Kwanini ligi yetu ni bora kuliko ya Uganda lakini wao ni bora kwenye timu ya taifa kuliko sisi?

daxy Jr

Member
Apr 15, 2020
88
304
Siku zote tumekuwa vibonde wa majirani zetu Uganda, Takwimu zinaonesha kuwa tumekutana nao mara 24 na wametufunga mara 13 na tumewafunga mara 6 na tumedroo mara 5!

Tunakwama wapi aseee? 😂😂Hapa niko nataka niweke mkeka Sokabet kwenye mechi ya leo ila uzalendo inabidi niweke pembeni nimpe Mganda, Pesa kwanza aseee
 
Ligi yetu inabebwa kwa asilimia kubwa na wachezaji wakigeni
 
Back
Top Bottom