sabaya

Sabaya is a small town in the Bolivian Oruro Department. In 2001 it had a population of 573 inhabitants in 2001. Sabaya is the administrative center of the Sabaya Province and the Sabaya Municipality alike. It is located 200 km south-west of Oruro, the capital of the department. It is situated at 3,698 m above sea level in the valley of the Sabaya River on the eastern slopes of Pumari (4,787 m). Salar de Coipasa lies 25 km south-east of Sabaya, and the stratovolcano Tata Sabaya (5,430 m) is situated 20 km south-west of Sabaya.

View More On Wikipedia.org
  1. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Aliyotenda Ole Sabaya ni madogo kuliko ya Paul Makonda. Rais Samia malizia kiporo hiki

    Ya Sabaya tumeyaona, lakini uovu wa Sabaya ni kama 5% tu kwa uovu aliofanya Paul Makonda au Daudi Bashite. Inadaiwa Makonda anahusika moja kwa moja na matukio yafuatayo; 1. Kuuawa kwa Ben Saanane 2. Kushambuliwa Tundu Lissu 3. Kuuawa kwa Akwilina 4. Kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kutoka...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Sabaya ukiwa jela andika kitabu kitachosaidia wateule wenzako yasiwakute yaliyokukuta

    Kama sheria na taratibu zinaruhusu wafungwa kuandika kitabu, nakushauri utumie muda wako wa kuwa kifungoni uandike kitabu kitachoeleza kila kitu yakiwemo yale ambayo hukuyasema mahakamani (kama yapo) ili usaidie wenzako yasiwakute yaliyowakuta. Kwasababu umeshaenda jela(unless unataka kukata...
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Sijapenda hicho wanachomfanyia Sabaya

    loading....................
  4. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa Lengai Ole Sabaya baada ya kumaliza kifungo.

  5. Baraka21

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa Ole Sabaya 2051 baada ya kutoka jela utakuwa hivi.

  6. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kesi ya Mbowe na tofauti na kesi ya Sabaya

    Ukweli kesi ya Mbowe Kila anaeifuatilia anajua kabisa kuwa kesi hii ni ya kutunga na ukweli pia kesi ya Sabaya kila anaeifuatilia anajua kabisa kuwa kesi yake ni ya ukweli. CCM wote wanajua kabisa kesi ya Mbowe ni ya kumkomoa na CCM wote wanajua kabisa Kesi ya Sabaya ni kweli alifanya makosa...
  7. MGOGOHALISI

    JamiiForums Tanzania Baada ya Sabaya kuhukumiwa una lipi la kusema kuhusu serikali iliyomteua na kutochukua hatua kwa matendo yote hayo?

    Mimi nasema Tanzania haitakiwi kuwa na viongozi wa tabia za JPM. Wewe je?
  8. Mindi

    JamiiForums Tanzania Mamlaka iliyomteua Sabaya na kutomtumbua, inahusika pia na hukumu hii

    Sabaya amehukumiwa kifungo cha miaka 30 kwa ujambazi wa kutumia silaha. Katika kujitetea, mara nyingi amesema kwamba alikuwa anatekeleza maagizo ya mamlaka iliyomteua. Kwa maoni yangu, hata bila utetezi wake huo, kitendo cha mamlaka ya uteuzi kunyamazia vitendo vyake vya ujambazi, ni kuhusika...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya Sabaya, waliompiga risasi Lissu wajue na wao iko siku wataenda jela

    Moja ya funzo kubwa tunalopata kutokana na hukumu ya Sabaya ni kuwa, hata ukitumika na wakubwa ,ipo siku hawatakuwapo na hata wakiwepo, wanaweza wasiwe na msaada kwako hivyo yatakukuta tu kama yalivyomkuta Sabaya leo hii. Mliomshambulia Lissu kwa risasi mkoani Dodoma,, mjue siku yenu ipo na...
  10. Ibrahim daud

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mwanadada ambae Sabaya alimchumbia

    This is weekend Thanks Cc bia tamu
  11. Ngengemkenilomolomo

    JamiiForums Tanzania Je, hukumu ya Sabaya ina mtazamo gani juu ya kesi ya Mbowe?

    Wakuu kuhusu kilichotokea huko kwa kwa Sabaya ni kama mlivosikia, swali ni je hukumu hiyo imetolewa kama kuwafumba macho Watanzania ili itakapotolewa (mvua) hukumu kwa Mbowe ionekane kwamba imetenda haki? Kwa hukumu hiyo ya Sabaya inaleta taswira gani kwa hukumu ijayo ya Mbowe?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Sabaya na Manabii wa Mola tusio Wakubali

    Haya si maneno yangu: "Nabii hakubaliki kwao." Nini kulikuwa kigeni kwake aliyekuwa Mh. Sabaya? Je hakuonywa? Au alitegemea manabii waje na mbawa zao kama malaika straight toka kwa Mola? Ikumbukwe mheshimiwa Lema aliwahi toa maonyo si kwa ndugu huyu pekee, na kweli yakatokea. Ama kweli...
  13. Baraka21

    JamiiForums Tanzania Mchumba wa Ole Sabaya afunguka

    Kikubwa alichosema anamshukuru Mungu kwa kila jambo. Na mambo yote hupangwa na Mungu.
  14. MUSIGAJI

    JamiiForums Tanzania Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

    Wanajukwaa poleni kwa kumbukumbu ya kifo cha muasisi wa Taifa letu,Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Bila shaka baada ya Hukumu ya Lengai Ole Sabaya kuhairishwa tarehe 1/10/2021 ilipangwa kwamba itatolewa leo. Hivyo tuelekeze masikio yetu katika viunga vya mahakama. ======= Aliyekuwa...
  15. Riz king

    JamiiForums Tanzania Sabaya aliwahi nikata makofi wakati sikuwa mkosaji. Nimemsamehe

    Ilikuwa 2019 maeneo ya kwa sadala wilayani Hai kule kilimanjaro. Baada ya mkutano wa sambaratisha CHADEMA akiwa na wenzake Sabaya huenda alinifananisha na adui yake kisiasa. Aliniita kwenye gari lake pindi alivyomaliza mkutano. Aliniuliza maswali kadhaa kuhusu mikakati inayofanyika na CHADEMA...
  16. Nyendo

    JamiiForums Tanzania TRA: Hatukumtuma Sabaya kukusanya kodi

    KAIMU Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mkoa wa Arusha, Kayobio Majogoro(41), ameieleza mahakama kwamba ofisi yake haikuwa na taarifa kwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Lengai Ole Sabaya, kuongoza kikosi kazi maalumu kwenda kukusanya kodi katika Jiji la Arusha...
  17. Gordian Anduru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SABAYA atinga mahakamani na Jezi ya YANGA

    Kumbe watu wa kada mbali mbali ni WANANCHI ndomana tukaongoza kwa mapato
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katibu Tawala: Sabaya, hakupewa kibali chochote cha Maandishi kwenda kutekeleza majukumu nje ya kituo chake cha kazi

    Katibu Tawala Msaidizi wa zamani wa Mkoa wa Kilimanjaro, Renatus Msangira (45), amepanda kizimbani akidai kwamba aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani humo, Lengai Ole Sabaya, hakupewa kibali chochote cha maandishi kwenda kutekeleza majukumu nje ya kituo chake cha kazi. Msangira, ambaye ni...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Shutuma Kubwa walizonazo sioni akina Sabaya na Mbowe wakikwepa kuyaanza Maisha yao mapya na rasmi Gerezani

    Anaanza Kuhukumiwa kwenda Jela mwana CCM Sabaya kisha anafuatia mwana CHADEMA Mbowe na Mzani unakaa sawa. Ushauri wangu wa bure tu kwa Familia za Wahusika waanze Kujiandaa Kisaikolojia na kupeana zamu kwenda Gerezani. Hukumu za hawa Wawili zitaionyesha Jumuiya ya Kimataifa kuwa Tanzania ya Bi...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Ole Sabaya asomewa mashtaka mapya 5 ya uhujumu uchumi. Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha yapewa mamlaka kusikiliza kesi

    09 September 2021 SABAYA ASOMEWA MAKOSA MAPYA MATANO "ALICHUKUA MILIONI 90 KWA MFANYABIASHARA" Aliyekuwa mkuuu wa wilaya ya hai Lengai Ole Sabaya na wenzake sita wamesomewa shtaka la uhujumu uchumi lenye makosa matano kwa madai yakuchukua million 90 kutoka kwa mfanyabiashara ili wasimchukulie...
Back
Top Bottom