katiba Mpya

    Baba Askofu ameongea hayo alipokuwa anahojiwa na gazeti la Mwananchi. Amesema ni vema Rais Samia Suluhu akaanza na Katiba Mpya ili kutengeneza msingi imara wa Utawala bora ambao utazingatia haki. Ameahidi kukutana na Mh Rais ili kumpatia ujumbe huu haraka iwezekanavyo. ----- “Nikipata nafasi...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, mteue Zitto Zuberi Kabwe awe Mbunge akaongeze chachu ya hoja Bungeni

    Bunge letu linahitaji kuongezewa chachu ya aina fulani ili liweze kuichambua kikamilifu Miswada ya Serikali. Vile vile Bunge letu linahitaji Sauti ya Upinzani yenye kukubalika mbele ya jamii yetu ya Kitanzania. Kwa kuwa Kada wawili wa CCM wamekuwa Wabunge wa Kuteuliwa, Humphrey Polepole na...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 5,001

    Rais Samia Suluhu ameadhimisha miaka 57 ya Muungano wa Tanzania kwa kutoa msamaha kwa wafungwa 5001 waliokuwa na adhabu za vifungo mbalimbali. Kati ya wafungwa 5001 waliosamehewa 1,516 wameachiwa huru baada ya kupunguziwa robo ya adhabu ya vifungo vyao. 3495 waliopunguziwa robo ya adhabu zao...
  19. Chief Kabikula

    JamiiForums Tanzania Iko wapi Ripoti Maalum ya CAG iliyoagizwa na Rais Samia Suluhu Hassan siku akiapisha mawaziri?

    Wadau siku Rais wa nchi Mama Samia Suluhu Hassan Akiapisha mawaziri aliagiza ukaguzi wa BOT kuanzia mwezi January hadi Machi , ambapo ripoti hiyo ilikuwa isomwe tarehe 20/04/2021 lakini haikusomwa, nini kinafichwa?
  20. DENLSON

    JamiiForums Tanzania Miaka 57 ya Muungano: Rais Samia ielekeze serikali yako ijenge taifa

    Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano. Nikupongeze wewe binafsi Mh.Rias kwa salamu ambayo inaonda matabaka na kuleta umoja ndani ya Jamuhuri ya Muungano. Hongera sana kwa ubunifu huu naamini ni mwanzo tu na mengi yatafuata. Niende moja kwa moja kwenye mada husika, Tumekuwa na awamu tano...
Back
Top Bottom