saba

Saba (; Dutch pronunciation: [ˈsaːbaː]) is a Caribbean island which is the smallest special municipality (officially “public body”) of the Netherlands. It consists largely of the potentially active volcano Mount Scenery, which at 887 metres (2,910 ft) is the highest point of the entire Kingdom of the Netherlands. The island lies in the northern Leeward Islands portion of the West Indies, southeast of the Virgin Islands. Together with Bonaire and Sint Eustatius it forms the BES islands.
Saba has a land area of 13 square kilometres (5.0 sq mi). The population was 1,933 as of January 2020, with a population density of 148 inhabitants per square kilometre (380/sq mi). It is the smallest territory by permanent population in the Americas. Its towns and major settlements are The Bottom (the capital), Windwardside, Zion's Hill and St. Johns.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania MAKALA YA SABA “JKT: Chuo cha Sayansi, Ubunifu na Uzalendo”

    Ndugu zangu, Kizazi cha taifa hakijengwi kwa silaha pekee. Hakijengwi pia kwa muziki wa starehe pekee. Kizazi cha taifa hujengwa kwa mafunzo ya uzalendo, sayansi, na ubunifu. Hapa ndipo JKT ilipaswa kusimama kama injini ya taifa. Tazameni ndugu zetu wa Burkina Faso, chini ya uongozi wa kijana...
  2. JamiiForums Tanzania MAKALA YA SABA “JKT na Vita Dhidi ya Uporaji wa Fikra za Vijana”

    Ndugu zangu, Kizazi cha taifa hakipotei kwa njaa, hakipotei kwa maradhi, hakipotei kwa umasikini tu. Kizazi cha taifa hupotea pale fikra zake zinapotekwa na kupotoshwa. Hii ndiyo hatari kubwa inayotukabili leo. Tazameni vyombo vya habari vilivyotujaa ndani ya nyumba zetu. Vijana wetu wakiwasha...
  3. JamiiForums Tanzania Hizo Elfu Saba Saba Tupeni Watanzania Wote

    Vijana wanaopokea buku saba saba naona wanaongezeka kila kukicha kwenye kila mitandao. Kodi ya mtu anaesafisha vidonda hosptalini leo hii mnawapa wapuuzi kisa kulinda madhaifu yenu.
  4. JamiiForums Tanzania Hatimae Mwili wa Marehemu Joshua Mollel warejeshwa na Magaidi wa Hamas wenye vina saba na Chama Cha Mauwaji

    Joshua Loitu Mollel (Picha Kwa Hisani ya Maktaba) Mabaki yaliyorejeshwa kutoka Gaza hadi Israel usiku kucha yalitambuliwa kuwa ya raia wa Tanzania Joshua Loitu Mollel, mamlaka ya Israel ilisema Alhamisi. Wawakilishi wa Jeshi na Wizara ya Mambo ya Nje waliifahamisha familia ya Mollel kwamba...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Dodoma: Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Tanzania awamu ya Sita

    Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Saba wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Shwrehe za kuapishwa kwake zimefanyia Dodoma hii leo 03/Nov/2025
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tayari Hamas imewaachia huru Mateka saba wa Israel na kudai kuendelea kuachilia wengine zaidi

    Shirika la Habari la BBC imeripoti kuwa Mateka saba wa kwanza wa Israel walioshikiliwa na Kundi la Hamas huko Gaza wameachiliwa leo na wako chini ya uangalizi wa Shirika la Msalaba Mwekundu (ICRC), tayari kukabidhiwa kwa jeshi la Israel (IDF), jeshi hilo limethibitisha Taarifa za kuachiliwa...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Said Mohamed na wenzake wataka viongozi CHADEMA kukamatwa kwa kukiuka amri ya mahakama

    Ameandika Hilda Newton kupitia mtandao wa X TAARIFA KWA UMMA Kuna Maombi Madogo ya kesi ambayo Said Issa Mohamed na Wenzake wamefungua kwa hati ya dharula dhidi ya 1. Mhe. John Heche 2. ⁠Mhe. John Mnyika 3. ⁠Hilda Newton 4. ⁠Twaha Mwaipaya 5. ⁠Board ya Wadhamini ya Chadema. Maombi hayo...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi mtoto kumaliza darasa la Saba ni kitu cha kuandalia sherehe?

    Kusini kunachekesha Sana yaani siku ya mahafali ya shule ya msingi mzazi anakwenda kukopa hela kabisa ili afanye shughuli nyumbani karibia mziki wa kukodi laki tatu chakula laki mbili eti kusherehekea mtoto kamaliza la Saba kweli jamani elimu ya msingi ni kitu cha kujivunia hivyo?
  9. JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa

    Waislamu wanadanganya watu, eti Yesu ndio lssa bin Mariam, lakini hawa ni watu wawili tofauti kabisa. Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe na lssa bin Mariam yeye alizaliwa chini ya mtende. Watu hawa wana tofauti nyingi sana, nawaomba ndugu waislam waache kumlinganisha Yesu na lssa.
  10. JamiiForums Tanzania Tufundishe soko la kustaafu la kwanza mpaka la saba mtasaidia wengi sana

    Rejea kichwa cha habari hapo juu naomba tuwe na somo.linalohusisha nini maana ya kustaafuu
  11. JamiiForums Tanzania Kabla ya kudharau wabunge wa darasa la saba ebu tuangalie mchango wa wabunge wasomi wa Tanzania tangu nchi ijipatie uhuru wake .

    Watanzania Wengi Ambao wanadharau wabunge , naomba watupe mchango wa wabunge ambao wamesoma wamelifanyia nini Taifa la Tanganyika.
  12. JamiiForums Tanzania Makaburi saba yakutwa ndani ya Kanisa Huko Tarime

    Ni jambo la Kustaajabisha na ni halisi kabisa limetokea Huko Mkoani Mra wilaya ya Tarime ambapo inadaiwa makaburi saba yamekutwa Kanisani Humo Hadi sasa Hijafahamika wazi ni nani aliyachimba na yalitumika Vipi Taarifa kamili hii hapa https://youtu.be/tKE8-hIRyBk?si=W57s4O3HXa2DRc83
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kinachoendelea CHAN 2024 ichukuliwe miongoni mwa maajabu saba ya Duniani

    Nimejaribu kuwaza na kuwazua bado nimeshindwa kupata majibu kabisa, Tuseme ndio mcheza kwao, Au ni vile timu walizonazo vigogo ni wachezaji ambao hawawatumii mara kwa mara katika mashindano au ni soka la ukanda wetu linakuwa au nini hasa? Maana imekuwa ni maajabu Tanzania aongoze kundi lenye...
  14. JamiiForums Tanzania Pascal Lutandula mhitimu darasa la saba aongoza Chato kusini,Takukuru wamuogopa,amwaga rushwa adharani,adai ametumwa na mkuu

    Vijana tafuteni hela,money can buy anything Pascal Lutandula muhitimu wa darasa la saba B shule ya msingi Igando wilaya ya Chato,ameongoza kura za naoni kwa kuwaacha mbali wagombea wasomi akina Katwake na wenzake Huyu ni mfanyabiashara wa madini ya dhahabu,ana hela kama njugu Mpaka muda huu...
  15. JamiiForums Tanzania Msikilize Mmasai huyu(multilingual), anaongea lugha saba za kimataifa!

    Msikilize Mmasai huyu(multilingual), anaongea lugha saba za kimataifa: French, German, Arabic, Chinese, Hindi, Swedish and English. Clip haizidi MB 3
  16. JamiiForums Tanzania Mgeni hataki soda anataka mia saba yake

    Ab
  17. JamiiForums Tanzania NadhaniJF kunawatoto hadi wa darasa la saba, nao huanzisha nyuzi zao humu

    Habari njema sana kwa wana JF wote. Mimi sio muandishi mzuri sana wa nyuzi ndeefu sana, hii nikwasababu nilipokua mdogo sana niliambiwa muda ni mali sana.. nasasa nilipo kua mkubwa nimebaini muda hautoshi kabisa. Twende kwenye maada hapo chini. HIVI hawa vijana wanaokuja namaada kwamba...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Banda la Yanga lang'ara makombe maonyesho ya Saba Saba

    Hii sasa ni sifa, yaani Yanga imekomba makombe yote ya msimu!
  19. JamiiForums Tanzania Zijue nchi saba zenye Walokole wengi

    Walokole hapa namaanisha watu wenye sifa zifuatazo: waliotubu dhambi zao na kumpokea Yesu awe Bwana na Mwokozi wao, waliobatizwa ubatizo wa maji mengi na kujazwa Roho Mtakatifu. Ibada zao zina shangwe ya kiroho, kunena kwa lugha, shuhuda za miujiza na uponyaji, na mahubiri/mafundisho...
  20. JamiiForums Tanzania Museveni awania muhula wa saba madarakani Saumu Njama

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameomba tena uteuzi wa kugombea muhula wa saba, hatua inayomuelekeza kwenye miaka 50 ya utawala. Museveni, mwenye umri wa miaka 80, amepuuza wito wa kustaafu huku wakosoaji wake wakionya kwamba amegeuka kuwa mtawala wa kiimla, kwa kuwa hana upinzani wa maana hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…