sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watoto kutokuripoti kidato cha kwanza baada ya kupangiwa shule, serikali ndio sababu. Serikali isikwepe wajibu

    Habari! Nimefuatilia habari za mikoa mbalimbali na wilaya zake, watoto wengi ambao wamepangiwa shule za sekondari kuanza kidato cha kwanza hawajaripoti shule mpaka leo. Yawezekana wapo wazazi ambao wanajichanga ili wawapeleke watoto wao shule na pia wazazi wengine hawana mpango wowote. Yote...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali iache kufanya maamuzi ya mihemko kwenye masuala ya elimu

    Kumekuwa na changamoto kubwa sana viongozi wa Serikali kuja na maamuzi ya mihemko sana linapo kuja tukio lolote lisilofaa lililofanywa na mwalimu. Idara zote zina watu wenye mapungufu sasa tatizo lililopo kwenye Serikali hii kila kiongozi huwa ni msemaji wa elimu na huwa wanakuja na maamuzi...
  3. JamiiForums Tanzania Putin kakosa usingizi wiki nzima sababu ya ishu ya kijana Tarimo

    Vyanzo vyangu kutoka Kremlin vimenidokeza kuwa Mr Putin kakosa kabisa usingizi baada ya taarifa ya msiba wa kijana wetu Tarimo. Tofauti na watu wengi wanavyofikiria ,Putin anataka kuwatimua mawaziri Kama wawili na majenerali kadhaa sababu ya kutopewa taarifa awali kuwa Kuna kijana wa...
  4. JamiiForums Tanzania Ni sababu zipi za msingi zilizosababisha Wakuu wa Wilaya wengi kiasi hiki kuhamishwa vituo vyao vya kazi?

    Nimestushwa Sana na taarifa iliyotolewa Ikulu, ikionyesha kuwa wakuu wa wilaya 48, wamehamishwa vituo vyao vya kazi. Hivi Rais anawezaje kuwahamisha wakuu wa wilaya 48, Ili waende kwenye vituo vyao vipya vya kazi? Pia nimuulize Rais, je alipokuwa anafanya uteuzi huo, hakujua mapungufu ya...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Ni sababu ipi ilifanya Mungu akaacha kuongea na binadamu kwa ishara?

    Wanajamvi poleni na mihangaiko ya hapa na pale Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara hapo zamani tunaambiwa na kusimuliwa MUNGU alikuwa akiongea na watu kwa ishara Mfano ●Mussa alitokewa na kichaka kikiwaka moto ●Pia adamu aliisikia sauti ya MUNGU Je hii sababu ni nn au ndio binadamu wa sikuizi...
  6. JamiiForums Tanzania Sababu na matibabu ya tatizo la kujamba kwa Uke

    Hii ni hali ya utoaji wa hewa au gesi uliyojikusanya ndani ya Uke. Tofauti na kujamba kwa kawaida ambako hutokea kwenye tundu la haja kubwa, uke huwa hautoi gesi chafu ambazo hutoa harufu kali. Kitendo hiki kinaweza kutokea wakati wa tendo la ndoa, mazoezi au pale ambapo mwanamke anakuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Siwezi kukuoa Kwa sababu nimekupa ujauzito!

    SIWEZI KUKUOA KWA SABABU NIMEKUPA UJAUZITO! Anaandika, Robert Heriel. Jilengeshe! jibebeshe! jitegeshe! Utajua mwenyewe. Oooh! Kama ulikuwa hutaki mtoto si ungetumia Mpira, ooh! Kama hukuwa unanipenda mbona ulinifuata ukanitongoza, ooh! Kwa nini hukupiga shut fyongo likaenda nje, wewe...
  8. JamiiForums Tanzania Mahari na kufunga ndoa ndio sababu inayofanya vijana wasioe

    Prakatatumba etumba etumba abaabaabaabaa, nimekaa nimefikiria kitu kimoja, maisha yenyewe yalivyo magumu hivi unaambiwa mahari ya milion 2, hivi hiyo million 2 si naweza invest ikanipatia hela nyingine?.. Just imagine hauko stable then vijana wanaambiwa mahari million 2/3, na bado huyo...
  9. JamiiForums Tanzania Watu wa kanda ya ziwa ni warefu sababu ya kula dagaa

    Habarini. Dagaa ni chakula kimoja kinadharaurika sana na kuonekana cha kimasikini, lakini ni moja ya vyakula bora kabisa duniani. Ni hivi, mifupa ya mtu hujengwa kwa sehemu kubwa kwa Calcium. Sasa, ukiondoa maziwa, chakula kinachofuatia kwa kuwa na calcium kwa wingi ni samaki wanaoliwa na...
  10. JamiiForums Tanzania Wazazi na walezi, Kosa gani mtoto wako amewahi kufanya ila ukashindwa kumuadhibu sababu na wewe ulilifanya ukiwa mtoto?

    Habarini wana jamvi, Nmesukumwa kuleta hii mada sababu nimekumbuka kitu nikaishia kucheka tu. Mwaka jana mtoto wangu wa pili alipelekwa kuandikishwa shule na mzazi mwenzangu lakini jioni nikakuta timbwili sababu dogo alikua kapoteza begi lote la madaftari. Mama ake alikua anakaribia kumuadhibu...
  11. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sababu za CHADEMA kuanzia mikutano yake Mwanza

    Mwanza ni karibu na Mikoa ya Geita, Mara, Kagera, Kigoma, Simiyu, Tabora na Shinyanga kijiografia. Ni Rahisi kusafirisha wafuasi kiduchu, kutoka mikoa hiyo na wilaya zake na hatimae kuwajaza Mwanza. Pia Mwanza Chadema inawategemea wafuasi wa Ezekiah Wenje,ambao kwa ujumla hawafuati sera bali...
  12. JamiiForums Tanzania Hongera sana mchungaji Dkt. Kimaro kwa kufahamu ukweli

    Nampongeza mchungaji kwa kuujua na kuufahamu ukweli yote aliyoyasema ni kweli, vijana wa kikristo sio waaminifu hata kidogo kiufupi ni wezi na sio waastaarabu. Mimi kama mkristo wa Lutheran naomba mchungaji Kimaro arudishwe kazini maana amezungumza ukweli kabisa vijana wa kikristo wengi wao ni...
  13. JamiiForums Tanzania Sababu kuu zenye Mantiki zilizowafanya na zinazowafanya Wayahudi wengi Wasimuamini Yesu Kristo

    Anaandika, Robert Heriel Kuhani. Leo Taikon atajadili sababu zinazopelekea wayahudi wengi kutokumuamini Yesu Kristo Kama Masihi wao na waulimwengu. Andiko hili lijadiliwe Kwa Hoja zisizo na mihemko ya kidini. Kama unajijua Akili yako imefungwa fungwa hii mada haitakuhusu. Hivi uliwahi...
  14. JamiiForums Tanzania Sipendi kuwa na marafiki wengi sababu marafiki ni maadui zako wa baadaye

    Kuwa na marafiki wengi siyo sifa bali unatengeneza ugumu wa kujua adui wako, kikulacho, mfitini na n.k, sababu una marafiki wengi. Wengine wanaweza kuwa marifiki sababu mbalimbali kwa idadi uliyonayo, ni bora rafiki wasizidi wawili wengine kuwa mnasalimiana tu. Ukizungukwa na marafiki ni mzigo.
  15. JamiiForums Tanzania Niliamua kumuacha huyu 'wife material' sababu ya umasikini wa kwao

    Wanawake tafuteni hela mtakosa wachumba. Nilikutana na huyu mwanamke miaka ya nyuma huko. Akawa abakuja gheto anapika, anafua, usafi anafanya na moto nampelekea. Hakuwa na makuu kivile ila alikuwa na simu kali kuliko yangu, akivaa anapendeza sana nikasema mke ndio huyu twende kwenu. Tukaenda...
  16. JamiiForums Tanzania Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

    Hili swali linawahusu wale ambao hawatumii majina yao ya kweli hapa ukumbini. Je, jina lako lina maana yoyote? Kuna sababu yoyote ile iliyokufanya uamue kutumia jina hilo!? Nilikuwa nimeamua kutosema lolote kuhusiana na hali ya kisiasa ndani ya nchi yetu (kuwa bubu) pamoja na kwamba nilikuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Hayati Magufuli aliamua tu kuwa katili bila sababu zozote?

    Mafuriko ya Mbeya Rais Samia ametoa msaada wote wa kibinadamu. Serikali imeweka full attention kusaidia wahanga. Nimefarijika sana. Sasa nikakumbuka lile tetemeko la Kagera.. Magufuli alivyo wakashifu wahanga na kutosaidia chochote.. akasema 'kwani mimi ndo nimeleta tetemeko, fanyeni kazi...'...
  18. JamiiForums Tanzania Hili la vishikwambi Serikali inajiletea mtafaruku usio na sababu kwa Walimu

    Tarehe 4/11/2022 Waziri mkuu alizindua zoezi la ugawaji vishikwambi Kwa walimu na alisema vishikwambi vitolewe Kwa walimu WOTE nchini! Lakini kwasasa Hali ni tofauti Kila halmashauri imekuwa na Utaratibu wake, Wapo wanaotoa Kwa walimu wote na wengine wanatoa Kwa walimu baadhi Tu! Mimi nishauri...
  19. JamiiForums Tanzania Sababu za wanafunzi wa kizazi hiki kufeli masomo ni hizi hapa

    Habari zenu wadau wa elimu? Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha. Awali ya yote napenda ku declare interest kuwa mimi ni mwanafunzi wa zamani na mshauri wa masuala ya elimu ninayefanya kazi na kampuni ya Shuledirect. Kwa hiyo, ushauri ninaotoa hapa ni wa kitaalamu na...
  20. JamiiForums Tanzania Ijue sababu ya marafiki wa DSM kuwakimbia na kuanzisha visingizio pale inapofika mda wa kupokea washkaji zao wa mikoani

    Marafiki wa Dar mara nyingi wanapoongea na washkaji zao wa mikoani waliosoma nao vyuoni au labda walikua udogoni pamoja mikoani hujinasibu wana maisha bora sana huko Dar. Na pia wana michongo ya kufa mtu si wanawake wala wanaume.. Sasa wanapokuja mikoani washkaji zao huwakaribisha kwa ukarimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…