saikolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ntaganda boy

    JamiiForums Tanzania SoC01 Magonjwa ya haiba yanavyoathiri mahusiano

    MAHUSIANO YANAVYOATHIRIWA NA MAGONJWA YA HAIBA (PERSONALITY DISORDERS AND RELATIONSHIP) Habari zenu JamiiForums, hususani jukwaa hili la stories of change. Ni tumaini langu nyote ni wazima Haiba: Ni urithi au vitu unavyozaliwa navyo na baadhi kutoka kwenye mazingira na kukufanya au kumfanya...
  2. Jade_

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uraibu wa Ngono

    Uraibu upo wa aina nyingi. Kuna uraibu wa pombe, sigara, madawa ya kulevya, na uraibu wa chakula. Leo nitajikita kwenye uraibu wa ngono. Tofauti na uraibu wa pombe, sigara na madawa ya kulevya ambazo hazimpati yeyote, (sio kila mtu atangukia kwenye raibu hizi) uraibu wa chakula na ngono ni...
  3. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Saikolojia ya kujiamini na faida zake kwa binadamu

    Kila mwanadamu ana nafsi (self) ya kipekee ambayo inahitaji mazingira chanya na msukumo wa ndani (internal will) ili kukuwa. Wengi wetu hatuthamini msukumo wa ndani kwenye ukuaji wa nafsi zetu bali tunathamini sana mazingira yetu kama kichocheo namba moja cha ukuwaji wa nafsi zetu. Kwa mtizamo...
  4. Digitalman1tz

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi jamii inavyopata athari kwa kupuuza tatizo la Saikolojia

    Wanasaikologia mpo wapi? Na kama mpo mnafanya nini? Jamii inahitaji msaada kutoka kwenu. Wanasaikolojia ni watu ambao ni muhimu sana katika afya ya kila mtu na hapa nchini huwa tunapokea wahitimu wapya kila mwaka wa masuala ya saikolojia lakini mimi sijawahi waona. Hivi kwanini tusiwatumie...
  5. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Saikolojia ya kufanya makosa na faida zake

    Thomas Edison ni mgunduzi na muasisi wa kanuni za msingi za umeme aliyeishi kati ya mwaka 1847-1931. Wakati Thomas akiwa shule ya msingi walimu wake walisema ni mjinga na hana uwezo wa kujifunza hivyo ikampasa Thomas kuacha shule na kurudi nyumbani. Aliporudi nyumbani, Thomas alianza kufundishwa...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Ukijua kuichambua LOGIC raha sana. Unaweza kujiona Nabii kumbe ni Saikolojia tu

    Sitaongea mengi sana! Lakini naomba kuwatafsiria jambo ili msipate tabu kuelewa! LOGIC 1. Ukiona unayedhani alikuwa ni bikira anaamua kujitangaza rasmi mtandaoni kuwa ana mimba basi tambua kwamba kashajifungua mtoto tayali! WHy? Ni kwasababu kama aliweza kuficha asijulikane kama anazini...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Je, sherehe zinazotegemea Muandamo wa Mwezi haziwezi kuharibu ratiba za watu na hata saikolojia yao pia?

    Naomba kujua Faida na hasara (hasa Kijamii na Kiustawi) za Sherehe ambazo zinajulikana katika Kalenda na zile zinazotegemea Kuandama (Kuchomoza) kwa Mwezi Congo, Kigoma, Mombasa, Tanga, Zanzibar na Mtwara.
  8. seedfarm

    JamiiForums Tanzania Je, Spika Ndugai asaidiwe kisaikolojia au aachwe?

    Dunia kuna vituko sana, Moja ya vituko vinapatikana Bungeni vikiongozwa na Job Ndugai. Huyu Ndugai anajulikana kama mheshimiwa Spika. Leo Ndugai ametumia dakika nyingi Bungeni akitaka kutetea legacy yake na kujifananisha na Spika Marehamu Samwel Sitta, Ndugai anaumia na kukwazika sana kwanini...
  9. Fohadi

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa saikolojia tunaomba mtusaidie

    Kuna hiki kitu kinaonekana cha kawaida na kimezoeleka na mtu sio rahisi kutokukifanya au kuki avoid. Lakini ukijaribu kukifikiria sana (deep thought) unagundua kuwa ni kitu cha ajabu sana na ukienda mbali sana kufikiria unaweza ona huwa unafanya 'utoto' lakini ndio hivyo kinatokea beyond our...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Makonda: Sio lazima niteuliwe, ninaweza kuwa Kiongozi wa familia

    Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paulo Makonda ameibuka upya kwa kusema kuwa sio lazima apate uteuzi bali anaweza hata kuwa Kiongozi wa Familia. “Mimi ni mkulima, ni mfanyabiashara pia kwa hiyo ninaweza kuwa na mchango mkubwa sana hata kwenye kampuni ninazoweza kufanya kazi...
  11. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Jinsi makabila yalivyoyumbisha ubongo na saikolojia za Mbongo

    Ni vizuri wakuu turudi kwenye defaults za binadamu katika ubora wake. Kwa nini anasema hivi, kuwa mnazi wa kikabila unaweza kujikuta umechakachuliwa akili vibaya sana na ukadhani huo ndio ubinadamu kumbe ni UJINGA. Mfano: 1: Nimekaa na jamaa Wawili kutoka sehemu tofauti Mbeya. Hawaja jamaa...
  12. Francis12

    JamiiForums Tanzania Bwana Ndugai anahitaji msaada wa haraka wa saikolojia

    Bwana Ndugai anahitaji msaada wa haraka wa saikolojia. Malisa GJ Mosi, Huu uchungu anaouonesha Ndugai sio wa Halima na wenzake kupigwa, ni uchungu wa kupoteza yale matrilioni ya wafadhili. Ameshaona dalili zote kwamba hata akiwalinda akina Mzee Halima na wenzake waendelee kuwa wabunge...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Saikolojia inatuambia nini juu ya misimamo ya mwanamke

    Saikolojia inatuambia kwamba; Maamuzi sahihi ya mwanamke huwa yapo ndani ya dakika 90 tu za mwanzo! Ikipita dakika 90 katika jambo moja lilelile tarajia maamuzi hasi kutoka kwake kuwa ndiyo maamuzi sahihi. Na maamuzi hayo hasi yaliyo inje ya dakika tisini ndiyo huwa adhimio la ubongo wa...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa kampuni ya SUMA JKT GUARD wana matatizo ya kisaikolojia

    Habari! Ukichukua matukio machache yaliyofanywa na hawa vijana wa SUMA JKT GUARD utagundua kuna kitu hakiko sawa. Kuna upepo umepunguza akili zao. Majuzi Jangwani walimpiga yule jamaa wa African sports na kupelekea kifo chake, tena tunapokea taarifa kuwa wamemuua mwananchi asiye na hatia...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtaalam wa Saikolojia: Mwanaume asipolia tena kwa kutoa kabisa Machozi mara Nne kwa Mwezi ajue anaukaribisha Uwendawazimu

    "Kiuumbaji na hata Kisaikolojia tu Mwanaume ni Mtu ambaye anakuwa amebeba mambo mengi Kichwani na Akilini mwake tena mazito mazito na makubwa makubwa kuliko Mwanamke. Hivyo basi moja ya Tiba ya haraka ili kumuepusha akae vyema Kifikra na Kuhimili mambo anatakiwa ajitahidi kila Wiki awe analia...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mliobobea katika 'Saikolojia' na 'Maono' kwa 'Msisitizo' wa 'Kauli' ya Rais Dkt. Magufuli mnamwambiaje 'Prime' Majaliwa?

    "Huna hakikisho la kuwa hapo kwa miaka mitano" "Acha kudhani kuwa ni mwenye bahati kuliko wengine" "Hata Mkeo nae ajiandae Kisaikolojia kama usipodumu hapo" "Nilipokuwa naapishwa alinitumia Meseji ya Pongezi na wala sikumjibu ili asije kudhani kuwa bado atakuwa Waziri Mkuu" "Umesema Mkeo...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtaalam wa Saikolojia: Wapiga 'Kura' wengi hupenda Kuwapigia Kura wale wa Kwanza Kwanza 'Pichani' na wale wa Mwisho Mwisho 'huwaboa' katika Kuwapigia

    "GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE asikudanganye Mtu 'Kisaikolojia' Mpiga Kura yoyote yule Siku ile ya Kupiga Kura huwa na 'mwamko' mkubwa wa 'Kuwapigia' wale ambao 'Picha' zao ni za Kwanza Kwanza na hasa kwa Namba 1 mpaka 3 tu na kwa 'Mazingira' ya Siku husika wengi Wao huwa hawataki wala hawapendi...
  18. uvugizi

    JamiiForums Tanzania Saikolojia ya chakula na shibe

    Tunavyokula kuna athiri jinsi tunavyojisikia. Inatakiwa unapokula uwe unajisikia vizuri. Kuna wengine wakila wanajisikia tofauti. Ukila sana au kidogo vyote vinaweza kukufanya kusikia vibaya , hata kuleta madhara katika mwili. Kuna vitu vingi sana vinaweza kuathiri ulaji wetu. Aidha inaweza...
  19. Education Mentor

    JamiiForums Tanzania Saikolojia: Fahamu Ugonjwa wa Bipolar Disorder (Kanye West)

    Habari wasomaji wangu, wa makala za jifunze saikolojia. Basi leo nimeleta somo kuhusu ugonjwa wa saikolojia unaofahamika kama Bipolar Disorder. Pengine wengi wetu neno ili au msamiati huu ni mpya kabisa kuusikia au wengi waliousikia lakini hawakuweza ingia kujifunza kuelewa Bipolar ndio ukoje...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Simba timu mnayo, ajirini mtaalam ama wafundisheni saikolojia wachezaji wenu mtatwaa CAF Champions League

    Habari wadau, Mimi mwanayanga. Ila namkubali mo kwa uwekezaji wa Simba. Natazama sana mashindano ya CAF Champions League kila msimu. Mimi ni die hard African football fan boy. Natazama CAF Champions League kuliko UEFA. Mashindano ya CAF ni magumu sana na yana tofaut sana na UEFA, maana ni...
Back
Top Bottom