saikolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bess

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Saikolojia ya Hasira

    Hasira ni nguvu hasi inayomjaa mtu na kama sifa ya nguvu/nishati nyingine lazima itafute kitu cha kupokea; Mtu akiwa nayo automatically inahamia kwenye maeneo fulani fulani ya mwili: • Mwingine huenda mikononi anapiga kila kilicho mbele yake hasa cha thamani, hapa akiwepo aliyemkasirisha...
  2. Education Mentor

    JamiiForums Tanzania Saikolojia: Kushindana na wanaobeba Chuki

    SAIKOLOJIA: KUPAMBANA KUSHINDANA CHUKI Katika somo la leo najaribu kuangazia Saikolojia ya kuhusu chuki ambao katika Ulimwengu wa leo uliotaharuki kwa visasi na ukatili kutokana na tatizo hilo. Lakini kuhusu chuki si kwamba tu imekuwepo katika ulimwengu huu tu ni jambo ambalo limekuwepo kwa...
  3. Education Mentor

    JamiiForums Tanzania Saikolojia: Fahamu tatizo sugu la wasiwasi (Sehemu ya pili)

    Saikolojia: Fahamu tatizo sugu la wasiwasi (Sehemu ya pili.) Baada ya kujifunza somo hili kuhusu wasiwasi sugu (Anxiety Disorder) katika sehemu ya kwanza basi leo tumalizie sehemu ya pili ya muendelezo wake na sehemu ya Mwisho. Katika sehemu ya kwanza tuliangalia Tafsiri ya Anxiety...
  4. Education Mentor

    JamiiForums Tanzania Saikolojia: Fahamu tatizo sugu la wasiwasi (Anxiety disorder)

    Saikolojia: Fahamu tatizo sugu la wasiwasi (Anxiety disorder). Imenisukuma wakati huu kuandika kwa ajili ya makala hii kuhusiana na somo la Hofu au uoga kupitiliza na wasiwasi kutokana tatizo hili limekuwa halisikiki lakini lipo kila itwapo leo katika jamii zetu na wapo wengi baadhu yetu...
  5. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Taifa lipo kwenye hofu kubwa, wataalamu wa saikolojia wawasaidie wananchi

    Hili lipo wazi kabisa sasa hivi taifa letu wananchi wake wana hofu kubwa kwenye mioyo yao. Hofu juu ya ugonjwa wa Covid -19. Hasa baada ya kuwa na vifo vingi sana ndani ya siku nne zilizopita. Na hii sio imetokea hapa Tanzania tu hata nchi zilizoendelea kama Uk na Usa watu wana hofu. Kwa...
  6. f_m

    JamiiForums Tanzania Chanzo Kikuu cha Watu walio kwenye mahusiano kuchepuka

    Akiwa na urafiki na mwanaume Kipindi mmekosana/mmenuniana Kipato cha mwanaume kikipungua. Uwepo/awapo amesafiri Akiwa kazini hasa kama ameajiriwa
Back
Top Bottom