Ashukuriwe aliyebuni online salary slips kwa watumishi wa umma. Hakika ameficha aibu zetu

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,580
7,938
Najua mjamaa alikopi kutoka nchi za watu ila kakopi jambo jema. Sasa ni siri ya mtu binafsi, maana enzi zile unakatwa makato na bank mara bodi ya kahawa mara makato ya NHIF. Unaambulia kiduchu na mandezi ya masijala yanakodolea salary slips zako basi daaah.
 
Wale watu wa masijala wana siri zetu nyingi sana mi uwa nawaheshimu sana. Maana barua zote kwenye faili langu wanazisoma. Zingine najitetea makosa mbalimbali nyingine naomba hela na izo salary slips ndio dah.
 
Nilitumiwa barua na taasisi moja kubwa hapa Bongo nikagundua kuwa mdada wa masijala kaifungua na kuifunga tena. Iliniboa sana. They are very stupid most of them.
Wale watu wa masijala wana siri zetu nyingi sana mi uwa nawaheshimu sana. Maana barua zote kwenye faili langu wanazisoma. Zingine najitetea makosa mbalimbali nyingine naomba hela na izo salary slips ndio dah.
 
Daa nilikuwa nasoma salary slip za watu,halafu nawaangalia wanavoringa kwenye kada fulani(sio ualimu) wallahi nabaki nacheka, ukimwangalia mtu anavojidai halafu ukasoma mkeka wake had unamuonea huruma
 
Back
Top Bottom