sabaya

Sabaya is a small town in the Bolivian Oruro Department. In 2001 it had a population of 573 inhabitants in 2001. Sabaya is the administrative center of the Sabaya Province and the Sabaya Municipality alike. It is located 200 km south-west of Oruro, the capital of the department. It is situated at 3,698 m above sea level in the valley of the Sabaya River on the eastern slopes of Pumari (4,787 m). Salar de Coipasa lies 25 km south-east of Sabaya, and the stratovolcano Tata Sabaya (5,430 m) is situated 20 km south-west of Sabaya.

View More On Wikipedia.org
  1. mshale21

    JamiiForums Tanzania Kesi mpya ya Uhujumu Uchumi inayomkabili Ole Sabaya na wenzake sita yaahirishwa

    Arusha. Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita, imeshindwa kusikilizwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, kutokana na hati na ridhaa ya kuruhusu mahakama hiyo kusikiliza kesi hiyo kutokamilika. Leo Ijumaa Agosti 27, 2021...
  2. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Ole Sabaya kupanda Kizimbani leo kesi ya Uhujumu Uchumi

    Aliye Kuwa mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya leo kuendelea na kesi ya Uhujumu uchumi na wenzake Sita. Mahakama ya hakimu mkazi Arusha inatarajia kumsomea mashitaka hayo Sabaya ambayo ni kesi inayo mkabili na wenzake Sita.
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Sabaya akithibitisha Mahakamani kuwa Mbowe na genge lake walitaka kumuua itakuwaje?

    Katika utetezi wake Sabaya alidai kuwa alikuwa na maadui wengi wa kisiasa huko Hai na walitaka kumuua ndio maana alikuwa akimiliki bastola aina ya Glock 17. Na ameenda mbali akadai hata kesi yake ni fabricated sababu hao maadui zake walipanga kummaliza kisiasa. Tumepigwa na butwaa kumbe maadui...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Ole Sabaya kutolewa Oktoba 1, 2021

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imehitimisha usikilizwaji wa kesi ya jinai namba 105 ya mwaka 2021, inayomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili, hukumu ya Kesi hiyo sasa ni Oktoba 01, 2021. === Kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha namba...
  5. mshale21

    JamiiForums Tanzania Mshtakiwa akana kumtambua Sabaya

    Arusha. Mshitakiwa wa tatu katika kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, Daniel Laurent Mbura (31), ameieleza mahakama kuwa hamtambui mshitakiwa wa kwanza wala wa pili katika shauri hilo na alifahamiana nao walipofikishwa...
  6. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Kwani, Walinzi wa Mbowe si walikamatwa na Sabaya mwenyewe? Inafikirisha sana

    Kuna mambo ya ajabu sana ndani ya taifa hili, hivi bado kuna la kujiuliza kuhusu walinzi wa Mbowe ambao tunaambiwa nao wana tuhuma ya kesi ya Ugaidi? Si ndio huyu huyu Sabaya wanaosema kwamba alikuwa anataka kuuawa na ndio yeye aliwakamata? Yaani Sabaya huyu huyu akakamate waliotaka kumuua na...
  7. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Mahakama itamleta IGP Sirro na Sabaya Mahakamani kama ilivyoombwa na Wakili Kibatala

    Wakili Peter Kibatala kwa niaba ya jopo ameiomba Mahakama imlete IGP Sirro na Ole Sabaya kuja Mahakamani kutoa ushahidi katika kesi ya Freeman na wenzake Aidha. Pia Washtakiwa watatu wamekataa maelezo yaliyosomwa Mahakamani hapo na kusema sio maelezo waliyotoa. Je, Mahakama itaridhia na...
  8. JF Member

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe na wenzake watuhumiwa kula njama na kumdhuru Lengai Ole Sabaya

    Kutoka Kisutu, Mbowe anashitakiwa kwa makosa mengi ikiwemo kula njama na kusabisha majeraha kwa aliyekuwa mkuu wa wilaya Hai, Lengai Ole Sabaya Kazi ipo. Pia soma Sabaya asema alinusurika kuuawa mara mbili akiwa Mkuu wa Wilaya Sabaya asema alimiliki silaha kwa sababu alikuwa anatishiwa kuuawa
  9. mshale21

    JamiiForums Tanzania Sabaya: Sikumbuki kushtakiwa kwa kujifanya Usalama wa Taifa

    Arusha. Lengai Ole Sabaya, aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, amedai hakumbuki kushtakiwa kwa kujifanya ofisa Usalama wa Taifa wala kuhojiwa na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora. Mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Odira Amworo, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha jana, Sabaya alitoa madai...
  10. SN.BARRY

    JamiiForums Tanzania Glock 17 kama ya Sabaya

    Ila yeye kasema mahakamani Glock 17 sio bastola ni kachuma tu kadogo kakujilinda.
  11. mshale21

    JamiiForums Tanzania Ole Sabaya amkana mshirika wake katika kesi

    Arusha . Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro Lengai o Sabaya amemkana mshirika wake katika kesi hiyo ya unyang'anyi wa matumizi, Sylvester Nyegu, kuwa hakuwa msaidizi wake. Sabaya na wawili wawili, Nyegu ambaye anadaiwa na upande wa mashtaka kuwa msaidizi wake binafsi na...
  12. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Sabaya ametufumbua macho: Wateule wa Rais huvunja sheria na haki za binadamu na hawachukuliwi hatua mpaka mamlaka ya uteuzi iamue

    Taifa letu linatia aibu sana, maana ni kama hatuko ulimwengu wa karne ya ishirini na moja, ambayo inataka kuwe na usawa kwa binadamu wote. Maana hakuna ambaye ni special zaidi ya mwingine. Kuna watu wanaua raia wenzao, wanatesa raia wenzao wakiwa mahabusu na kuwapiga mpaka wanakuwa vilema...
  13. bahati93

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Sabaya na Mbowe ni makutano

    Habari watanzania, watanzania wapenda amani. Leo Jtatu nimeona nisiwache wanyonge hivi ni bora nitie neno kidogo kwenye hili Sakata la Mbowe sambamba na Sabaya. Maneno yapo mengi ya kusema lakini maneno bora nayoyaona ni haya “ HISTORY REPEAT ITSELF UNTIL LEARNED”. Msingi wa kuchukua msemo huo...
  14. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Michango ya Kumchangia Sabaya iliishia wapi?

    Kuna watu walianzisha kampeni ya kumchangia Sabaya ili kumuwekea Wakili "mkali" kabisa na kwamba walitaka kukusanya kiasi kikubwa cha fedha kwa ajili ya kwenda kumtembelea. Mmeishia wapi? Mlikusanya kiasi gani? Maana kama Wakili mliyempata ndio kashauri Sabaya aseme Yale aliyoyasema basi...
  15. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Sabaya kaiaibisha Ikulu kwa kuihusisha na uhalifu alioshitakiwa nao

    Hizi tuhuma ambazo zinatolewa na Sabaya kuwa mamlaka ya uteuzi ilihusika kumpa kazi maalumu kisha tuhuma za uhalifu zikatokea ni aibu kwa taifa letu. Ikulu ambayo ndio mahala pa kuonyesha mamka ya wananchi kuwageuka wananchi na kumtuma Sabaya kufanya uhalifu ni aibu kubwa na fedheha kwa taifa...
  16. Cicadulina

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Gavana wa BOT akimpongeza Sabaya kufanikisha kukamatwa kwa fedha bandia

    Tazama video
  17. S

    JamiiForums Tanzania Utetezi wa Sabaya kuwa alifanya uhalifu kwa amri ya mamlaka iliyomteua ni sababu kubwa kwa nini Tanzania tunahitaji mabadiliko ya Katiba

    Naamini kwa dhati kabisa kile alichosema Sabaya, kwamba matendo ya kihalifu aliyofanya Arusha ilikuwa maagizo toka mamlaka iliyomteua na alipaswa kutii. Sabaya ameenda mbali, akasema haikuwa mara ya kwanza kupewa maagizo kama hayo. Na ni wazi kwamba Sabaya kama Mkuu wa Wilaya nje ya Arusha...
  18. mngony

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea kesi ya Sabaya, naamini tutakuja kujua waliohusika kumshambulia Tundu Lissu na wasiojulikana kujulikana

    Tunaanza kusikia tuliyokuwa hatuyajui au kuthibitisha yale tuliyokuwa tukidhania, kwa yanayondelea kutamkwa na Sabaya ni wazi hata kitendawili cha waliomshambulia Tundu Lissu na kilichowasukuma kinaweza kutatuliwa. Sabaya anatamka kabisa kuwa alifika KIA akakutana team ya watu 4 ambao hawezi...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Hivi sabaya akisema kwamba "Hata mbowe alishinda ila nilitumwa nihakikishe anatangazwa wa ccm"! Itakuwaje.

    Nimewaza tu jamani. Mana sabaya anajua siri nyingi sana na katika watu waliokuwa hawajulikani au watu wasiojulikana wajati ule tayari yeye ni mmoja wao na amejifunua tayari
  20. G

    JamiiForums Tanzania Hongera Sabaya kwa kufunua ukweli, pengine wasiojulikana watajulikana

    Kwa kifupi Sabaya amefunua ukweli ambao wengi tusingeweza kuufahamu kirahisi. Kwanza ni ujasiri mkubwa kuwataja viongozi wakubwa kwenye kesi ambayo inaonyesha Kuna uhalifu, Kukiri kwamba alitumwa na mamlaka ya uteuzi ni dhahiri kwamba kuna uwezekano kwamba nayo ilihusika. Wengi tunafamu...
Back
Top Bottom