sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Ni sababu zipi zinasababisha nchi kuwa na watu wenye akili sana ama kuwa na watu wajinga sana

    Kuna mambo yanashangaza sana hapa chini ya jua Kuna nchi zina watu wenye akili nyingi sana wanaobuni na kufanya vitu ambavyo hakuna aliyewahi fikiri vinaweza fanywa na mwanadamu Kuna nchi zina watu wenye akili ndogo sana wanaobuni na kufanya mambo ambayo hata kondoo hawezi Fanya Je,ni sababu...
  2. JamiiForums Tanzania Mwaka 2025 wanaCCM wengi watakihama chama chao directly or indirectly. Na huenda ikawa sababu ya anguko kubwa kwa CCM

    Baadhi ya wanaCcM wameanza kuzila kushiriki shughuli za chama. Mfano ni huu uchaguzi wa jumuia za wazazi. Watu wamezila. Kuna harufu ya mgawanyiko. Na utakuwa mkubwa sana mwaka 2025.
  3. JamiiForums Tanzania Kuna sababu gani nchi za watu weusi kuwa mwanachama wa Arab league?

    Nijuavyo Arab League ni umoja wa nchi za kiarabu na AU ni umoja wa nchi za kiafrica. Sasa Somalia, Chad, Sudan, Djibut, Senegal na Mali kuwa mwanachama wa umoja wa nchi za kiarabu kuna mantiki gani? Je, ukitokea mgogoro wa nchi ya kiarabu na kiafrica kama ilivyo mgogoro wa bwawa la umeme la...
  4. JamiiForums Tanzania Sababu tatu kwanini Wachungaji wengi wanasumbuliwa na Zinaa

    Utangulizi Kaka watatu huko kusini mwa afrika wameapa kumpiga Mchungaji kila jumapili hadi atakapokubali Mimba aliyoikana ya Dada...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Je, tutegemee tozo kwenye miamala kwa sababu ya special operation kule Ukraine?

    Bunge liko Dodoma tayari kujadili kama sio kupitisha mapendekezo ya budget za wizara mbalimbali. Kwa mwaka wa fedha 2021/2022 tuliona bunge likichukua mapendekezo ya Zungu kuweka tozo kwenye miamala ya simu ili kugharamia ujenzi wa zahanati, je mwaka huu wa fedha 2022/2023 tutegemee tozo...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia hahusiki kupanda kwa bei ya mafuta, zijue sababu za kweli

    Bei za mafuta duniani zimepanda hali ambayo imeathiri pia bei za mafuta hapa Tanzania. Kupanda kwa bei za mafuta sio jambo geni, limewahi kutokea mara nyingi duniani. Na mara nyingi sio suala la nchi moja, athari zake hufika duniani kote. Tumekuwekea sababu 5 ambazo kihistoria na uhalisia...
  7. JamiiForums Tanzania Je, unadhani 'Bunge Live' imerejeshwa kwa moja ya sababu ipi labda Kubwa hapa?

    1. Kuwaambia Watanzania kuwa Hayati Rais Dkt. Magufuli alikuwa ni Dikteta na ana Roho Mbaya sana? 2. Kumtafutia Sifa na Umaarufu Rais wa sasa Samia kwa Gharama ya Maamuzi ya iliyokuwa Serikali ya Rais Hayati Rais Dkt. Magufuli ambayo Rais wa sasa Samia nae alikuwa ni sehemu yake.? 3...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya itasoma bajeti yake mapema kwa sababu ya uchaguzi. Kenya itasoma bajeti yake siku ya Alhamisi, Aprili 7, 2022

    Kenya itasoma bajeti yake siku ya Alhamisi wiki hii. Bajeti yenyewe itakuwa ya ksh 3.3 trillion ambayo ni zaidi ya mara dufu ya bajeti ya Tanzania. ======= Budget reading Thursday as MPs end revenue share row These measures will be contained in the Finance Bill, which must be tabled in...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ni sababu ipi inapelekea asilimia kubwa ya wanawake kuwa na mahusiano ya kimapenzi na bodaboda?

    kwa utafiti mfupi nilioufanya nimegundua akina dada wengi hasa wake za watu wanadate na mabodaboda. kwa anaejua chanzo cha akina Dada kutokwa macho kwa mabodaboda anijuze haraka sana kuna maamuzi nataka kuyachukua.
  10. JamiiForums Tanzania Nini kilisababisha au kitasababisha usioe au kuolewa na mpenzi wako?

    Huyu dada nilimpenda sana. ila ilifikia hatua nilishindwa endele naye. kwa mara ya kwanza niameanza kuwaza kuoa nilimfikiria huyu dada. Alikuwa ametoka maliza chuo IFM nikaona ni msomi na mrembo pia atanifaa. Shida ya kwanza huyu dada likuwa ni muongeaji sana. sana...alikuwa anaongea...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaume walio oa Kwa sababu hizi ndio wamepatia kuoa

    Kama umeoa mwanamke Kwa Sababu sijui unampenda Sana, au anakupenda Sana au ni mzuri Sana blah blah blah , wewe ni kichaa. U will be dis appointed big time. Don't marry for love but marry for your personal interests which have nothing to do with love. Kama ukioa for ur personal interests basi...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania: Hatukupiga kura sababu tulichotaka kati ya Urusi vs Ukraine hakikutokea!

    Serikali ya Tanzania imetoa ufafanuzi kuhusu sababu ya kupiga kura ya kutofungamana na upande wowote katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu mgogoro unaoendelea kati ya Russia na Ukraine Imesisitiza pande zote mbili kutafuta suluhu katika meza ya mazungumzo hilo ndilo walilotaka...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia aliamua kujibu hivi kuhusu Katiba Mpya?

    Kuna clip naiona ikionesha mahojiano ya Salim Kikeke na mama wa Taifa. Salim alimuuliza mama tutegemee lini katiba mpya. Mama akajibu majibu fulani ya kufarakanisha.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka sasa kwa shule za serikali kuwa "english medium"kwa sababu...

    1. Tayari sasa ni mwaka wa saba tangu serikali ilipo anza kuanzisha shule za majaribio ili kuona ufanisi wa tija juu ya mabadiliko hayo ambapo hadi sasa mafanikio yameonekana kuwa makubwa zaidi kwa shule zilizo katika majaribio ikilinganishwa na shule za kawaida (zinazo tumia kiswahili) 2. Hadi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Samaki kufa kwa kinyesi na mkojo wa ng'ombe inawezekana ,lakini samaki wa mto mara wamekufa kwa sababu hiyo?

    Wasalaaamu ndugu , jamaa na marafiki wa JF . Haika nawathamini sana. Kila mmoja wetu amepata kushituka kwa taarifa ya wasomi wetu nguli wa mambo ha mazingira kwa kusema samaki katika mto mara wamekufa kutokana na kinyesi na mikojo ya ng'ombe. Kabla ya kupinga au kuunga mkono majibu ya tafiti...
  16. JamiiForums Tanzania Sababu zipi, zinazokupelekea wewe kwenda kunywa pombe maeneo ya starehe?

    Ni sababu zipi, zinazokuvutia wewe kwenda kunywa pombe bar, pub au club? Kwa nini usiagize vinywaji ukanywea nyumbani? Wengi tunaamini, kama utaamua kuagiza vinywaji na kunywea nyumbani kuna faida nyingi sana; mojawapo ni kubana matumizi, kwa sababu hutoshawishika kutumia zaidi ya bajeti...
  17. JamiiForums Tanzania Kamanda Mbowe hukuachiwa sababu wewe sio gaidi bali ni kwa sababu mahakama zinafanya kazi kwa niaba ya rais wa JMT. Acha majigambo yasiyo na manufaa.

    Kama kweli wewe sio gaidi na tuhuma hazikuwa na uzito wa kukutia hatiani unadhani kwa nini kesi ilifikia hatua ya wewe kujitetea? Umesahau kuwa mahakimu na majaji huwa wanafanya kazi ya kuamua mashauri na kutenda haki kwa niaba ya raisi wa JMT? Kwa nini mahakama huwa zinakuwa na picha ya raisi...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde Rais Samia, Kipengele cha Dini kwenye sensa ni muhimu sana kwa sababu hii

    Rais wetu usifungwe kwa miiko, watu wengi ikiwemo wewe wameleta mabadiliko chanya kwenye jamii kwa kuvunja miiko, tuangalie faida na hasara zake sio kwa kuwa halikuwahi kufanyika Hili suala haina haja ya kulichukulia kwa shari na kutokuaminiana, tujadili kwa utulivu na kwa reason Dini imekuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Vita ya Urusi, Tanzania hatutanusurika, bidhaa zote zitapanda bei

    Rais Samia Suluhu Hassan ameelezea kupanda kwa bei ya mafuta kwa kiasi inasababishwa na mgogoro unaoendelea kati ya Urusi na Ukraine. “Mabadiliko ya kupanda kwa bei ya mafuta kiasi kidogo yamesababishwa na vita ya Ukraine na Urusi, yanapanda bei mno. Tanzania hatutanusurika, bidhaa zote...
  20. JamiiForums Tanzania Sababu za kiroho kwanini watu wengi walitamka kwamba utawala wa Mwendazake hautafika mbali

    Wakati wa mwendazake karibu Kila mtu alikuwa akitamka kwamba utawala wa mwendazake hautofika mbali. Ilikuwa unaweza ukakutana na kajamaa kametoka kijijini kwako huko Isungachupi , hakajui chochote kuhusu utabiri lakini kanakwambi Kwa confidence kabisa kwamba " Ndugu yangu wee huyu jamaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…