sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Jumanne Sagini: Serikali haihusiki na matukio ya moto

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini amesema kuwa serikali haihusiki na matukio ya moto yaliyotokea katika baadhi ya mikoa nchini na itawachukulia hatua watakaobainika kuhusika na matukio hayo. Chanzo: itvtz Endeleeni kudhani wote tu hatuna Akili. Nitakuwa wa mwisho...
  2. Ghazwat

    JamiiForums Tanzania Simba 3-1 ASEC Mimosas | CAF Confederation Cup | Uwanja wa Mkapa

    Klabu ya Simba leo Jumapili February 13 inashuka kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kucheza na ASEC Mimosas kutoka Ivory coast, kwenye mchezo wa kwanza hatua ya makundi Kombe la Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAFCC. Hautakuwa mchezo mwepesi, bali utakuwa mgumu na wa kusisimua hasa ukizingatia...
  3. Equation x

    JamiiForums Tanzania Wengi hatufanikiwi kwenye biashara kwa sababu tunategemea watu ndio watufanyie biashara

    Katika utafiti wangu mdogo nikiwa field, nimegundua watu wengi wanapenda mafanikio, kwa kutegemea mwingine ndio amletee mafanikio. Mfano, mtu atataka afanye biashara ya samaki; atakachofanya atatafuta kijana ndio amfanyie kazi ya kwenda kununua samaki,na kijana huyo huyo au mwingine ndio...
  4. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Familia yangu imenigomea nisimuoe mpenzi wangu sababu wanahisi nitakuja kuteseka

    Ndugu zangu huyu binti nimetoka naye mbali sana zaidi ya miaka 5 tupo katika mahusiano na mimi ndio ninamjua vizuri sana. Ila shida inakuja familia yangu imenigomea kumuoa huyu binti kwa kigezo ntakuja kuteseka badaye na hii inatokana kuna kauli alipishana na mdogo wangu wa kike katika...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe: Sababu 8 zilizoifanya GSM kuvunja mkataba na TFF

    Andiko la Ali Kamwe 1. Mechi zote za nyumbani zinazoihusisha Simba zimekuwa zikichezwa bila ya nembo ya GSM kwenye mbao za matangazo hii ni kunyume na kifungu namba 4.1 na 4.8 cha makubaliano ya udhamini 2. GSM kwa makusudi imenyimwa haki ya kuonekana kwenye bango la mandhari la wadhamini kwa...
  6. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kijaji, kweli huelewi sababu ya bei ya vifaa vya ujenzi kupanda?

    Serikali yaagiza hatua zichukuliwe wanaopandisha bei za bidhaa Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dk Ashatu Kachwamba Kijaji Serikali ya Tanzania imeziagiza mamlaka zote za udhibiti kuchukua hatua kali dhidi ya walimbikizaji na wauzaji kupitia mlango wa nyuma (black market)...
  7. Carleen

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kutafuta ugomvi bila sababu za msingi inasababishwa na nini?

    Guys, Naomba tuweke utani wa siku zote pembeni, mnishauri kitu na tuwe serious kidogo tafadhali. Mimi nina tabia moja hivi, napenda kumchokoza hasa mtu ninayempenda sana, yaani naanzisha kama kaugomvi mpaka nahakikisha mtu kapanic ile aanze kutype meseji ndefu kama mvua. Kisha nakaa pembeni...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sababu zinazopelekea watu kutokuoa au kuolewa

    Kipindi cha zamani kushuka 2000 kila jumamosi au siku za ijumaa popote upitapo lazima ukute sheree ambayo ni ndoa. Ilikuwa ni fahali na heshima kubwa unaposikia au kuona mtu kaoa au kaolewa. Hata kunapotokea vikao au maongezi kama ujawa sehemu hii uwezi kuruhusiwa. Jambo lilo nileta hapa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Dk. Anna Makakala, utoaji Pasipoti kwa vijana wa Kitanzania unaambatana na fogery Kwasababu maafisa wako wanalazimisha watoto wetu kudanganya

    Moja ya Kiongozi Mwanamke aliyeweza kufanya mabadiliko makubwa ya utoaji huduma na kupanua uwazi Kwa wateja ni Kamishna Jenerali wa UHAMIAJI. Ametumia elimu yake kufanya mabadiliko makubwa na amefanikiwa kuzifanya huduma za UHAMIAJI ziwe kwenye mtandao kama nchi za ulimwengu wa kwanza. Kwa...
  10. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Sababu za kisayansi kwanini Sarai mke wa Nabii Ibrahim alikuwa na shida ya Uzazi/ Uzazi mgumu

    Vitabu vitakatifu vya Dini zetu pendwa vinamtaja Sarai ama Sarah kama mwanamke aliye kuwa anakabiliwa na changamoto ya UZAZI. Vitabu hivi vinatueleza kwamba suala la Sarai kuwa na matatizo katika UZAZI lilikuwa ni suala la kiroho. Hata hivyo suala la Sarai kuwa Na changamoto ya UZAZI linaweza...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mbarawa: Daraja la Tanzanite halilipiwi kwa sababu limejengwa kwa fedha za Serikali

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema fedha zilizotumika kujenga daraja la Tanzanite ni mkopo wa masharti nafuu kutoka Korea Kusini ambazo zitalipwa na Serikali ya Tanzania kwa asilimia zote. Amesema hii ndio sababu ya wananchi wanaotumia daraja hilo kutolipishwa fedha...
  12. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ipi sababu ya Kenya kupendwa kuliko Tanzania licha ya kuwapita utajiri wa utamaduni?

    Nilikuwa naangalia video flani YouTube inahusu capital city za nchi 54 za Africa. Sasa nikaenda sehemu ya comments kusoma nikajionea watu wengi kutoka mataifa mbalimbali dunia wakiisifia Kenya kuwa ndo favourite country yao lakini kiuhalisia ni dhahiri tumewazidi vivutio (Sina haja ya kuvitaja...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Huu mfumuko wa bei unasababishwa na nini?

    Kwa sasa karibia kila kitu kimepanda bei hadi soda na hakuna matarajio ya bei kushuka. Chanzo cha hali hii ni nini? Wanasiasa mbona wako kimya siyo CCM wala Chadema hakuna anayehoji, kulikoni? Maendeleo hayana vyama.
  14. Counterbook

    JamiiForums Tanzania Umeshagundua sababu za kuchapwa utotoni kula kwa watu?

    Kwema! Mara kadhaa umewahi kusikia mtoto akilia kisa kipigo et kalosa , unadhani mtoto aliyeshiba vizuri anaweza kula upya? Kwa mawazo ya kikubwa kikubwa unaelezeaje hili suala kama lilishawahi kupata utotoni; kama mzazi alikuwa sahihi kwa nini? Kama hakuwa sahihi kwa nini? Huelewi bado...
  15. May Day

    JamiiForums Tanzania Bado sijaona kama kuna sababu za nje ya uwanja zinazosababisha Simba kukosa matokeo, tuache kukuza mambo

    Mimi huwa nafuatilia pia Mechi za Yanga, kiukweli sijaona tofauti kubwa sana ya kiuchezaji au kiupambanaji. Tofauti pekee ni kuwa Yanga wanafanya juu chini wapate walau Goli moja na kuhakikisha hawaruhusu goli...ukitoa ile mechi yao na Namungo ambapo ilibidi Refa ajiongeze lakini Wazee Wenzetu...
  16. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Nini sababu ya viumbe vingi vya kiume vinavutia kimuonekano kuliko vya kike?

    Sijui sababu ni nini inapelekea jambo hilo,, kwa sababu nimejaribu sana kuangalia wanyama wengi, wadudu, ndege na hata samaki; jinsia ya kiume huwa na mionekano mizuri kuliko jinsia ya kike. Labda isipokuwa kwetu binadamu na nyoka hatutofautiani sana baina yetu. Mfano wa picha katika viumbe
  17. Mbao Tanzania

    JamiiForums Tanzania Hadi Mama Dangote amekuja Mbao Tanzania, sijui anajenga ghorofa!

    Habari zetu kupitia JF zinafika mbali sana. Ishukuriwe platform hii kwa kutusaidia kuonekana kupitia mijadala yenye tija hasa kwa sisi eneo letu la ujenzi na hamasa tunazopeana humu. Tunapenda kuwajuza tu kuwa Mama Dangote ni miongoni mwa wateja wetu waliofika #MbaoTanzania kuchukua mzigo wa...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Nimeona post za kumkumbuka Magufuli zimeongezeka sana mitandaoni. Je, sababu ndiyo hii ninayohisi mimi?

    Inavyoonekana katika siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la watu mbalimbali katika mitandao ya kijamii, wakipost picha za hayati Magufuli na kuambatanisha na jumbe za kumkumbuka na wakati mwingine emoji za majonzi au moyo kuchanika. Hii ikanifanya nijiulize, mbona viongozi...
  19. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afia lodge kwa sababu ya kuzidisha Viagra

    Polisi katika Kaunti ya Homa Bay nchini Kenya wanachunguza kifo cha Mwanaume mwenye umri wa miaka 55 ambaye amefia lodge wakati akifanya mapenzi huku chanzo kikidaiwa kuwa ni kuzidisha kiwango cha dawa za kuongeza nguvu za kiume (viagra) ili aweze kumridhisha kingono Msichana wa miaka 25 ambaye...
  20. munkango

    JamiiForums Tanzania Kwanini Nyerere alifuta Tawala za Machifu

    Hivi karibuni Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan alitawazwa kuwa Chifu Mkuu Hangaya. Pia leo akiwa Moshi anesema Serikali itashirikiana na Machifu na Viongozi wa jadi. Tawala za Machifu zilipata kuwepo hapo zamani kabla ya kuvunjwa mwaka 1962. Je ni sababu gani ilipelekea kuvunjwa kwa Tawala...
Back
Top Bottom