salary

  1. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Je, website hii iliyokuwa inatoa Salary Slips nayo pia ilikuwa ni ya Serikali?

    Site yenyewe hii hapa: http://watumishiportal.utumishi.go.tz/ Ni website ambayo nilijisajili na hatimaye nikawa nina-print slalary slips zangu kuanzia March 2017 Salary slip ya kwanza niliyopata kutoka kwenye website hii ni ya March 2017 Niliendelea kupata Salary slip hizi hadi December 2018...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mwezi Desemba 2020 vipi?

    Wadau vipi ka salary ka mwezi huu wa pesa hazitoshi. Wenzangu mmekaona? Tuambizane maana hapa nina buku tu la bodaboda kunipeleka kwa ATM. Nikizikoswa ndo yatakuwa majanga zaidi. Kwa walio na simbank tujuzani. Nipo NBC.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Salary scale ya Tanzania Railways Corporation (TRC)

    Nawasalimu wanajamvi. Naomba kujuzwa anaefahamu kiwango cha salary scale hii TRCS 5 ni shilingi ngapi
  4. J1mbo

    JamiiForums Tanzania Salary for lecturers (Masters degree/PhD.) - NGAZI ZA MISHAHARA SERIKALINI

    Halo kila mtu I am a scientist from Germany and very interested in tanzania. This is why i applied for a funded research project with the university of dar es salaam. Since I need the actual salaries for admitting it to our german funding agency, I wanted to ask if there is any public table...
  5. mathsjery

    JamiiForums Tanzania You can't take the salary

  6. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu njoo na ahadi ya kifuta machozi kwa waliofukuzwa kwa vyeti feki, kulipa malimbikizo ya salary increment za watumishi na ...

    Kama kesho utaongelea unachopanga kukifanya iwapo utafanikiwa kuwa Raisi wa nchi hii licha ya ukweli kuwa hatuna tume huru ya uchaguzi,nakushauri wewe kama mgombea uraisi(iwapo chama chako kitakuteua kuwa mgombea wao) uwe na ahadi zako kama mgombea uraisi na hizi nitazotaja hapa chini ziwe ni...
  7. Kimwerymdodo5

    JamiiForums Tanzania Eid Mubarrak to all members of JamiiForums

    Eid imeangukia Mokonda Day😁😁. Enewei, muwe na sikukuu njema wakuu.
  8. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Kama unafanya kazi weka salary mezani Tuione

    Verses hizi hapa niwekee vocal na biti unitumie PM.Ukiwa na vese za kuongezea weka hapa......Master Jay, Majani. Ney wa Mitego, Roma Mkatoliki. Kama unafanya kazi Weka salary mezani Tuoneee sasa Tuoneee ...tuone. (mara mbili) Waweza weka cash,weka kreti, Weka Fresh.weka tuonee,tuonee Wengine...
  9. matokeotz

    JamiiForums Tanzania What is the average salary of software engineer in Tanzania? Wastani wa Mshahara wa sofware enjinia ni kiasi gani?

    Hello, I am wondering what is the average monthly salary for developer/software engineer in Tanzania? Junior/Senior levels? Je mshahara wa programa wa kompyuta ni kiasi gani kwa mwezi? wastani. asanteni
  10. W

    JamiiForums Tanzania Salary out Dec 2019

    Habali Kwa wale watumishi watiifu mshahara wenu umetoka mzee baba kawawaishia tarehe 5jan 2020 mtakuwa mmechoka hatarii.Muwe waangalifu happy holiday.
  11. Bonde la Baraka

    JamiiForums Tanzania Ashukuriwe aliyebuni online salary slips kwa watumishi wa umma. Hakika ameficha aibu zetu

    Najua mjamaa alikopi kutoka nchi za watu ila kakopi jambo jema. Sasa ni siri ya mtu binafsi, maana enzi zile unakatwa makato na bank mara bodi ya kahawa mara makato ya NHIF. Unaambulia kiduchu na mandezi ya masijala yanakodolea salary slips zako basi daaah.
  12. D

    JamiiForums Tanzania PRSS 1.1 Salary Scale

    Habari wakuu.Nimejaribu kutafuta hii scale salary ya PRSS 1.1 ila nimeshindwa kupata jibu kwenye thread zilizopita.Kwa anayejua tafadhali naomba anisaidie inaanzia ngapi.Natanguliza shukrani zangu.
  13. Sychbh

    JamiiForums Tanzania Mishahara (Basic Salary) kwa electronics and telecommunication engineering technician, katika mashirika/kampuni hizi(TBC, TTCL, TBS, TANESCO na TPA)

    habari wadau.. Naomba kujua mshahara (basic salary) kwa technician wa electronics and telecommunications engineering katika hayo maeneo: TBS, TBC, TTCL, TPA na sehem nyingine ambazo ana apply. NB: NI technician mwenye diploma, registered as technician II by ERB and soon to become technician I
Back
Top Bottom