sahihi

  1. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi makampuni ya mawasiliano kukopesha muda wa maongezi Kwa riba?

    Straight to the point. Nimekuwa nikifikiria Jambo hili na kuona Kama haliko Sawa. Kwanza ukisajili laini na kutaka kukopa muda wa maongezi papi hapo hawakubali. Wanachotaka ni uwe umenunua muda wa maongezi (uwaingizie faida) mara kadhaa ndipo uruhusiwe kukopa. Sasa Kwa kuwa tayar mteja...
  2. realMamy

    JamiiForums Tanzania Ni sehemu ipi sahihi ya kuelezea siri au kitu kinachokusumbua kwa muda mfupi au muda mrefu?

    Kwa uzoefu tu Jamani watu wengi ni wasaliti sana. Unaweza kumueleza kitu chochote ili upewe ushauri. Cha ajabu ushauri hupewi bali utayasikia mtaani na hii inaumiza sana. Sasa ni wapi Jamani mtu ueleze siri yako? Mimi limewai nikuta nilimueleza mtu siri na akaenda kuisambaza mahali nilijuta...
  3. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mdau yupo sahihi kuhusu Wachungaji na Mahospitali?

    Yupo sahihi?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Siwa amekamilisha kazi yake ya kupanga safu sahihi kwa kesho nzuri, mliopo ofisini anzeni kuaga mpishe damu mpya na mawazo mapya

    Mabadiliko yanayotokea sasa yanaanza kusuka upya mfumo wa utumishi wa umma. Tunategemea mapendekezo ya kiongozi aliyestaafu yanakwenda kuweka mwanzo mpya kwa mfumo wa utumishi. Wapo wenye dola watakaotumbuliwa na kukabidhiwa wengine wanaoendana na mahitaji ya sasa. Ni muda muafaka kwa wakuu wa...
  5. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Pre season ya Simba hawatapata kipimo sahihi cha kujipima

    Uongozi wa simba kuna mda unashangaza sana Unaenda kufanya pre season kwenye nchi ambayo unajua kabisa ni ngumu sana kupata timu ya maana ya kujipima kwa sababu kubwa ligi haijaisha Kwanini wasingeenda moroco ambako nako ligi imeisha na wananafasi kubwa sana ya kupata kipimo kizuri kuliko...
  6. britanicca

    JamiiForums Tanzania Siasa za Beirut zinalipa Kama rival akisajiliwa je, ni sahihi kumpa Wizara ilokuwa ya Mpinzani wa Dr Mwezi huu? Au tungevuta vuta muda?

    Hapo beirut kimewaka! Mmoja akaambiwa kwa kuwa umehusika na jambo fulan basi kaa pembeni sana tupange upya ka karatasi ka kulinda Beirut yetu wakati wa kuangaliana Tel aViv wakagundua mpalestina ambaye kaangukia mikono ya wayahudi, wakasema kwanza tutakupa nafasi ukasimamie kule ambako alitokea...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna Rais nimemuona ana Msafara wa Gari 84 hadi Trafiki akachoka na kususa Kuziongoza, hivi nimeona peke yangu tu vibaya au nilichokiona ni sahihi?

    Ngoja tu niende tena katika Ukurasa wa X wa African Hub ili nikaingalie upya hiyo Video na nijiridhishe kwani sijaamini.
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Napenda Utani wetu wa Simba na Yanga, ila hili la kusema kuwa akina Mzee Magoma na Wenzake wamefoji Sahihi na Nyaraka nalikataa tena kwa 100%

    Mkiniambia GENTAMYCINE kuwa upande ambao mmetakiwa Kuachia Timu na ambao ndiyo mna Hela chafu na Utajiri mkubwa mmeamua kutumia Nguvu yenu ya Fedha na Propaganda kwa Kubebwa na Wakubwa walioko Serikalini na wenye Nguvu na Ushawishi kubadilisha huu Upepo na Kumsingizia Mzee Magoma na Wenzako kwa...
  9. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Mpira wa Tanzania unaendeshwa na wahuni, lililotokea Yanga Magoma yupo sahihi!

    Mpira wa bongo umejaa wahuni ndio maana vilabu vinaongozwa na vibaka tu, wenye uwezo wa kununua suti na kupata sapoti ya watu wenye pesa kuongoza hivyo vilabu. Juzi kati Simba watu wamebadishana uongozi kama vile wachezaji wanabadishana jezi au mbio za vijiti, hapo akitokea mtu mwenye kichaa...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kama Mdada wa mjini akikuambia kuwe wewe ni "boring" basi tambua unaishi sahihi.

    ................Akikusifia sana basi tambua unajilazmisha kuishi nje ya mipaka yako na comfort zone yako ili kumridhisha yeye au ku-brag kwake kuwa unamuweza. Shikilia hapo hapo mwanangu ni bora uitwe mshamba kuliko kujisukuma sukuma hadi unajikuta umempangia nyumba malaya. A HOE IS A HOE.
  11. comte

    JamiiForums Tanzania Hili ni sahihi kweli kwamba England haina katiba

    mwenye ufahamu anisaidie?
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kupaka rangi za bendera inaweza kudhibiti matumizi yasiyo sahihi ya magari ya serikali

    Kuna kijana huko Kenya amependekeza magari yote ya serikali ya Kenya yapakwe rangi ya bendera za Taifa ili kudhibiti matumizi yasiyo sahihi ya hayo magari, Je vipi wazo hili kwa Tanzania?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Chuo sahihi cha kusoma BSc in Civil Engineering

    Mwanafunzi amefaulu kidato cha sita PCM kwa kupata D-Physics, C-Chemistry, C-Mathematics sasa anaomba ushauri wa chuo sahihi kizuri cha kusoma BSc in Civil Engineering kati ya hivi vifuatavyo; Ardhi(ARU), MUST na DIT.
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi mlioko hapa JamiiForums tafadhali naomba neno sahihi la Kiswahili la 'Quarter Guard' nitawashukuruni sana

    Na nitaomba pia kama kuna Mwanajeshi yoyote yule hapa JamiiForums mwenye Kamusi Maalum ya maneno ya Kijeshi ya Kiswahili kwenda Kiingereza au Kiingereza kwenda Kiswahili aniwekee hapa au aniambie naweza kuipata wapia. Asanteni Maafande.
  15. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Je, kwa Usajili waliofanya Yanga ni sahihi kumuachia Azizi Ki?

    Ni wazi kwamba Azizi ki anaelekea South Africa. Je, Yanga wako sahihi kumuacha aondoke au wanakosea?
  16. U

    JamiiForums Tanzania Je Mungu yupo sahihi zaidi?anayesema mbinguni kuna kuoa au anayedai mbinguni hakuna kuoa au kuolewa?

    Wadau hamjamboni nyote? Nauliza nipate elimu Mungu yupi ni mkweli? Anayedai mbinguni hakuna kuoa au kuolewa na yule anayesema mbinguni kuna kuoa? Ukisoma Biblia Luka 20:34-35 - Yesu akawaambia, Wana wa ulimwengu huu huoa na kuolewa lakini, wale wahesabiwao kuwa wamestahili kuupata ulimwengu...
  17. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Mama Samia yupo Sahihi

    Akiongea na waandishi wa habari katika kongamano la vyombo vya habari alisema "huko nje watu wanaisifia sana Tanzania lakini huku ndani tunasema vibaya kuhusu jitihada mbali mbali za serikali" mwisho wa kunuu Na hii ndio hali ambayo tunayo sasa baada ya hawa vichaa wa gen z huko Kenya kuonekana...
  18. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Ijayo bila Watoto wa Mtaani: Mwelekeo Sahihi wa Kitatuzi

    Tanzania Ijayo bila Watoto wa Mtaani: Mwelekeo Sahihi wa Kitatuzi Kadiri siku zinavyokwenda idadi ya watoto wa mtaani inazidi kuongezeka. Ongezeko lao linatishia mustakabali wa nchi kwa sababu ndani ya watoto wa mitaani, ndipo vikundi vya kihalifu huibuka kama vile pangaboy na panyaroad. Kwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa wanandoa kuanza tendo la ndoa kwa Sala?

    Hello wakuu, Greetings, Kama kichwa kinavojieleza Niko kujifunza na Kwa faida ya wengine pia...naombeni kufahamishwa kama ni sahihi kuombea tendo kabla hamjaanza....Na shuhuda Kwa ambao walishawahi omba Nawakaribisha.
  20. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Tuache Unafiki: Bashe alichukua hatua sahihi kumaliza tatizo la sukari. Hongera Dr. Tulia kwa kumlinda na kulinda maslahi ya nchi

    Kwa miaka nenda rudi genge la wazalishaji wa sukari wamekuwa wakilichezea soko letu ili kupiga super profit. Wanatengeneza uhaba wa sukari, wanaacha ipande bei, kisha wanapata vibali vya kuagiza nje na kuuza kwa bei ya juu. Tena wakati mwingine wanabadili vifungashio ili ionekane imezalishwa...
Back
Top Bottom