sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Jerusalem: Sababu tatu za kuzuka kwa ghasia kati ya Wapalestina na Wayahudi

    REUTERS: Ghasia zilizuka nje ya msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa zamani wa Jerusalem Jerusalem imekuwa ikigonga vichwa vya habari kufuatia ghasia ambazo zimekuwa zikiripotiwa mjini humo kati ya Wapalestina na vikosi vya usalama vya Israeli ambazo zimewaacha mamia wakijeruhiwa mbali na...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania Waporomoka kutoka 6.9% hadi 4.7% kutokana na Corona

    Hayo yamefichuka leo baada ya hotuba ya Mh Rais Samia Suluhu alipokuwa anawahutubia Wafanyakazi wa Tanzania kwenye kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani Ameitaja Corona kama sababu kubwa ya kuanguka kwa uchumi wa Nchi yetu , ambapo amewaomba wafanyakazi kuvumilia hadi mwakani ili kuongezwa...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Watanzania kuanzia leo jiandaeni kupewa moja kati ya sababu hizi zifuatazo kwanini 'Derby' haikupigwa Jumamosi

    1. Kulikuwa na Tishio la Kiusalama (Ugaidi ) 2. Taratibu za Kiafya kuhusiana na Janga la CORONA hazikuzingatiwa kwa Mashabiki 3. Mfumo wa Umeme wa Uwanjani (kwa Mkapa) ulikuwa si mzuri hivyo ungehatarisha Amani ya Uwanja kama ungezimika. Na Watanzania wote tutawaelewa tu.
  4. Ladder 49

    JamiiForums Tanzania Simba vs Yanga msimu wa 2020/2021: Sijaona sababu ya mechi kusogezwa mbele

    Wakuu Habari za saizi. Aibu ya jana mechi kuahirishwa aisee inaonesha viongozi wetu hawana weredi kwenye kuongoza mpira ndio maana miaka yote soka letu lipo pale pale tu. kwenye taarifa yao hapo sijaona sababu zaidi ya kusema tu imepokea kutoka kwa wizara,nini kilikuwa kina fichwa hapo...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Waziri hawezi kuahirisha mechi kwa sababu TFF iko chini ya FIFA na siyo wanasiasa, Bashungwa anaonewa bure!

    Ukweli ndio huo. Waliobadilisha muda wa mechi ni TFF wenyewe siyo waziri Bashingwa. Serikali haiingilii mambo ya soka kwa mujibu wa kanuni za FIFA. Kwahiyo haiwezekani kabisa Rais wa TFF akaahirisha mechi kwa maagizo ya kisiasa. Tatizo viongozi wote wa TFF ni wanazi wa Simba so hawatumiagi...
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Yanga imetumia "akili ndogo" ya TFF kutafuta sababu?

    Hii ndio maana halisi ya Utopolo. Huyu utopolo hata kanuni za kupewa point 3 hazijui. Sasa Simba Sc inahusika vipi? Msingekuwa Utopolo mngefanya maamuzi mawili. 1. Kuingiza timu saa 1 mkacheza, au 2. Mkaondoa timu na kushinikiza Karia na Waziri wajiudhuru
  7. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Tumefika hapa kwa sababu ya Kikwete kumlea vibaya Ridhiwani kuihusisha familia yake kwenye masuala ya uongozi

    Kikwete alipokuwa akitaka kugombea Urais mwaka 1995 Nyerere alimwambia kwamba wewe bado mdogo muachie Ben watu weengi waliamini hivyo ila ukweli Nyerere alimaanisha kuwa Kikwete alikuwa mdogo kwenye mambo ya kupewa kuiongoza Nchi yaani alimsoma mwenendo wa maisha yake na kugundua kuwa ni...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Sababu ya kung'ang'ania Muungano kwa ndugu zetu wa Tanganyika (Tanzania bara)

    Yaani kama haki itachukua Mkondo wake, basi Matanganyika watakuwa hawana hata ufukwe, mnatakiwa muwaheshimu sana watu wa Zanzibar. Na ndio sababu wanasema wataulinda Muungano, Sasa Rais Samia akiridhia kuirudishia Zanzibar ukanda wake, mtamfanya nini,yeye ndio Mkuu wa majeshi, yeye ndio Rais...
  9. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia aweka wazi takwimu za uporokaji wa ukuaji wa uchumi wazi, 6.9% to 4.7%, lakini sababu ni nyingi.

    Mama Samia kaingia na staili nzuri ya kuweka mambo wazi na si kuficha ficha kama ilivyokuwa kawaida ya mtangulizi wake. From word go mwaka 2016, uchumi wa Tanzania ulianza kutikiswa kwa matumizi mabaya ya maguvu ya kisheria ya serikali. Takwimu sa UONGO zilianza kutolewa na ikawa chini ya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi ya mwakani tukiwa na Rais mwingine na akaja na sababu zake za kutoongeza mshahara,watumishi wa umma watapaswa kusubiri tena?

    Kwakuwa hakuna aijuae kesho kwa maana leo unaweza kuwa mzima na kesho ukatangulia mbele za haki au kupata ulemavu wa Kudumu, n.k, ni sahihi kuishi kwa kutegemea matakwa au fadhila za binadamu mwenzako hasa kwa mambo sensitive ya ktaifa kama hili la haki na masilahi ya watumishi wa umma? Swala...
  11. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Kama Taifa ifikie nyongeza ya mshahara iwe inadaiwa mahakama kuu pale serikali inapowanyima wafanyakazi bila sababu za msingi

    Kwanza kabisa watanzania wanatakiwa kutambua kuwa kila mtanzania anayo haki ya kupata mshahara unaostahili kukidhi mahitaji ya msingi. Ibara ya 23(2) imetamka wazi kuwa watanzania wanaofanya kazi wanatakiwa wapate just remuneration. Hivyo kupata mshahara unaostahili ni takwa la kikatiba na ni...
  12. J

    JamiiForums Tanzania DED Godigodi: Madiwani hawana ubavu wa kunisimamisha kazi kwa sababu hawajaniteua wao

    Mkurugenzi wa halmashauri ya Mbozi Bi Godigodi amesema yeye ni mteule wa Rais hivyo madiwani hawana ubavu wa kumchukulia hatua zozote za kinidhamu ikiwemo kumsimamisha kazi. Godigidi amesema hayo baada ya baraza la madiwani la halmashauri ya Mbozi kudai limemsimamisha kazi kutukana na kutokuwa...
  13. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kukataliwa kwasababu hukuwa na kitu kisha ukaja kukubaliwa baada ya kupata?

    Sababu mbalimbali, Anakukataa kwa dharau Sana, kwa sababu anakuona tu kwamba huna chochote kwa wakati huo kwa sababu huna tabia za kujiinua. Lakini baada ya siku kadaa anagundua kwamba uko vizuri,anaaza juhudi za kutaka kukukubali. Anakukataa kwa sababu huna kitu kwa wakati huo kwa sababu...
  14. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Sababu zinazoifanya Tanzania isiathiriwe sana na vimbunga

    Kimbunga ni upepo unaozunguka kiini chenye mgandamizo Mdogo kinyume cha saa upande wa Kaskazini wa Dunia na kama saa upande wa kusini wa Dunia. Mantiki ya mzunguko hapa inajengwa na namna mshale wa saa unavyozunguka. Upepo huu huongeza mwendokasi wake kadiri unavyozunguka. Inakadiriwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kesho najiunga CCM kwa sababu zifuatazo

    Ni miaka mingi imepita takribani 20 sikuwahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa hapa nchi japo nilikuwa upande wa wale wanaokandamizwa na kuonewa katika tafakuri ndani ya kichwa change nimeona ni jiunge rasmi na Chama tawala kwa awamu hii ya sita kwa sababu zifuatazo. 1. Awamu ya...
  16. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wa mzazi mwenzangu kanikataza kuwasiliana na mkewe

    Nilikua na girlfriend wangu na tulibahatika kupata mtoto ila tulitofautiana hali iliosababisha kutokuishi pamoja. Sasa mwezi uliopita mwenzangu kapata mwenza lakini tulikua tunawasiliana kawaida kuhusu malezi ya mtoto. Jana mumewe kanipigia simu ananiambia nisiwasiliane na mkewe, ishu zote...
  17. chakii

    JamiiForums Tanzania JKT yasitisha Mikataba ya Vijana 854 waliofanya Uasi

    “Tunasikitika kufuta mikataba ya vijana 854 wa JKT kutokana na kufanya vitendo vya uasi.”Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania - Jenerali Venance Mabey ---------- Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jen. Venance Mabeyo amesema wamefuta mikataba ya Vijana 854 wa JKT ambao ni miongoni mwa walioahidiwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Harmonize akamshikati Mbosso sababu ame-sample biti yake ya Show Me bila kibali kwenye baikoko

    WCB bado wanaendeleza tabia yao mbaya ya kuiba mahadhi ya nyimbo za wasanii wengine ndani na nje ya nchi na hivyo kuvunja sheria mbalimbali zinazohusu inshu za hati miliki katika sekta ya Music. Hivi karibuni mfanyakazi/mwanamuziki wa CEO Diamond platnum ajulikanaye kwa jina la Mbosso, ametoa...
  19. Nizhneserginsky

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakati unaachwa ulipewa sababu gani?

    Wasalamu wanaJF.. Nimekuwa kwenye mahusiano tofauti tofauti sijaachwa kama nilivyoachwa kwenye mataa round hii. Mtoto mkali wa kitanga, nimetongoza kwa miezi kadhaa, kanielewa mapenzi yakaanza, hudumia sana, muda wote akawa anatamani kuwa na mimi muda wote, video call mpaka midnight, simu za...
  20. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Sababu za kiroho kwanini lazima ufunge Ramadhani hata kama sio muislamu

    Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani sio kwa ajili ya waislamu tu. Ni kwa ajili ya wanadamu wote. Na hizi hapa ndio sababu zangu. Kwanza awali ya yote kwa wewe usio fahamu leo nakuelekeza Jambo moja utakuja kunishukuru baadae. Moon Calendar "kalenda ya Mwezi" ndio kalenda iliyo sahihi... Hata...
Back
Top Bottom