Samia Hassan Suluhu (born 27 January 1960) is a Tanzanian CCM politician and the designated President of Tanzania, due to be sworn into office following the death of president John Magufuli on 17 March 2021. She became Tanzania's first female vice-President following the 2015 General election, after being elected on the CCM ticket along with president John Magufuli. Suluhu and Magufuli were reelected to a second term in 2020. Before her tenure as vice-president she served as the Member of Parliament for Makunduchi constituency from 2010 to 2015, and was also the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015.
Prior to this, she served as a minister in the semi-autonomous region of Zanzibar in the administration of President Amani Karume. In 2014, she was elected as the Vice Chairperson of the Constituent Assembly tasked with drafting the country's new constitution.
Taifa letu lina katiba mbaya sana maana imemrundikia Rais madaraka makubwa mno. Sioni umuhimu wa kutaja ibara zilizompa ais mamlaka makubwa. Lakini toka ibara ya kwanza mpaka ya mwisho rais wa JMT ana mamlaka makubwa sana. Anaweza kufanya chochota anachotaka na hakuna wa kumuuliza. Na hii huwa...
Kajibu hivi
'Suala la Chato kuwa Mkoa nimeambiwa tayari mchakato umeanza naelekeza lishughulikiwe kama vigezo vimekidhi Chato iwe Mkoa na kama vigezo havijakidhi tuwaelekeze nini cha kufanya ili viweze kukidhi na tumuenzi Hayati Magufuli.'
Ni jibu zuri sana sana na nijibu la kiuongozi na sio...
Je, tunamshauri Rais mpya aendelee na miradi yote aliyoanzisha JPM au aendeleze ile miradi yenye tija kwa Taifa na pia aanzishe miradi ya ndoto zake?
Hapa Kuna miradi yakitaifa na miradi ya maono binafsi ya JPM. Miradi yakitaifa ni mradi wa umeme wa rufiji, mradi wa reli, bomba la mafuta...
Naomba kuwapa pole Watanzania wenzangu kufuatia msiba huu mkubwa wa Taifa letu. Kifo cha Rais John J. P. Magufuli kumeacha ombwe na pia mafunzo kwa maisha yetu sote. Nimepokea kwa masikitiko makubwa msiba huu. Vyovyote vile ilivyo, kama nilivyowahi kusema huko nyuma hakuna ombwe la uongozi...
When Tanzanian authorities announced the passing of President John Magufuli on Wednesday, Vice President Samia Suluhu Hassan (pictured) delivered the grim news. The 61-year-old was sworn in as her country’s first woman president two days later, propelling her from the relative obscurity of her...
Binafsi nilikuwa na mashaka na namna atavolimiliki jukwaa mbele ya viongozi wabobezi na malegandary wa siasa za kusini mwa Afrika. Ila ukweli kabisa nimeridhika, kwa hotuba ya leo nampa maksi 97% hizo maksi 3% nilizomnyima ni makosa madogo madogo ambayo nadhani yanachangiwa na ugeni na...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika awamu ya tano, Samia Suluhu Hassan anaapishwa leo kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya 6 kufuatia kifo cha Rais John Joseph Pombe Magufuli, Rais wa awamu ya 5 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
WASIFU WA SAMIA SUHULU...
Kwa jicho la tatu nauona utawala wa Samia Suluhu Hassan (SSH) ukienda kufanana ama kushahabiana na utawala wa awamu ya pili wa Mzee Ruksa. Samia Suluhu Hassan ni Mzanzibari na Mzee Mwinyi pia alikuwa Mzanzibari. Hata kimuonekano tu na jinsi wanavyoongea, wote hawa wawili wana haiba fulani hivi...
Leo asubuhi nememsikia mtangazaji mmoja wa East Africa Radio (kwenye kipindi cha 12:00- 04:00) akisema Mhe. Rais Mama Samia Suluhu Hassan ni Rais wa awamu ya sita. Yawezekana wengi wakawa na mtazamo huo, au wengi wakafuata mtazamo huo baada ya kumsikia mtangazaji huyo. Je, kwa mujibu wa katiba...
Tarehe 19.05.2020 wakati Tanzania ikikabiliwa na wimbi la kwanza la janga la korona, nilichapisha uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu mustakabali wa urais wa Magufuli kwa jinsi "alivyozembea" kushuguhulikia janga hilo. Na katika kuhitimisha uchambuzi huo wa kurasa 23 nilibashiri kuwa janga hilo...
Hawa Walinzi wa Aliyekuwa Rais wa JMT Hayati John Pombe Magufuli wamefanya kazi ya kutukuka. Wamefanya kazi kwa ueledi na ufanisi Mkubwa. Leo mpendwa wao na boss wao katutoka...
Kwa namna walivyofanya kazi tunaomba uendelee nao ama waende kwa Makamu wa Rais ajaye. Tuwape fursa zaidi kwa kazi...
Amani iwe nanyi.
Naona kuna upuuzi washauri na wasaidizi wa Rais wetu mama yetu Samia Hassan Suluhu wanataka kuufanya kwa mama yetu, nao ni kumuweka kwenye risk ya kupata maambukizi ya ugonjwa huu hatari wa corona. Hawampi barakoa na pia wanamuacha ashikane mikono na watu. Nasema hapana.
Sote...
Pamoja na majonzi na masikitiko makubwa ya kumpoteza Team Leader wetu, Hayati Dkt John Joseph Pombe Magufuli, Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Katiba yetu imetupa faraja kwamba Mama yetu Mpendwa unashika rasmi kiti cha Urais.
Tunaishukuru sana katiba hii na wale...
Mnamo tarehe 19 Machi 2021, aliyekuwa Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, aliapishwa kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, kufuatia kifo cha Raisi Dr. John Pombe Joseph Magufuli. Kuapishwa kwake kunaibua suala la msingi la kikatiba juu ya...
Bila kupepesa macho wala kutikisa masikio, naingia kwenye mada moja kwa moja. Katika andiko hili nimebainisha kinagaubaga mambo ambayo yalimuinua na kumdidimiza Magufuli ili mama Samia Suluhu aendeleze yale mambo mazuri na kutupilia mbali yale mabaya. Nitaanza na yale yaliyomdidimiza na...
Naomba majibu Tafadhali ili kuwa na reference nzuri na ya uhakika humu jamvini.
Baada ya Rais SSH kuapishwa leo je anaendelea kuongoza serikali ya awamu ya 5 au tumeingia awamu mpya ya 6?
Naelewa kuwa ilani ya CCM inayotekelezwa ni ile ile.
Maendeleo hayana vyama!
Rais Samia Suluhu Hassan muda mchache ujao ataongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri.
Updates;
Mawaziri wote wako ukumbini wakiongozwa na waziri mkuu na tayari Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi ameshaingia ukumbini.
Rais wa JMT mama Samia ameingia ukumbini na kufungua kikao na sasa majadiliano...
Nimesoma humu wadau wengi wanajadili nafasi ya Makamu wa Rais, pengine ni kwa vile inaonekana dhahiri kuwa wazi kutokana na aliyekuwepo kupandishwa na kuwa Rais kamili, lakini tunapaswa kufahamu kwamba Rais Mpya anapoapishwa kimsingi ni kwamba nafasi zote za uongozi automatically zinakuwa...
Mpendwa Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan!
Kama nilivyoandika hapo awali, ninapenda kuchukua tena nafasi hii kutoa salaam zangu za pole kwako wewe binafsi kufuatia kifo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli. Hakika, hiki ni kipindi kigumu sana kwako wewe binafsi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.