Nini kilisababisha au kitasababisha usioe au kuolewa na mpenzi wako?

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
1,694
3,981
Huyu dada nilimpenda sana. ila ilifikia hatua nilishindwa endele naye. kwa mara ya kwanza niameanza kuwaza kuoa nilimfikiria huyu dada. Alikuwa ametoka maliza chuo IFM nikaona ni msomi na mrembo pia atanifaa.

Shida ya kwanza huyu dada likuwa ni muongeaji sana. sana...alikuwa anaongea unamsikiliza mpaka unachoka, siku moja akawa ananisimulia jinsi ambavyo alimchukulia rafiki yake boyfriend wake. sababu tu ilikuwa inamkera huyo rafiki yake kila siku anasema Bonny hivi Bonny vile...ikawa inawakera wanakikundi kua huyu Asha naye ni Bonny , Bonny.. yeye akamua ku take action akatembea na Bonny. Asha akakomeshwa hapo. alinisimulia huku akijisifu sana kuwa yeye huwa anaangalia tu akiona mtu ana majidai... anajua anaweza mkomesha.

Siku nyingine tukawa tunazungumzia kuhusu Elimu n.k akanimabia anakumbuka miaka ile akiwa darasa la saba, wakati wa mitihani anaandika majibu kwenye mapaja halafu anafunua mpaka mwisho. Mwalimu anashindwa kuangalia akija anapita tu haraka haraka. Akanambia pia alikuwa anakaa siti ya mbele anaachia miguu mwalimu anaona chupi yake anachanganyikiwa anashindwa kufundisha ...hapo yeye anacheka akimwangalia mwalimu kasimamisha mnara.

Anasema alipoenda chuo ndo ali advance zaidi, akawa lecturers anawatega tena bila kuvaa chupi... anakaa darasani anaachia chini wazi. lecturer akiona anachanganyikiwa......jinsi K yake inavyoonekana tena hapo anasema anakuwa ameipaka mafuta mengiiiiiiiiiiiiiiiiiiii inang'aaaa na imetuna inashtuka shtuka hivi..... nikasema hapa.... kuna jambo.

Haya mambo anayasimulia tukiwa tumekaa sehemu au tunaenda sehemu kwenye gari. anasimulia akicheka sana na kumiss hizo siku... binafsi huwa inanikera sometime nikimwambia ananiambia hayo mambo madogo tu. nikimchunguza sana bata siwezi mla.

Siku moja tunaongelea habari za machangu doa...ilikuwa usiku tumepita mitaa flani town tukawaona...basi kama wapenzi tukapata cha kuzungumzia. nikamwambia hawa si nyeti zao zitakuwa zimetanuka sana kwa kungiliwa na vitu vyenye maumbile mbalimbali....alinikatalia akasema hamna.

Ile sehemu ni elastic... kwani yake naionaje? imetanuka sana?anasema huwa akikutana na mitulinga anafeel maiumivu then baadaye anazoea tu ila ina tanuka na kusinyaa kulingana na umbile. daaah....hapo nikaanza kujiongeza kuwa hapa sina mke si zijazo.nikawa nawaz huyu dada akili zake alizipeleka wapi?

Nikawa naongea naye kuhusu ukaribu kimapenzi akasema yes........ ye anapenda sana maana alipokuwa chuo alikuwa anakaa na jamaa mmoja kama mkewe.daaah..... hapo ndo nika conclude huyu dada alishaoelewa tayari....miaka miwili amegegedwa mchana na usiku...nikawa nawaza ndo maana.... huyu demu hata kama hujamwandaa sana unaingiza mashine inapita tu bila usumbufu... wakati wengine huwa siwezi sehemu zao zinabana na ni mpaka niwaandae waloane... huyu dada break korodani.... ma stories yake ni ya kuchosha akili.... nikaahirisha kumwoa. mpaka leo yupo tu tunawasiliana... hajaolewa na ishakuwa mida ya late hours.

Mzuri sana tu ila ndo hivyo.

Na wewe tushirikishe kwa nini hukuoa au olewa na mtu/watu flani.
 
Mnawatoaga wap hao?

Ila kwa upande mwengne labda hakutaka kujificha ficha kwako ndio maana akaamua kukueleza kila kitu chake
 
Mimi hadi saizi sijapata ndio maana bado sijaoa mkuu, ebu namuomba huyo wako walau nami nivimbe hapa kwa shemeji ninapoishi..😊
Mwogope Mungu basi hujaoa weh acha uongoo ila kama hujaoa inabidi upitie kwa balozi wa mtaa, mwenyekiti, na mwisho mkuu wa mkoa waakuandikie barua inayodhibitisha kuwa upo single na hiyo barua uwekewe passportsize siamini upo single siningekupatia wa huko huko .
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom