salama

Salamá is a city in Guatemala. It is the capital of the department of Baja Verapaz and it is situated at 940 m above sea level. The municipality of Salamá, for which the city of Salamá serves as the administrative centre, covers a total surface area of 764 km² and contains 65,275 people.

View More On Wikipedia.org
  1. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Maini yanauzwa 2000 au 3000 kwa ndoo mitaani, je ni salama?

    Wakuu Leteni hoja Ini ndo lina dili na sumu vipi hizi za mitaani
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ukiona ukatili mtandaoni, usikae kimya na Usishiriki. Tunaweza kubadilisha mtandao uwe salama kwa kila mtu

    Je, umewahi kuona chats za watu zikisambazwa mitandaoni huku wengine wakicheka na kuendelea kuzishare? Wengine huenda mbali zaidi kwa kutaja majina ya wahusika, vyeo au hata ndugu zao nk. Huo ni ukatili wa mtandao kwani mawasiliano mengi hufanyika kwa faragha kati ya watu wanaoaminiana. Pale...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hii ya Lissu na Heche ichangiwe kwa moyo mweupe. Fedha zipo salama hii sio ile SACCOS ya Mbowe.

    Natoa wito kwa Watanganyika wote na Wazinzabari kuichangia Chadema hii maana ipo kwa ajili ya ukombozi wa taifa letu. Kutoa ni moyo. Watu wachangie bila kuwa na hofu . Pesa na michango ipo salama tofauti na zama za Mbowe. Propaganda mfu za wanaCCM waliokosa sera zisisikilizwe. Mimi binafsi...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya maridhiano nini kinafuata, uchaguzi unarudiwa au, Isije kuwa ni maridhiano ya kugawana vyeo maana kila baada ya uchaguzi maridhiano

    Kwa akili ya kawaida mnapokuwa na mgogoro mnatafuta sababu za mgogoro harafu ndo mnakubaliana kuutatua huo mgogoro , Hapo ili kupata suruhu huwa tunatafuta mtu watatu ambaye atakaa katikati kuhakikisha pande zote mbili zinaridhia yale yaliyojadiliwa na kuafikiwa yanatekelezwa. Kama sababu za...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwa mtindo huu wanasema wanarinda Amani ya nchi alafu mseme nchi ni salama mnaelewekaje kwa mtazamo.

    Ni aibu sana sana kusema nchi ina haki na domo crazy maana sio democracy mnayo sema ina tawala kwa haki. Leo tarehe 7/7 mnaweza kusema mumeweka amani hapa mfano kariakoo kuwa watu waendelee na shuguli zao
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kibarua kigumu Sana Kwa Askari na Maafisa wa vyombo vya Ulinzi na salama

    Kibarua hiki kigumu kinakuja baada ya tamko la Waziri wa Mambo ya Ndani kuwaagiza chombo chenye dhamana ya Ulinzi na Usalama wa raia na Kali kuhakikisha wanapita Kila Hotel, Guest House, lodge, Air BnB, n.k. ili kubaini wahalifu wa uvunjifu wa Amani. Kwa Sasa hata kukaa Bar pia siyo salama...
  7. UTPC

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kevin Mwasha: Wananchi wanaotumia maji kutoka katika vyanzo visivyo salama wayachemshe au watumie vidonge vya kusafisha maji

    Hofu ya Kiafya Inayozidi Kutokana na Maji Yasiyo Salama Wakati mradi wa maji wa Shilingi bilioni 4, Kata ya Mkwajuni, Wilayani Songwe ukisubiriwa kwa hamu kubwa kuanza kufanya kazi, hofu ya kiafya inazidi kuongezeka miongoni mwa wananchi wa Kata hiyo. Wananchi wanabainisha kuwa maji...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani katika viumbe kama nyoka na mijusi wakitaka kujitibia na ukiweza kugundua si rahisi kukuacha salama

    sio wageni na logo hii kwenye huduma za hospital.Ila kuna sehemu nimegusiwa hawa viumbe kwa ujumla jamii ya reptile zote wana siri kubwa ya dawa ambazo kama tukiwagundua basi leo tunaweza kukichezea kifo mfano ukaweza kuota kiungo kama kimekatika,ukapona hata kama umekufa.Kuna sehemu nyingi...
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama Ebola Facility Ni Salama, Mbona Marekani Haitaki Kuijenga Nyumbani?

    Mjadala kuhusu mpango wa kujenga Ebola quarantine facility nchini Kenya unaendelea kushika kasi huku Wakenya wengi wakijiuliza swali moja kuu: Kama facility hii ni salama, kwa nini Marekani isiijenge kwao? Maafisa wa Marekani wanasema kuwa kuweka kituo hicho Kenya kutasaidia Americans...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Walidhani wakiimaliza CHADEMA watabaki salama

    Wameshindwa kuimaliza CHADEMA.. CDM Imeibuka na kuwa Chama bora zaidi Chenye nguvu zaidi Chenye ushawishi zaidi Chenye kupendwa zaidi Wao wameguekana sasa.. Wanafitiana uwani na kuhitilafiana wazi wazi kabisa! UTAWALA DHALIMU UMEFITINIKA🗑
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Msibabaishwe na Wanaosema Mitandaoni ‘Hapakaliki’, Tanzania ni Salama

    Msemaji Mkuu wa Serikali akiwa Mkoani Morogoro, Gerson Msigwa leo Mei 31, 2026 akitoa taarifa ya Serikali kwa Umma wa Watanzania amesema; "Niwahakikishie wana Morogoro na Watanzania wote kwa ujumla kwamba nchi yetu ni shwari, tena shwari sana. Nchi yetu ina amani ya kutosha na Watanzania...
  12. steve_shemej

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara unapokea malipo kupitia lipa namba ya VODACOM haupo sehem salama

    Nimeona hii niilete kwenu Kama unajijua wew ni mfanyabiashara unapokea malipo kupitia lipa namba ya VODACOM haupo sehem salama Mm Leo nimepata mteja kutoka Moshi kanipa oda kalipia 60000 nikamfungia mzigo kamtuma mtu kuja kuuchukua baada ya kuuchukua karidisha muamala Voda hawajanipa taarifa...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Suluhisho salama la asili kuhusu bawasiri

    Tunalo Suluhisho Salama na la Kiasili Tunasaidia kuondoa changamoto ya bawasiri bila upasuaji, kwa kutumia virutubisho asilia vilivyothibitishwa ambavyo vinasaidia Kuyeyusha kinyama: Kusaidia kusinyaa na kuondoka kwa kinyama kilichojitokeza (kwa bawasiri ya nje). Kulainisha choo: Kuondoa tatizo...
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ngono salama hurefusha umri wa kuishi na kuimarisha afya ya mwili

    Kufanya ngono salama na yenye upendo huongeza maisha ya binadamu badala ya kuyafupisha, kwani tendo hili huboresha afya ya mwili na roho kwa wakati mmoja. Kisayansi, watu wanaoshiriki tendo la ndoa mara kwa mara hupunguza hatari ya kufa mapema kwa asilimia 50 kutokana na . kuimarika kwa afya...
  15. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Tanzania iko salama chini ya CCM

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea kuwa tumaini na nguzo imara ya Taifa letu kupitia sera, falsafa na dira inayoweka mbele maslahi ya Watanzania. Kwa miaka mingi, CCM imebeba dhamana ya kulinda amani, kuimarisha umoja na kusukuma gurudumu la maendeleo ya Tanzania mbele. Ni dhahiri kuwa...
  16. ngara23

    JamiiForums Tanzania Namna ya kujilinda na kuwa salama unapokuwa Bar

    Baada ya taarifa kutoka Mwanza ya kuwa kijana ameuliwa na mabaunsa wa Bar, nimeona nitoe elimu kidogo ambayo haitolewi popote Hii ni elimu ya mtaa 1. Bar sio sehemu ya watu wanyonge. Ukijua wewe ni mlaini usikanyage bar au night clubs, watakupiga wakuuwe 2. Hakikisha una kampani. Kampani...
  17. Candela

    JamiiForums Tanzania Wote tunabeti hakuna aliye salama kama kubeti ni dhambi

    Ebana wakuu kuna hii issue baadhi ya watu wamekuwa wakiwaona wanaobeti kama watu waliopotea. Wengine mpaka wanaenda mbali na kisema dini zinakataza. Okey lets break it down niggaz. Kubeti ni nini? Ni kufanya ubashiri juu ya matukio yajayo kisha unaweka pesa. Utabiri wako ukiwa sawa unapata...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu: Uchaguzi ulikuwa na matatizo, tusingeshiriki huo uchaguzi usingejadiliwa leo

    Katibu Mkuu wa Chaumma na aliyekuwa mgombea wa Urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa 2025 Salum Mwalim akifanya mahojiano na Wasafi FM Aprili 28, 2026, amesema uchaguzi mkuu wa 2025 ulikuwa na matatizo
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa AI, hivi dunia iko salama kweli, mbona kama nahisi yatatokea ya Teminator movie na kutumaliza....NAOGOPA!!!!

    Mimi ni software enginerr mkongwe, mwenye uzoefu zaidi ya miaka kumi, na nilikua sijaanza kuchangamkia coding via AI, nilikua napiga codes zangu mwenyewe nikitarajia siku nitapata fursa nitajifunza kutumia AI. Sasa ikatokea mteja anahitaji nimtengezee mfumo wa hotel management, na kanipa siku...
  20. albo_stunz

    JamiiForums Tanzania Vyuo vinavyo ongoza kwa kunguni kwa dar es salama

    Wakuu naombeni mnisaidie vyuo vikuu vinavyo ongoza kwa wadudu waitwao kunguni kwa dar es salaam
Back
Top Bottom