Nina kijana mwenye miaka 18 sasa hivi yupo form four, anasoma day yaani kwenda na kurudi nyumbani.
Changamoto yake si mtu wa kueleweka anapoongea. Anaweza ongea vitu viwili vinavyokinzana na bado yeye anaona yuko sawa. Kifupi yaani hawezi hata kuevaluate logic.
Mfano: umeenda shule
Yeye...
Aisee nyiee!!
Huu mwaka nimejikuta nasoma vitabu viwili vya zamani ambavyo naamini kila mtu amewahi kuvisoma, lakini hivi vitabu ukisoma neno kwa neno, mstari kwa mstari, ukisoma kwa kutafakari na kuhusianisha na maisha halisi ya mtaani hskika utagundua mambo mengi yakushangaza sana
Cha pili...
Salaam sana Wakuu
Inavyoonekana siku hizi japo kweli kuna tatizo la upungufu wa nguvu za kiume haswa kwa mazingira ya mijini, Lakini hili tatizo linaonekana kukuzwa kuliko lilivyo hadi imepelekea woga mkubwa kwa baadhi ya wengi wetu.
Ndipo kwenye tafakari yangu nikaona NIANZISHE HUU UZI kwa...
Habari ya mchana
Kuna jamaa amenisaidia sana kwa ushauri uliobadilisha maisha yangu baada ya kutengana na mke wangu miaka kadhaa iliyopita na kupata weweseko kidogo. Nimeona nishee maelezo haya ili kama Kuna mtu anayepitia mateso ya kisaikolojia basi aweze PATA nafuu. Sina maslahi na huyu mtu...
Tumeona mada nyingi ambazo watu wakieleza au kupitia kuhusu jinsi maisha ya utafutaji kuwa ya mekwenda ndivyo sivyo,kukosa ajira,kushindwa kuoa au kuolewa n.k.
Hii bullying niliyotaja kwenye kichwa cha habari si rahisi miaka ya 90 kushuka kukutana nayo ila kwa sasa ndio inazidi kukuwa kama...
Nina miaka 38...Niko single(nimeachana na mke wangu)....sivuti sigara na wala sinywi pombe...sijaajiliwa nimejiajili kwhy hela ya kula vizuri na matumizi madogo mdogo hainipigi chenga kwa kifupi sina njaa...uhakika wa mbunye upo yani simu moja tu naletewa mbunye mpka mlangoni kwa kifupi japo...
Wanawake ni wataalamu wa udanganyifu wa kisaikolojia. Wamebobea katika mbinu za hila zinazowafanya wanaume imara kuwa wanyonge bila hata wao kujigundua. Unadhani uko kwenye usukani? Fikiria tena. Hizi ni hila ambazo wanawake hutumia kuvunja uanaume wako na kukufanya ufuate matakwa yao:
1...
1. Kushindwa kujidhibiti na
kuwajibika.
2. Kukojoa kitandani kwa Watoto katika umri makubwa na Hata watu wazima.
3. Kukosa utulivu pamoja na kulipa kisasi.
4. Kukata Tamaa Baada ya kugunduliwa kuwa Una ugonjwa wa muda mrefu kama vile maambukizi ya virusi vya UKIMWI.
5. Kutokukubali ukweli wa...
Kwa mtazamo wake
Profesa huyo wa ivory coast akijibu maswali mbalimbali kwenye redio moja amenena hayo,
Adai wanawake Kutokua na adabu na kuiga umagharibi ni chanzo cha kuharibu taasisi ya ndoa Afrika.
atabiri kufika 2030 ndoa zitakua hazipo na kama zitakuepo ni kwa uchache Sana.
Atoa wito kwa...
Hivi ukiingia kwenye dating apps, unatafuta mapenzi au unatafuta maumivu? Watu wengi wanajaribu bahati yao huko, na wengine wanajikuta wakipoteza muda huku wakichanganywa na maswipe right na swipe left. Inajulikana kuwa hizi apps zimejaa watu wa kila aina – wengine wanatafuta penzi la kweli...
Kama kawaida wakuu.
Sijawahi kumuona Mpanzu akicheza uwanjani kama ambavyo wana Simba wengi hawajawahi kumuona akicheza uwanjani.
Jana hotuba ya Mo akiwahutubia wwnachama alisema amesajili wachezaji 16 pia amemleta Mpanzu.
Yaani ktk wachezaji 16 mpanzu ni wa 17, katajwa kivyake. Ktk hao 16...
Siku ya alhamisi tarehe 19.09.2024 katika shule ya msingi ya Mbezi juu palitokea tukio la mwanafunzi mmoja wa kiume wa darasa la tatu kutumbukia ndani ya shimo la choo wakati alipokwenda kujisaidia majira ya mchana.
Shule ya msingi Mbezi juu ipo katika kata ya Ndumbi mtaa wa Mbezi mtoni ndani...
Jamaa tangu nimfahamu YEYE NI KUWAPONDA TU WANAUME linapokuja suala la mahusiano.
Na kwa hili amefanikiwa sana kujipatia UJIKO kwa kina Mama
Anyway ninachoamini ni kwamba jamaa mada zake zote anazozitoa anazitoa kwa muamvuli wa taaluma ya psychology lakini kiuhalisia MENGI NI MAONI YAKE...
Kimsingi kulia ni jambo linalofungamanishwa na HISIA. Na mara zote si LAZIMA iwe ni huzuni tu hata katika Furaha ya dhati huwa tunatokwa na machozi. Na hii utaiona Kwa wanyama wote kwani wao pia wana HISIA na matamanio ndiyo maana unaweza kumuona Tembo anatokwa machozi na anamuokoa MTOTO wake...
Mtaalamu wa Tiba ya Akili na Saikolojia: Ikipita mwezi hujalia hadi kutokwa machozi utakuwa na tatizo kubwa la akili, jitahidini mlie tafadhali.
Pia soma: Ongezeko kubwa la wagonjwa wa akili nchini; Je, jamii ina elimu ya kutosha juu ya namna ya kukabiliana na janga hili?
Kama ni Kulia tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.