sabaya

Sabaya is a small town in the Bolivian Oruro Department. In 2001 it had a population of 573 inhabitants in 2001. Sabaya is the administrative center of the Sabaya Province and the Sabaya Municipality alike. It is located 200 km south-west of Oruro, the capital of the department. It is situated at 3,698 m above sea level in the valley of the Sabaya River on the eastern slopes of Pumari (4,787 m). Salar de Coipasa lies 25 km south-east of Sabaya, and the stratovolcano Tata Sabaya (5,430 m) is situated 20 km south-west of Sabaya.

View More On Wikipedia.org
  1. Superbug

    Namshauri mchumba wa Sabaya aolewe mapema Sabaya amechafuka na haajiriki Tena na hataweza kumbeba na uzuri ule

    Kifupi sabaya ni zero empty na hakuna future Wala connection kuwa Nate. Yule mwanamama wake ni mlimbwende na bado Ana ndoto na maono makubwa aachane na sabaya ; sabaya ameshafeli maisha ni zero set aachane nae aolewe na mwanaume mwenye future.
  2. Poppy Hatonn

    Hukumu dhidi ya Sabaya haikunipendeza.

    Ndilo jani litakalovunja mgongo wa ngamia. Yule Sabaya ni prince of the nation. Mtu yeyote anayekuwa na cheo Kama kile anaitwa "prince". CCM imetisha watu imeshinda Uchaguzi na Sabaya alikuwa katika Frontline katika kutisha. Sabaya alisema,"watu wanajikamatisha,wanaenda jela,wakitoka...
  3. FRANCIS DA DON

    Je, hizi sauti za Sabaya kwenye hii video ni za kweli au ni za kutengeneza?

    Haya ni mazungumzo ya simu baina ya anaedaiwa kuwa ni Godbless Lema na Ole Sabaya, Je, hizi sauti ni authentic?
  4. Kasomi

    Wenzake watatu wa Sabaya hawana majina?

    Kwa mfululizo mzima wa kesi ya Sabaya imekuwa ikitajwa sabaya na wenzake watatu. Je, hao wenzake watatu ni akina nani? Na haiwezekani kutajwa majina yao? Naulizia tu. Mfano: Sabaya na wenzake watatu wahukumiwa Miaka 30 jela.
  5. Idugunde

    Ole Sabaya hata kama alikuwa na hatia lakini sio ya unyag'anyi wa kutumia silaha. Hakimu aliyehukumu hana weledi

    Nimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na silaha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia silaha. Ili unyang'anyi wa kutumia silaha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa silaha, kutumia silaha na kisha kupora mali...
  6. BAK

    Hukumu ya Sabaya, Udikteta na madai ya Katiba Mpya nchini Tanzania

    HUKUMU YA SABAYA, UDIKITETA NA MADAI YA KATIBA MPYA NCHINI TANZANIA Huko nyuma, sisi Askofu tulionya mara nyingi kuwa nchi yetu ilikuwa imeabiri meri iliyokuwa inatupeleka katika ng'ambo ya Udikiteta na Ufashisti. Tulikemea vitendo vya watendaji kudhalilishwa hadharani katika mikutano ya...
  7. B

    Sabaya: Haki Imetendeka na kuonekana ikitendeka

    Tathmini ya msingi inaonesha watu wengi kufurahishwa na hukumu ile bila kujali nini kitamtokea sasa baada ya hapa. Waliokuwa wapambe wake katika uovu, mitaani na mitandaoni wote wamesambaratika. Hivi Wamepotelea mashimoni kama mapanya wakichungulia kama vile hawakuwahi kuwapo wala kusema jambo...
  8. rosemarie

    Unabii wa Godbless Lema kwa Ole Sabaya umetimia?

    Lema: Acha kujipendekeza kwa kiwango cha kuumiza watu. Amri uliyopewa ya kucontrol Polisi na Bunduki, kuwa mstaarabu. Magufuli sio Mungu, haya unayofanya kuna siku you will pay. Acha mambo ya Kishamba, acha ulimbukeni. Acha kuumiza watu kwa Silaha, acha mambo ya kutekatwka watu kuchukua hela kwa...
  9. Ngongo

    Kesi nyingine ya Lengai Ole Sabaya kuanza hivi karibuni

    Wakuu heshima sana, Wakati wowote kuanzia Jumatatu Mfungwa wa kifungo cha Miaka 30 Bwana Lengai Ole Sabaya anatarajiwa kupandishwa kizimbani kujibu mashtaka ya wizi wa kuaminika na wenzake watatu ambao wote ni wafungwa wa kifungo cha muda mrefu (30 years) Lengai Ole Sabaya alitengenezewa gari...
  10. Petro E. Mselewa

    Kiukweli, nimeifurahia hukumu ya Lengai Ole Sabaya

    Nawasalimu waungwana wa JF, Jana ilisomwa hukumu ya kesi iliyokuwa inamkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake. Sasa inajulikana kuwa wamehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela. Kila upande: wa mashtaka na ule wa utetezi una haki ya kukata rufaa ndani ya muda na...
  11. Jaji Mfawidhi

    Sabaya Awataja "mamlaka ya Teuzi" na "makamu" Je nao Wawajibishwe?

    * HUKUMU YA SABAYA Tumefikaje Hapa? Ilikuwaje? Kipi hakikufanya kazi yake sawasawa? Taifa lenye mihimili yote, taasisi mbalimbali, vyombo vya habari, vyombo vya ulinzi na jumuia za kimataifa, likaacha mtu mmoja akateka, akaiba, akatesa, akabaka, na kuvunja sheria zote? Kabla ya kuteuliwa kuwa...
  12. Jakamoyo msoga

    If Jacob Zuma was jailed the former president, who is Sabaya, a merely District Commissioner!

    Sabaya court decision is not news. The outcomes were known from the date he was arrested. More importantly, this matter has political backups and background. It isn't news and not a surprise. If Jacob Zuma was jailed the former president, who is Sabaya, a merely District Commissioner! One...
  13. Jidu La Mabambasi

    Ole Sabaya: Doa jeusi kwa utawala wa Hayati Magufuli

    Hukumu iliyotolewa jana kwa Ole Sabaya, kuwa alikuwa jambazi la kutumia silaha kupora mali za wananchi, vile vile limeupaka matope utawala wa Magufuli. Kwamba mteule wa Rais, akafanya mambo kinyume na utawala wa sheria na mbaya zaidi ujambazi, ni vigumu kueleweka kirahisi kwa nini haya...
  14. F

    Hukumu ya Sabaya yaweza kuwapa wananchi kiburi ya kuibua tuhuma zingine kwa wateule awamu ya 5 na hata ya 6.

    Wadau hii hukumu sio ya kawaida. Narudia sio ya kawaida. Hukumu hii yaweza kuibua kesi hata za kutengenezwa tu ili kuwakomoa wateule wa awamu ya Magufuli na hata wa Rais Samia. Ni suala la muda tu. Wananchi wa kawaida wanaweza kutumika au hata watu maarufu kutumia mwanya huu kutekeleza azma...
  15. I

    Sabaya kapprove kwamba takribani 50% ya wabunge wa CCM hawakushinda na wenyewe wanajua hilo. Walitangazwa kwa ubabe na hila

    Mi naamini wabunge wa chadema wote wa dar walishinda ispokuw temeke ambapo ni ngome ya ccm. Wakurugrnzi waliambiwa watangaze wanaccm hivyohivyo come what may. Mfano imedhihirika wazi mbowe alishinda ila kwa vile sabaya aliagizwa kwa kazi maalumu ya kuchinja, kuteka na kuua isingekuwa rahisi...
  16. kavulata

    Hukumi ya Sabaya viongozi wa kuteuliwa tumieni akili zenu.

    Utetezi wa Sabaya ulizihusisha mamlaka za uteuzi. Mazingira yanaonesha kuwa Kuna ukweli fulani kwenye madai yake hayo ya utetezi. Ushahidi wa madai yake kwamba alikuwa anatekeleza maagizo ya mamlaka ya uteuzi yanatiwa nguvu na uwepo wa wateuliwa wengine ambao walikuwa wakiwafanyia vitendo...
  17. GENTAMYCINE

    Je, na Yule aliyemrithisha Roho Mbaya Ole Sabaya kutokea Dar es Salaam naye atakamatwa ili afungwe miaka yake 670 lini?

    Nasikia kwa sasa Mr. Dar es Salaam hataki kabisa kutumia Mitandao ya Kijamii ( japo kuna muda) huwa anaibuka na pia anasoma mara Ujerumani mara Afrika Kusini na hata akiwa Tanzania amekuwa ni Msiri na Mtu wa Kujificha na kuhamahama kama Digidigi na hata wale Malaya wake wa Beach Kidimbwi akina...
  18. Kasomi

    Nawaza tu: Huenda Sabaya hatomaliza kifungo cha miaka 30

    Asalam wakuu naomba mnukuu kwanza kwenye title ya uzi kuwa nawaza tu na neno huenda ndilo mpigie mstari. Ni kwamba sina uhakika Japo sipo sahihi kama sabaya atakaa miaka 30 jela. Kulingana na kauli ya sabaya leo kuwaambia hata wasihofu Mungu yupo huenda ina Maana Zaidi. Je, unazani hakuna watu...
  19. Stuxnet

    Aliyotenda Ole Sabaya ni madogo kuliko ya Paul Makonda. Rais Samia malizia kiporo hiki

    Ya Sabaya tumeyaona, lakini uovu wa Sabaya ni kama 5% tu kwa uovu aliofanya Paul Makonda au Daudi Bashite. Inadaiwa Makonda anahusika moja kwa moja na matukio yafuatayo; 1. Kuuawa kwa Ben Saanane 2. Kushambuliwa Tundu Lissu 3. Kuuawa kwa Akwilina 4. Kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kutoka...
  20. S

    Ushauri: Sabaya ukiwa jela andika kitabu kitachosaidia wateule wenzako yasiwakute yaliyokukuta

    Kama sheria na taratibu zinaruhusu wafungwa kuandika kitabu, nakushauri utumie muda wako wa kuwa kifungoni uandike kitabu kitachoeleza kila kitu yakiwemo yale ambayo hukuyasema mahakamani (kama yapo) ili usaidie wenzako yasiwakute yaliyowakuta. Kwasababu umeshaenda jela(unless unataka kukata...
Back
Top Bottom