sabaya

Sabaya is a small town in the Bolivian Oruro Department. In 2001 it had a population of 573 inhabitants in 2001. Sabaya is the administrative center of the Sabaya Province and the Sabaya Municipality alike. It is located 200 km south-west of Oruro, the capital of the department. It is situated at 3,698 m above sea level in the valley of the Sabaya River on the eastern slopes of Pumari (4,787 m). Salar de Coipasa lies 25 km south-east of Sabaya, and the stratovolcano Tata Sabaya (5,430 m) is situated 20 km south-west of Sabaya.

View More On Wikipedia.org
  1. Jaji Mfawidhi

    MATAGA, UVCCM: Lengai Ole Sabaya anaonewa

    DC OLE SABAYA ambaye alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai inasemekana shutuma zote ni za Uongo. Ikumbukwe Sabaya alikuwa UVCCM Arusha na alikuwa anajifanya ni TISS kama ambayvo Happi amekuwa akiongopea kabla hajapewa madaraka. Sabaya ni mtu mwema sana, amefanya mengi mazuri ya kuigwa na Wakuu wa...
  2. Roving Journalist

    Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili kuanzia leo, Mei 13, 2021 Aidha, Rais Samia amefanya teuzi za Viongozi mbalimbali ambao uteuzi wao unaanza leo. Pia soma: Mtozi Alloyce...
  3. Nigrastratatract nerve

    Sabaya tulia Mungu atatenda muujiza maana huwezi kupambana na ufisadi chini ya mfumo wa kifisadi

    LENGAI OLE SABAYA, HUWEZI KUPAMBANA NA UFISADI NDANI YA MFUMO WA KIFISADI, UKABAKIA SALAMA: Mfumo wa ufisadi, ulaji rushwa, uhujumu uchumi, ufanyaji magendo, na matumizi mabaya ya madaraka kwa viongozi wa umma ulianza kujikita mizizi serikalini na kwenye Chama cha Mapinduzi kuanzia miaka ya...
  4. B

    Ya akina Sabaya na awamu ya tano yasifumbiwe macho

    Awamu ya tano imelalamikiwa sana kuhusiana na ukiukwaji mkubwa wa haki za watu. Pana watu wengi wameuwawa, wamepotezwa na wengine wamejeruhiwa. Wapo ambao wamefilisiwa, wamenyanyaswa, wako magerezani au mikononi mwa dola hadi sasa kinyume kabisa na utaratibu. Wapo waliokuwa na dhamana za kutoa...
  5. S

    Nimefuatilia shutuma nyingi dhidi ya Sabaya zinaonesha zina ukakasi. Hongera Rais kwa kuruhusu uchunguzi juu yake

    Habari wakurugenzi..! Binafsi nimekuwa nikimfatilia sana mkuu wa wilaya wa Hai aliyepita ndugu Sabaya. Kiukweli nimefuatilia interview zake na pamoja na wale wanaomshutumu nyingi zinaonyesha zina ukakasi yaani zinaweza zikawa sio shutuma za kweli juu yake bali za kupika. Ukiangalia utaona...
  6. thetallest

    Ole Sabaya: Hai iliendeshwa kihuni sana, mimi nimekuwa mwarobaini

    Kwa Mujibu wa maelezo yaliyotelewa leo na DC wa Hai, Sabaya, 360 Clouds, hakika eneo hilo uwajibikaji ulikuwa duni sana . Takwimu zinaonyesha ujambazi ulikithiri, mihadarati, wananchi wanyonge kuporwa mashamba, makusanyo hafifu ya kodi, uhaba wa vituo vya afya, miundombinu chakavu na mengine...
Back
Top Bottom