star health talks
Member
- Apr 28, 2017
- 26
- 58
Ukiwa unaishi na maambukizi ya virusi vya UKIMWI (VVU) na ni mtumiaji mzuri wa dawa za kupunguza makali ya VVU, na kufikia kiwango cha kufubaza virusi vyote, kitaalam undetectable viral load, na ukawa unaendelea kutumia dawa za kufubaza virus -ARVs, basi jua huwezi kabisa kumwambukiza mshirika wako wa kingono virusi vya Ukimwi, hii inaitwa U=U, yaani UNDETECTABLE=UNTRANSMITTABLE