Jinsi ya kuishi na Mwenza mwenye maambukizi ya VVU au UKIMWI

NESARA1952

New Member
Jun 5, 2023
4
14
Habari wakuu

Uzoefu: Nimeishi na mwenza mwenye maambukizi ya virusi vya ukimwi tukiwa katika mahusiano ya muda mrefu sana kwa takribani miaka 5 (2014-2019), katika kipindi chote hiki tulishiriki vyema mambo yote hata yale ya kujamiana na sote tulifurahia, kwasasa tumeachana lakini sina maambukizi hata tukipima sina maambukizi.

Kanuni za kuishi na mwenza mwenye maambukizi ya Ukimwi

1. Kumtanguliza Mungu na pia uwe na imani ya dhati kuwa huwezi pata maambukizi.

2. Ukweli na Uwazi. Jua taarifa zote za mwenza wako ikiwemo mahudhurio yake ya kliniki, maendeleo ya kinga yake ya mwili (Kama imepanda, imeshuka au kawaida), CD4 kati ya 500-1400 hawezi kukupa maambukizi hata mkifanya tendo, CD4 ya 1000-1500 hata akipimwa Virusi haviwezi kuonekana, CD4 ya chini ya 200 hapa ukijaribu tuu atakuambukiza. Inatakiwa ujue hadi maendeleo yake ya kumeza dawa za ARV's na uweze kumsimamia, hizi ni dawa ambazo hata kuzimeza tuu ni changamoto, huwa zinamchosha sana muathirika hasa baada ya kuzimeza zinahitaji mtu aliyeshiba vizuri.

Muda sahihi wa kuzimeza ni ukimeza tuu unaingia kulala, hufanya mtu hadi kupata kizunguzungu yani zinachosha kweli. Pia ujue kuhusu idadi ya Viral loads, pia itakusaidia kufahamu zaidi kuhusu kinga yake ipo yake katika hali gani.

3.Mlinde, Atakulinda. Maambukizi mapya ni hatari sana kwa mtu mwenye maambukizi.

4. Maandalizi mazuri kabla ya Tendo. Ni vyema ufanye maandalizi mapema hakikisha muccus zinakuwa nyingi kila kona, usitumie vilainishi. Natural one is good.

5.Usiende zaidi ya round tatu kwa siku (Bao tatu), madaktari hutoa maelekezo kuhusu Bed shows na nyakati sahihi za Show za kibabe.

6. Hakikisha mwenza wako anazingatia maelekezo yote aliyopewa na daktari hasa kuhusu Mlo kamili, Mazoezi, Matumizi shihi ya dawa, idadi ya round na maelekezo mengine.

N.B: Mimi wa kwangu nilikuwa nampeleka hadi Hospitali kufata dawa na maelekezo ya daktari.

Lakini pia wenza hawa wanaweza kuzaa na mtoto asipate maambukizi yoyote. Hata kama ndio mwenye maambukizi anaweza akashika ujauzito na akajifungua salama tuu na mtoto asipate maambukizi hata kidogo, ila kanuni hizo nimezitaja ni lazima zizingatiwe kwa 100%.
 
Mungu atuepushe
1698425065694.png
 
Habari wakuu

Uzoefu:Nimeishi na mwenza mwenye maambukizi ya virusi vya ukimwi tukiwa katika mahusiano ya muda mrefu sana kwa takribani miaka 5 (2014-2019),katika kipindi chote hiki tulishiriki vyema mambo yote haya yale ya kujamiana na sote tulifurahia,kwasasa tumeachana lakini sina maambukizi hata tukipima sina maambukizi.

Kanuni za kuishi na mwenza mwenye maambukizi ya Ukimwi

1.Kumtanguliza Mungu na pia uwe na imani ya dhati kuwa huwezi pata maambukizi.

2.Ukweli na Uwazi.Jua taarifa zote za mwenza wako ikiwemo mahudhurio yake ya kliniki,maendeleo ya kinga yake ya mwili (Kama imepanda,imeshuka au kawaida),CD4 kati ya 500-1400 hawezi kukupa maambukizi hata mkifanya tendo,CD4 ya 1000-1500 hata akipimwa Virusi haviwezi kuonekana,CD4 ya chini ya 200 hapa ukijaribu tuu atakuambukiza.Inatakiwa ujue hadi maendeleo yake ya kumeza dawa za ARV's na uweze kumsimamia,hizi ni dawa ambazo hata kuzimeza tuu ni changamoto,huwa zinamchosha sana muathirika hasa baada ya kuzimeza zinahitaji mtu aliyeshiba vizuri.Muda sahihi wa kuzimeza ni ukimeza tuu unaingia kulala,hufanya mtu hadi kupata kizunguzungu yani zinachosha kweli.Pia ujue kuhusu idadi ya Viral loads,pia itakusaidia kufahamu zaidi kuhusu kinga yake ipo yake katika hali gani.

3.Mlinde,Atakulinda.Maambukizi mapya ni hatari sana kwa mtu mwenye maambukizi.

4.Maandalizi mazuri kabla ya Tendo.Ni vyema ufanye maandalizi mapema hakikisha muccus zinakuwa nyingi kila kona,usitumie vilainishi.Natural one is good.

5.Usiende zaidi ya round tatu kwa siku (Bao tatu),madaktari hutoa maelekezo kuhusu Bed shows na nyakati sahihi za Show za kibabe.

6.Hakikisha mwenza wako anazingatia maelekezo yote aliyopewa na daktari hasa kuhusu Mlo kamili,Mazoezi,Matumizi shihi ya dawa,idadi ya round na maelekezo mengine.

N.B: Mimi wa kwangu nilikua nampeleka hadi Hospitali kufata dawa na maelekezo ya daktari.

Lakini pia wenza hawa wanaweza kuzaa na mtoto asipate maambukizi yoyote.Hata kama ndio mwenye maambukizi anaweza akashika ujauzito na akajifungua salama tuu na mtoto asipate maambukizi hata kidogo,ila kanuni hizo nimezitaja ni lazima zizingatiwe kwa 100%.
😔😔😔😔
 
Back
Top Bottom