Samatta akiwa kileleni na Mayele kwenye kilele nani zaidi?

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,834
18,837
img_1685744880279.jpg

Wote ni washambuliaji wa mwisho, Samatta alikuwa mmaliziaji zaidi wakati Mayelle anatengeneza nafasi pia anamalizia, lakini pia ana spidi na anaweza kufunga goli katika angle ngumu, akienda Ulaya atafanya vizuri zaidi.

Naona kama Mayelle ni zaidi, ni mtazamo tu lakini sio vita.
 
Twende kwa data zaidi

Mayele kafanya kipi na Samata amefanya kitu gani?

Baada ya hapo tutapima ubora wa mchezaji kulingana na ubora wa mpinzani anayekutana naye.
 
Mayele...AS VITA to YANGA.

SAMATTA...AFRICAN LYON-SIMBA-MAZEMBE-GENK-ASTON VILLA-FERNABANCE-ROYAL ANTWERP.

SAMATTA ..PLAYED UEFA AGAINST LIVERPOOL AND SCORED.

SAMATTA,INSPIRED ALOT OF BIG PLAYERS NOW, OTHOS BALEKE AKIWA MAZEMBE ALIKUWA ANAITWA SAMMATA.

KWA DATA HIZO CHACHE,UTAJAZA MWENYEWE NANI NI MWAMBA HAPO.
 
View attachment 2643575

Wote ni washambuliaji wa mwisho, Samatta alikuwa mmaliziaji zaidi wakati Mayelle anatengeneza nafasi pia anamalizia, lakini pia ana spidi na anaweza kufunga goli katika angle ngumu, akienda Ulaya atafanya vizuri zaidi.

Naona kama Mayelle ni zaidi, ni mtazamo tu lakini sio vita.
Kuhusu kuwa wanakuwaje wakiwa kileleni mademu zao ndiyo wako kwenye nafasi nzuri ya kujibu swali hili
 
Labda ugeni wangu hapa mjini hiyo picha ni samatta au yule jamaa mpole?
 
Mayele...AS VITA to YANGA.

SAMATTA...AFRICAN LYON-SIMBA-MAZEMBE-GENK-ASTON VILLA-FERNABANCE-ROYAL ANTWERP.

SAMATTA ..PLAYED UEFA AGAINST LIVERPOOL AND SCORED.

SAMATTA,INSPIRED ALOT OF BIG PLAYERS NOW, OTHOS BALEKE AKIWA MAZEMBE ALIKUWA ANAITWA SAMMATA.

KWA DATA HIZO CHACHE,UTAJAZA MWENYEWE NANI NI MWAMBA HAPO.
Kwa hiyo mkuu goal la Aston villa dhidi ya Citizens final ya FA hakufunga Mayele?
 
View attachment 2643575

Wote ni washambuliaji wa mwisho, Samatta alikuwa mmaliziaji zaidi wakati Mayelle anatengeneza nafasi pia anamalizia, lakini pia ana spidi na anaweza kufunga goli katika angle ngumu, akienda Ulaya atafanya vizuri zaidi.

Naona kama Mayelle ni zaidi, ni mtazamo tu lakini sio vita.
George Mpole ni zaidi ya Mayele akijitambua km unavyoona kwenye picha ambatanishi hapo.
 
Back
Top Bottom