The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.
Unaweza kujiuliza tangia uhuru hakuna msimamo wa kiongozi mmoja unapishana na mwingine ndani ya chama kimoja lakini mambo yafuatayo yanatakufanya ujiulize sababu ni niini??
1. Awamu fulani inasema waliozaa wasirudi shule nyingine warudi shule
2. Awamu fulani tusiuze wanyama nje nyingine tuuze...
When I was a lil bow wow (a very young boy) I was thinking just like you.
Nilikuwa nafikiri kwamba ukitaka kung'oa mademu wakali lazima umiliki gari.
So tangu enzi hizo dream yangu kuu ilikuwaga nikija kupata mkwanja basi kitu cha KWANZA kununua nitanunua gari ili niwa vutie mademu.
But...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuwa zaidi ya watoto Milioi 25 wamekosa kupata chanjo mbalimbali za magonjwa tofauti kutokana na mlipuko wa Virusi vya Corona vinavyosababisha Ugonjwa wa UVIKO-19.
Ripoti ya WHO na UNICEF imeonesha baadhi ya magonjwa yaliyokosa chanjo tangu mlipuko utokee...
Kwa sasa ni Nchi Nyingi sana kuna Mfumuko wa Bei, Lakini kufikiri kwamba sababu Marekani kuna Mfumuko wa bei basi na Tanzania lazima uwepo hayo ni Mawazo ya Walioshindwa .
Hivyo ni Bora tujikumbushe sababu kuu 3 za mfumuko wa Bei ili kila mtu aweze kuishauri serikali kwa nafasi yake kama...
Rais Gotabaya Rajapaksa amewasilisha barua ya kujiuzulu Urais wa Nchi hiyo Spika wa Bunge, Mahinda Yapa Abeywardenena. Taarifa ya Bunge inasema wasilisho limefanya kupitia Baruapepe
Inadaiwa ametuma Barua hiyo baada ya kuwasili Singapore. Taifa hilo limesema Rajapaska ameruhusiwa kuingia kwa...
Habari Wana JF,
Ufisadi Tanzania sio kitu kigeni nimekaa kwa kipindi kirefu, nimefanya Utafiti usio rasmi nimegundua kuna vitu vinne ambavyo vinafanya uendelee kuwepo kama Ifuatavyo:
1. KATIBA, kwanza haina makali pili viongozi wengi hawawajibiki kwa Wananchi, wanafanya kazi kwa ajili ya...
UMUOFIA KWENU WAUNGWANA!
Kwanza niwapongeze waliopata ajira nasema Hongereni! Na mliokosa ajira poleni sana lakini tambueni kuwa Mungu yupo pamoja na nyinyi!! MSIKATE TAMAA.
WITO WANGU KWA SERIKALI ,Nafasi nyingi zimehamishiwa Halmashauri ambapo watu wanaomba moja kwa moja. Kumejitokeza...
Heshima ya kila namna anahitaji mwanaume.
Kuanzia kupikiwa na kuandaliwa chakula mpaka kupewa unyumba. Mwanaume anataka heshima.
Sio dharau na kiburi kwa namna yoyote. Ndio maana mahusiano na ndoa nyingi zinavunjika.
Ukisoma uzi wangu wa mwisho kabla ya huu utaona nilisema maneno gani. Niliposti uzi wangu kabla ya kuona Press ya Shaka. Pengine nina kijiubanii nianze kujichunguza. Kazi mnayo UFIPA.
Loliondogate. Hili sakakata liliibuka miaka ya 1992 na wakati huo alikuwa rais wa JMT ni mzee Ali Mwinyi.
Tukaambiwa Waarabu wameshamnunua na kununua haki za wamasasai. Songombingo kibao zikatokea na baadhi ya watanzania wakapoteza maisha.
Leo hii Rais wa Tanzania anatokea Zanzibar. Sakata la...
Wale wanaume mnaotogoza wake za watu watakubaliana ni mimi hapo mwishoni kwa msimamo wangu,mimi ni muoga sana kutembea na mke wa mtu na huwa sina kujiamini kabisa.. ila katika pitapita huwa inatokea unakutana na mwanamke na haukutegea kuwa atakuwa mke wa tu. ila baada ya kumjulisha hitaji lako...
Kocha wa Makipa, Tyron Damons atakuwa sio sehemu ya benchi letu la ufundi baada ya mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu. Tunamtakia kila la heri huko aendako.
Chanzo: Simba Sports Club
Akina GENTAMYCINE tukiwa tunasema kuwa Simba SC kuna matatizo huwa hamtuelewi ila nashukuru Mungu taratibu tu yale...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa huja na makala za "Kwa Maslahi ya Taifa" Makala ya leo ni The Voices From Within kuwa "Japo Hawakutendewa Haki Ndani ya Chama Chao Chadema Kwa kufukuzwa Kwa kuvuliwa uanachama Kikangroo na CC ya Chadema iliyokaa as a kangaroo court, ikawavua...
Eneo la kilomita 1500 ni muhimu sana kwa ikolojia ya Hifadhi ya Serengeti na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro. Eneo hilo ni mazalia ya wanyamapori, vyanzo vya maji kwa ajili ya ikolojia ya Serengeti, Mapitio ya wanyamapori wahamao kutoka Serengeti na Ngorongoro kwenda na kutoka Masai Mara-...
Nasema hivi! Haiwezekani kuwa matatizo ya Tanesco yalikuwa sugu kiasi hiki
Ni mwaka sasa na miezi tangu tuambiwe Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) linaundwa upya na mitambo yake kufanyiwa ukarabati muda wa miezi miwili kwamba hatutaona tena kukatika kwa Umeme wala mtandao wa manunuzi ya...
Huyu dada ni mzuri na nina enjoy sana kuwa naye. Shida kuu ni moja. ANAKOROMA USIKU. Silali kwa kweli.
Mimi mtu akikoroma siwezi pata usingizi hata iweje. Nmeshalala naye zaidi ya mara 20. Usiku anakoroma vibaya sana. Hata nimwamshe nimlaze vipi haipiti dk anakoroma.
Sometime naweza msemesha...
Meneja wa TRA mkoa wa Kigoma bwana Gabriel Mwangosi amesimamishwa kazi na kamishina mkuu wa TRA bwana Alphayo Kidata baada ya kupandisha ushuru wa forodha mkoani humo kutoka millioni 15 kwa mwezi hadi millioni 300 kwa mwezi!
Alichokifanya bwana Mwangosi alipofika Kigoma ni kuziba mianya yote ya...
Serikali ya JMT leo imekutana na Mabalozi na wakuu wa Taasisi za kimataifa kuwafafanulia kinachoendelea Ngorongoro
Serikali ikiongozwa na Waziri Mulamula, waziri Ndumbaro na Naibu waziri Masanja
Masanja amesema mifugo ya nchi Jirani ndio Ilikuwa inaletwa Ngorongoro kwa ajili ya kunenepeshwa...
Maneno hayo yamesemwa ndani ya kikao cha baraza la senate nchini marekani na mwakilishi wa Maabara ya Pfizer akielezea changamoto wanazokutana nazo.
Inasemekana kwa sasa kumeanza kuibuka visa mbalimbali vitokanavyo na maudhi ya chanjo kwa wengi waliopatiwa chanjo hizo hapo awali...
Pesa za Yanga SC Mambwiga ( Washamba ) wa Kudumu FC....
Tsh Milioni 500 za Azam
Tsh Milioni 100 za NBC
Jumla Tsh Milioni 600 ( na hapa bado Mama Samia hajakomba Kodi yake na akiikomba watabakiwa na Tsh Milioni 74 tu na sijui watagawanaje ) vinginevyo watapigana mno Bakora kama Kawaida yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.