sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waisilamu changamkieni fursa kipindi hiki cha uhaba wa maji

    Thawabu Za Kutoa Maji Katika Uislamu: Sababu Saba Za Kujenga Kisima cha BURE Maji ni neema kutoka kwa Mwenyezi Mungu (swt) ambayo mara nyingi tunaichukulia kawaida, lakini wakati wa ukame, kupitia rehema za Mwenyezi Mungu, tunazidi kufahamu shida zinazowakabili wale wasio na maji salama...
  2. JamiiForums Tanzania Tunakoelekea ndoa nyingi kuvunjika sababu hakuna maji na umeme

    Habari wandugu Seriously nimeshuhudia jamaa analalamika mke wake amesitisha kutoa chakula Cha usiku sababu hawana uhakika kuoga, ndani kunakuwa joto sababu fen haifanyi kazi jamaa anafikiria Leo asirudi nyumbani mapema apitie bar kwanza ....
  3. JamiiForums Tanzania Hii ndio Sababu kwanini Mungu aliagiza wachawi wauawe

    Kutoka 22:18 inasema " Thou shall not suffer a witch to live" a Swahili for " Usimuache mchawi aishi". Je, ni kwanini Mwenyezi Mungu alitoa hiyo decree? Kabla sijatoa majibu yangu kuhusu swali hili Wacha nitoe maoni yangu kwanini Mungu aliwakataza kabisa binadamu kujihusisha Na uchawi. Ipo...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Tuache porojo, hii ndiyo sababu ya kwanini Taifa Stars imepoteza. We're exactly where we belong

    Mengi yanasemwa ya kwanini tumekula 3-0 dhidi ya DRC, lakini kwangu naona ni porojo tu! Hebu twendeni taratibu, hatua kwa hatua. Wale Wakongo waliopo Yanga na Simba, kwa viwango vyao vile vile wanavyoonesha sasa... je, kama wangekuwa Watanzania, ni wangapi wangekosekana kwenye kikosi cha Taifa...
  5. JamiiForums Tanzania Je, unafahamu uume unaweza kunasa ukeni pindi unapojamiiana?

    Sio mara moja wala mara mbili kushuhudia picha mtandaoni zikienea mtu na mpenzi wake kuwa wamegandana mwanaume anajaribu kuchomoa dushelele na haitoki Watu wengi huhusianisha na uchawi na matego kuwa huenda mume wa Huyu jamaa amemtega mke wake anapochepuka tu aumbuke Yote yanawezekana ila...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna ongezeko kubwa la kiwango cha joto nchini, sababu zatajwa

    🌡☀️🚦ONGEZEKO LA JOTO NCHINI Dar es Salaam, 08 Novemba 2021: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inatoa taarifa juu ya uwepo wa ongezeko la joto katika maeneo mengi hapa nchini. Ongezeko hili la joto linatokana na kusogea kwa jua la utosi sambamba na upungufu wa mvua katika maeneo mengi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Wataalam wa Uchumi, tuelezeni kwanini kuna mfumuko wa bei

    Forum kama hii ilitakiwa sahivi kuwe na mjadala mkali wa kuelezea kwanini kuna mfumuko wa bei na kutoa mapendekezo ya nini cha kufanya ili kutatua,badala yake naona kimya tu na mijadala myengine tu ndo imeshika hatamu. Tusisahau historia ya Forum hii imekuwa ni chachu ya kuleta mabadiliko...
  8. JamiiForums Tanzania Hizi ni Sababu 5 za Kwanini Simba SC Hawajamuwekea Kipengele Cha Malengo Coach Pablo Franco

    Tofauti na Makocha waliopita kama vile Didier Gomes na Patrick Aussems. Ambaye alipofika tu alikutana na target za kwenye klabu ambazo ilikuwa ni lazima wazifikishe timu kwenye hatua fulani ya mafanikio kama vile Ubingwa wa Ligi Kuu & Nafasi za juu za CAFCL. Huyu Pablo Franco hajawekewa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kakangu ameamua mwanae abadili kozi sababu ya Bodi ya Mikopo kuendeshwa kwa siasa!

    Kakangu ana mwanae ambaye anaingia mwaka wa tatu kozi ya Udaktari (MD) kwa chuo ambacho nisingependa kukitaja. Mwanetu huyo pamoja na kuomba mkopo mara ya tatu mfululizo amekuwa akinyimwa. Siku zote amekuwa akilalamikia sana vipngozi wa Bodi ya Mikopo na hapa viongozi wetu hawa. Amekosa upendo...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Ghafla tu Ngara na majimbo mengine yanatetewa yabakie Kagera, sababu ni Kabanga Nickel

    Hayati John Magufuli alipambana sana Uzalishaji wa mgodi wa Nickel wa Kabanga Nickel uanze uzalishaji akiwa hai. Mipango ya Mungu huwa ina tofauti na ile ya binadamu. Hakuweza kuishi mpaka kuona haya yanayoendelea hivi sasa. Angeridhika kwa asilimia mia moja. Utoke jasho kuupigania mradi mkubwa...
  11. JamiiForums Tanzania Nimepotea Jamvini kwa sababu ya majukumu tu

    Nipende kuomba radhi kwa kupotea jamvini kwa muda. Sababu kubwa ni majukumu mengi niliyopewa. Wakati muafaka ukifika nitarejea. bado misimamo yangu ni ile ile na kamwe haitobadilika. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  12. JamiiForums Tanzania Maamuzi matatu ya Serikali ya awamu ya sita yanayolalamikiwa yote yapo sahihi Na Sababu zangu ni kama ifuatavyo

    Kwanza unatakiwa kujua kwamba Serikali inapokuwa inafanya maamuzi yake Inaweza isiwe sahihi Kwa mujibu WA katiba lakini ikawa sahihi kisiasa, kiuchumi, kiusalama wa nchi au kiutawala.( Constitutionally wrong but politically right etc and vice versa). Utaratibu Huu upo katika Serikali zote...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Waziri January Makamba unakwenda kufeli kutokana na sababu hizi

    Nikiri January ana uwezo mkubwa wa akili ila siyo mjuvi wa mambo yote. January siyo mtaalamu ila ni Kiongozi wa kisiasa. Januari anazo sifa zote za Kiongozi wa kisiasa lakini Hana sifa zote za Kiongozi wa taasisi. Ana mapungufu, na mapungufu aliyonayo ndiyo yaliyopelekea muundo wa taasisi za...
  14. JamiiForums Tanzania Nini sababu za Facebook kublock account ya mtumiaji

    Habari za humu wadau natumaini ni wazima kwa ambao awapo vizuri kiafya ama majanga tuendelee kuwaombea heri wamalize mwaka huu salama Jukwaa hili sijaingia muda mrefu sana nilipata mambo mengi kupitia hapa ya kiufundi kipindi nafanya blogs nawashukuru wote ambao siku mliekuwa mnatoa michango...
  15. JamiiForums Tanzania Machache haya yataiokoa Serikali na Machinga wake

    MACHACHE HAYA YATAIOKOA SERIKALI NA MACHINGA WAKE. Anaandika, Robert Heriel Awamu ya tano ilisitisha Ajira za kila mwaka, ilikuwa awamu ambayo serikali ilipunguza kuajiri Kwa Asilimia kubwa Hali iliyoleta Malalamiko Kwa wasomi waliohitimu vyuoni. Katika kutatua changamoto hiyo ya Ajira, ndipo...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Gertrude Mongella: Kitabu cha Mwalimu Nyerere kilifichwa

    13 October 2021 Chato, Geita Tanzania KITABU CHA NYERERE CHAFICHWA / MONGELA AFUNGUKA SABABU ZA KUFICHWA KITABU HICHO Gertrude Mongella akemea siasa za ubaguzi zinazoendekezwa na jamii iwe kisiasa, kijamii, kijinsia, rika n.k Ametoa hotuba moja ikigusia mfano kuwa mwanamke ni anasifa zote...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Msiseme Mama anazunguka tu, sitozunguka bila sababu

    "Safari nilizokuwa nafanya Nchi Jirani zilikuwa na lengo la kuondosha vikwazo, tumeondosha vikwazo na Kenya na biashara imekuwa mara sita zaidi ya ilivyokuwa, kwahiyo tukizunguka msiseme Mama anazunguka tu, sitozunguka bila sababu, nilishacheza vya kutosha kwenye nchi nyingi duniani, sasa hivi...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Funzo: Vijana wa CCM acheni siasa za chuki zitawaponza. Mnawaumiza wazazi wenu na familia zenu bila sababu. Acheni!

    Waswahili wanasema majuto ni Mjukuu. wengine wakaongeza kuwa Mchuma janga hula na wa kwao. Lakini pia kuna msema wa kisheria unasema Jinai Haifi. Ewe kijana wa CCM unayehendekez siasa za chuki nakusihi achana nazo. Zitakuja kukucost wewe na familia yako siku a muda usio ujua. Nani...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa hukumu ya Sabata naona kivuli cha sababu Za CCM kupora kila chaguzi

    Wakuu,hukumu ya DC aliyesimamishwa ndg.kada Ole Sabaya inatangulia mbele ya uporaji na uvunjaji wa sheria unaofanywa na CCM kwenye uchaguzi. Hata akitoka kwa rufaa au msamaha wa rais ambaye ni mwenyekiti wa CCM bado makusudi na mpango mahsusi upo palepale. Historia...
  20. JamiiForums Tanzania Hili la kuzuiliwa kwa maiti sababu ya bili kubwa mzizi wake ni huu, Wizara ya afya rudisheni utaratibu wa zamani

    Haka ni katatizo kadogo sana ambako wizara inajua mzizi wake ni nini, kama hawajui basi nawajuza. Kwanza hili tatizo huwezi kulisikia kwenye hospitali zifuatazo, kama lipo basi ni kwa udogo sana: Hospitali za Wilaya, Mikoa, Vituo vya Afya, Hospitali binafsi. Hili tatizo utalikuta hospitali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…