Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,829
- 18,778
Ni kwa sababu hakuna hata nchi moja ya kiafrika inayo-practice capitalism, na hii ni ktk cairo mpaka cape town, wote wanafwata aidha 100% communism/islam au some sort of communism/ socialism lkn hakuna anayefwata capitalism thats why, afrika iko backward kila mahali kwa maana communism iko kunufaisha politburo na familia zao na siyo general population …