sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Dah! Gospel ikipigwa Bar inanoga sana, sijajua sababu!

    Wakuu, Ushawahi kwenda Bar? Kuna Live band? Wale jamaa huwa wanapiga Nyimbo za Injili (Gospel) very touching! Achana na Gospel za Kwenye Makanisa ya Manabii! Gospel ya kwenye Bar ina upako very unique. Hongereni sana waimba Gospel kwenye Mabar MNA sehemu maalum peponi.
  2. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Simba wasijiamini sana, wataaibika kwa Mkapa kwa sababu hizi

    Derby ya Simba na Yanga inakaribia Najua wengisana wameichukulia upande mmoja yaan ushindi kwa Simba. Niweke wazi Simba isijiamini sana hi mechi inaweza shangaza wengi ulimwengu wa soka Si la kuficha upande wa kiwango watani wako juu sana sana Ila hili lusiwayumbishe niwajulishe tu Simba na...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Umasikini wetu umesababishwa na wingi wa Rasilimali tulizonazo?

    Mimi najiuliza tu, Nchi yangu Tanzania, inakila aina ya rasilimali ya utakachotaka, Inazo rasilimali za kila aina, ajabu hakuna chochote tunajivunia licha ya kuwepo Rasilimali nyiiingi kiasi kwamba nyingine hazijawahi kuguswa tangu dunia iumbwe..! Najuiliza pia, Ni kwa nini Mungu alitupa Hizi...
  4. boniuso

    JamiiForums Tanzania Fahamu sababu za upweke na madhara yake

    FAHAMU SABABU ZA UPWEKE NA MADHARA YAKE Hisia za upweke huwa zinakuja pale unapohisi kuna kitu huna ili uweze kuwa na furaha Kitendo cha kutamani vitu kutoka nje yako ili uweze kuwa na furaha husababisha huzuni na hasira Unaweza kutamani kuwa na mtu karibu,kuwa na kipato kadhaa,kazi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Black Americans wanaondoka Tanzania na hizi ndio sababu zao

    Kama mnavyojua hawa black Americans walikuja kwa kasi sana hapa Tanzania ila kwa sasa wanaondoka kwa wingi na hizi ndio baadhi ya sababu wanazozitoa ..ishu ya viza, kupata permit imekuwa ni ishu mpaka inawabidi kila baada ya miezi mitatu watoke nje ya nchi ili wagongewe viza nyingine...
  6. BAK

    JamiiForums Tanzania Ni sababu zipi ziliwafanya hawa washindwe kufufua Viwanda?

    Mwijage, Kakunda wakiri kushindwa kufufua viwanda WEDNESDAY JUNE 23 2021 Summary Mawaziri wa zamani wa viwanda na biashara leo Jumatano Juni 23, 2021 wamekiri bungeni mjini Dodoma kuwa walishindwa kufufua viwanda. By Habel Chidawali More by this Author Dodoma. Mawaziri wa zamani wa viwanda na...
  7. tpaul

    JamiiForums Tanzania Simba hatarini kupokonywa kombe; TFF kufungiwa na FIFA kwa sababu ya Yanga

    Jambo wakuu! Naingia kwenye mada moja kwa moja pasipo kuwachosha. Naomba niwatonye jambo moja la hatari linaloinyemelea soka ya Tanzania endapo TFF hawatachukua hatua zinazofaa kuepushia mbali hatari hii. Mechi iliyopita kati ya Simba na Yanga ilishindikana kuchezeka baada ya uongozi wa klabu...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Barua ya Uchumba; sababu 30 zilizonifanya nimpose Binti Yenu

    BARUA YA UCHUMBA; SABABU 30 ZILIZONIFANYA NIMPOSE BINTI YENU. Kwa Mkono wa, Robert Heriel Taikon , kijana wenu, mwana wa Tibeli, kutoka nyota ya Jibi, Kuhani katika Hekalu Jeusi. Na, Kwa Baba na Mama Mkwe, wa Nchi ya Maziwa na Asali, inayomea miti izaayo matunda misimu yote. Neema ya Mungu...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama tumefikia hatua ya kuachia watuhumiwa kwa sababu za kisiasa, Taifa letu linaelekea pabaya sana

    Ni wazi kuwa ofisi ya Dpp inatumika kisiasa na haifanyi kazi zake kwa weledi. Kama watuhumiwa wa makosa ya kijinai wanaachiwa ili kufurahisha umma ni jambo baya sana kwa muktadha wa taifa letu. Watuhumiwa wa ugaidi walikabiliwa na makosa mabaya sana. Mbaya zaidi waziri wa mambo ya ndani wakati...
  10. comte

    JamiiForums Tanzania Mbowe: CHADEMA haijawahi kuibiwa kura katika uchaguzi wowote ila hushindwa ka sababu ya msingi dhaifu

    Mbowe alisema wazo la “Chadema Msingi” ambayo ilikuwa na lengo la kuwasajili wanachama wapya kuanzia ngazi ya chini, alilipata akiwa gereza la Segerea baada ya kusoma kitabu cha mwanazuoni kutoka taasisi ya NDI, Jean Sharp kinachoitwa “From dictatorship to democracy: How to fight dictatorship”...
  11. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa S/Mitaa na Uchaguzi Mkuu ni sababu tosha za kutomsamehe Shujaa bali tumuachie Mungu ataamua.

    Kuna Mapro mwendazake wengi wanataka watanzania hasa waliojeruhiwa na utawala wa Shujaa kusamehe na kuendelea mbele na mambo mengine. Tukiroll back kuanzia uchaguzi wa S.Mitaa ukija uchaguzi mkuu na taharuki za jumuiya ya kimataifa mimi nachelea kusema kuwa kaka yangu aliumiza sana watu tena...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kumshikirikisha Rais Samia hoja ya Katiba mpya, tumhoji sababu za mchakato wa awali kufia mikononi mwake na Mzee Samuel Sitta

    Tunaweza tukawa tunataka ku-push agenda tukiamini tunayetaka kumfikishia agenda hiyo ni mgeni na anahitaji vikao vyakumpitisha kwenye kile tunachokita. Naomba niwaambie we are wrong, hakuna sababu ya kikao kumfikishia ujumbe Mhe. Rais kuhusu katiba. Yeye anafahamu mwanzo mwisho wa mchakato...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna umuhimu wa ndoa karne hii kwa sababu hizi

    HAKUNA UMUHIMU WA NDOA KARNE HII KWA SABABU... Na, Robert Ng'apos Heriel Hakuna umuhimu wa ndoa katika Karne hii Kwa sababu; 1. THAMANI YA MWANAMKE IMESHUKA NA INAKARIBIA KUTOWEKA Unapozungumzia Ndoa unamzungumzia Mwanamke, kadiri mwanamke anavyokuwa na thamani ndivyo thamani ya ndoa nayo...
  14. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Mdude Nyagali ni leo 14|06|2021

    Leo Juni 14,2021 ni siku ya Hukumu ya Mpaluka Nyagali Mdude (32) kwa jina maarufu Mdude CHADEMA. Namuombea Mdude, Hakimu atakaye soma hukumu Mwenyezi Mungu ampe Hekima kama ya Mfalme Suleiman. Awali Upande wa mashtaka umemuondolea kada wa chadema, mdude nyagali shtaka la uhujumu uchumi...
  15. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa mradi wa barabara nane Kimara-Kibaha umekwama kwa sababu serikali haina pesa ya kumlipa mkandarasi?!

    Ukweli ni kwamba huo mradi umekwama na hauendelei tena kwa kasi ile ya kipindi cha JPM. Mkandarasi inasemekana hajalipwa pamoja na kupeleka certificate karibia tatu za kuomba alipwe na halipwi! Ukweli na usemwe makusanyo ya kodi yamepungua maradufu ndiyo maana malipo ya miradi mingi imekwama.
  16. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kuu niliyoamua kujifunza KIGANDA nikiwa gerezani KITENGULE, KAGERA.(Don Nalimison)

  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Sababu ya mwanamke kuzaa watoto zaidi ya watatu kwa wakati mmoja yatajwa

    Mwanamke wa Afrika Kusini , Gosiame Thamara Sithole amejifungua watoto 10 na kuvunja rekodi ya kuzaa watoto wengi. Mara nyingi huwa ni matokeo ya kufanya tiba ya uzazi - lakini wapenzi hawa wanasema wao walitumia njia ya asili kupata mimba. Teboho Tsotetsi, mume wa mwanamke huyo mwenye miaka 37...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kulikuwa na sababu gani Simba kutangaza hadharani mambo ya ndani ya Jonas Mkude?

    Taasisi zote imara na kubwa huwa zina Mambo yao ya ndani ambayo ni ssiri! Kuna Siri kubwa na ndogo! Hata ktk familia usiri ni muhimu sana! Hii husaidia kujenga uimara na heshima kwa taasisi! Juzi tumesikia sakata la Simba naMchezaji wao Mkude .Kuwa eti anapelekwaa Hositali akapimwe (whatever)...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sababu zinazopelekea kukataliwa kuposa/Kuchumbia

    KUKATALIWA KUPOSA/KUCHUMBIA AU KUCHUMBIWA Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Mmekutana chuoni, au mjini, hisia zenu zikavutana kwa nguvu ya mapenzi, mkaanza kuhusiana; hisia zenu zikifurahia kukutana kwenu. Mkafahamiana kwa majina ya siri baada ya kufuta majina ya uongo mliodanganyana siku ya kwanza...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanadhani Rais Samia yupo Ikulu kalala, kwa sababu walizoea 'show-off' na kelele

    MAMA SAMIA ANAFANYA KAZI, MSIDHANI KALALA IKULU. Na, Robert Heriel Kuna watu wananifurahisha sana, yaani ukiwasikiliza ni kama wachekeshaji fulani hivi ambao hawajatambua vipaji vyao. Wapo wanaosema Mama Samia hafanyi kazi, wapo wanaosema nchi inaongozwa na JK, wapo wanaosema Rais ni Mpole...
Back
Top Bottom