Mishahara (Basic Salary) kwa electronics and telecommunication engineering technician, katika mashirika/kampuni hizi(TBC, TTCL, TBS, TANESCO na TPA)

Sychbh

Member
Aug 2, 2018
14
5
habari wadau..
Naomba kujua mshahara (basic salary) kwa technician wa electronics and telecommunications engineering katika hayo maeneo: TBS, TBC, TTCL, TPA na sehem nyingine ambazo ana apply. NB: NI technician mwenye diploma, registered as technician II by ERB and soon to become technician I
 
Mimi sina data kamili ila katika mashirika yote hayo bandari ni habari nyingine.
Kuna rafiki yangu mmoja anafanya kazi Kama Technician pale TPA, salary yake plus allowances anakunja take home karibu 2.5m kila mwezi.
 
TBS wako vizuri zaidi ya TPA
 
Back
Top Bottom