saa

  1. mr pipa

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya binadamu kuamka kati ya saa nane usiku hadi saa kumi huwa ina maana gani?

    Nimekuwa na tabia hiyi hata kama nikalala saa 7 usiku ila ukifika kwenye hayo masaa hata kama nilikuwa nimechoka au kuwa na usingizi mzito ukifika huo muda ni lazima nitastuka iwe kwa kwa kupenda au kutopenda Nimejalibu uliza baadhi ya viongozi wa dini wananiambia Mungu anakuamsha umuombe...
  2. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania EAtv saa 1 kwanini mmepotosha maelezo ya mwenyekiti wa CHADEMA

    Kwenye taarifa ya habari ya leo saa 1 jioni ilikuwepo taarifa ya mwenyekiti wa Chadema kuhusu uchaguzi mkuu ujao, mhe. Lissu kwenye maelezo yake amesema Chadema haitasusia uchaguzi, lakini maandishi kuhusu maelezo yanasema Chadema itasusia uchaguzi! Upotoshaji huu ni kwa manufaa ya nani? EATV...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wananchi Hai, Simanjiro na Arumeru wafunga barabara kwa saa nne waitaka Serikali kutatua changamoto

    Wananchi wa Kata ya Kia (Wilaya ya Hai, Kilimanjaro), Majengo (wilayani Arumeru, Arusha), na Naisinyai (wilayani Simanjiro, Manyara) wameandamana na kufunga barabara ya Mirerani hadi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), wakishinikiza Serikali kutatua changamoto ya eneo korofi...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Sinza duka linafunguliwa saa 5, kuna T shirt 4, Jinsi 3 ila ndani full AC, Wifi, Dstv, Nje imepaki ndinga ya milioni 50+, wenzetu wanafanye?

    Kwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini, tupeane madini please. Huku wengine tunawahi kuamka kwenda makazini, vibaruani, madukani, maofisini, n.k. kuna wenzetu wenye frem Sinza wanaamka saa tatu jua lishachomoza Maduka yanafunguliwa saa nne hadi tano, ajabu vitu vinavyouzwa ni...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Barabara nne Dar kufungwa kuimarisha Usalama mkutano wa SADC na EAC kujadili mzozo wa DRC na M23

    Tanzania imepata fursa ya kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ambapo Mkutano huo utakuwa chini ya uenyeji wa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kufuatia...
  6. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania KERO YAS (zamani TIGO Tanzania) kila ikifika saa moja usiku hadi saa 4 huduma yao ya kifedha inasumbua nini shida?

    Hawa Nyash sorry YAS Yaani ikifika saa 1 usiku basi sio Lipa kwa mix by YAs sio wakala kukuwekea pesa mtandao unakua shida... Ila asubuhi na mchana inakuwa fresh tu! Na ukipiga huduma kwa wateja wanajibu simple tu wanashughulikia.. Lakini tatizo ndio liwe kila siku??
  7. A

    JamiiForums Tanzania Hivi saa inavaliwa mkono gani kwa mwanaume

    Huyu ni naibu waziri wa nishati, Amevaa saa mkono wa kulia, kapiga picha inayoenda kwa umma mdomo wazi Vyote sio tatizo issue kuvaa saa mkono wa kulia navyojua ni uhuni, Mwanaume anapaswa kuvaa saa mkono wa kushoto
  8. State Propaganda

    JamiiForums Tanzania Mhariri wa Habari ya saa mbili usiku UTV kazi imemshinda?

    Tokea jana kuna mkanganyiko mkubwa na muingiliano wa Habari, hasa za kitaifa UTV. Je, Msimamizi wa maudhui ya taarifa ya habari ya saa mbili usiku katika chaneli hiyo ya Azam tv amekumbwa na nini!? Maana imeshaanza kuwa kero kwa sisi watazamaji .😠😠😠
  9. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Sio kwenye Pete tu hata kwenye saa

    Wakuu niliona mjadala humu kuhusu watu kuvaa mapete na kila aliyechangia alikuwa na maoni yake. Kwa habari nilizozisikia na kuziona kwenye vyombo vya habari hata kuzisoma sehemu mbalimbali. Pete zinazovaliwa na watu mbalimbali wakiwemo Mashehe, Wachungaji, Maaskofu na watu mbalimbali. Huwa...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya kutoka Dar hadi Masasi, nayo yapo kwa saa 24?

    Naomba kujuzwa iwapo mabasi ya kutoka Dar kwenda Masasi yapo nyakati zote usiku na mchana. Iwapo hayapo nyakati zote, naomba kujuzwa ratiba zake.
  11. D Metakelfin

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi ya kufanya usiku tu kuanzia saa 4 usiku hadi saa 12:00

    Husika na kichwa cha habari hapo juu. Jinsia ni Me Mkoa : Dar es salaam. Kazi : yeyote iwe ya kutumia nguvu au akili Niko tayari Mawasiliano kwa sababu za kiusalama nisingependa kuweka hapa ila kwa pm tunaweza kuwasiliana zaidi
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ulega Atoa Saa 72 Mawasiliano Daraja la Gonja Mpirani Yarejee

    ULEGA ATOA SAA 72 MAWASILIANO DARAJA LA GONJA MPIRANI YAREJEE Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ametoa saa 72 kwa Wakala ya Barabara nchini (TANROADS) mkoa wa Kilimanjaro kurejesha mawasiliano katika daraja la Gonja Mpirani. Hatua hiyo inafuatia kuvunjika kwa daraja hilo hivi karibuni kufuatia...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Salim Kikeke kufanya mahojiano na Mbowe kuanzia saa 12 jioni ya leo

    Hii ndio habari nimeona mtandaoni jioni hii: Mahojiano yatakuwa live kupitia YouTube. https://www.youtube.com/watch?v=PjKQHmASvCM
  14. Noel france

    JamiiForums Tanzania Nahisi panaelekea kukucha, inshu ya Ben Saanane huenda watu wengi wakahusika zaidi

    Nimenukuu kutoka kwa mdau mmoja kutoka kwenye chombo kimojawapo cha habari. Kwa mtazamo wangu na uchunguzi wangu kwa kuunganisha Dot. Pamoja na inshu ya Sasa ndani ya CDM Kuna mambo mengi nahisi kuyaona. Na chelea kusema kwa namna moja ama nyine Mh FAM anahusika na uwenda yupo pale kwa msaada...
  15. Prince Luanda

    JamiiForums Tanzania Tumekaa zaidi saa moja tunasubiri kwenye kituo cha mwendokasi Msimbazi

    Kwenye kituo cha mabus ya kutoka gerezani kwenda Mbezi Mwisho abiria tumejaa tu humu mabus yanatupita hadi watu wamepaniki na kuwatupia lawama walinzi wa kituo.
  16. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kuhutubia Taifa leo 01/01/2025 majira ya saa 6 mchana

    Habari ndio hio wadau kwahiyo kaeni mkao wa kula.
  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania Sisi Wasabato tunasherehekea Mwaka Mpya saa kumi na mbili jioni

    Sisi tunaangalia mwaka wa Biblia sio mwaka wa kidunia. Ikawa asubuhi ikawa jioni siku mpya. Kwenye biblia hamna ikawa asububi ikawa usiku siku mpya. Hayo ya Usiku ni mambo ya Kidunia Heri ya Mwaka mpya 2025
  18. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Traffick mtupime kuthibiti Pombe njian ♌ usiku huu kupunguza ajali....vijana wako bar Toka saa nane mchana

    Polen najua nawachukulia mda WENU kufurahia MWAKA mpya Kumekuwa na ajali za ajabu sana MWAKA mpya ambapo Kama kungekuwa na upimaji wa vilevi huko njian walipotokea Tungeeweza kuthibiti vifoo kadhaaa TUNAOMBA leoo tukeshe wote kulinda uhai wetu Dec imekula sana JAMAN kupitilixa Mpaka...
  19. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Nimenunua pressure cooker, Cha ajabu natumia saa moja na nusu kupika maharage. Nakosea wapi?

    Kutokana na mazingira machafu ya baadhi ya mama ntilie Mwanaume nimeamua kupika Sasa Jana nimenunua pressure cooker ili kupikia maharage na nyama Cha ajabu naona maharege natumia saa moja na nusu ila maji hayajauki mpaka kupungunza Nakosea wapi wakuu
  20. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania ATC ya saa 5 usiku JRO-DAR tunaondoka saa 9 alfajiri?

    1. Tumelala KIA(JRO) baada ya ndege yetu ya saa 5 usiku kucheleweshwa mpaka saa 9 na nusu alfajiri. 2. Domestic flights mtu unalala airport Karne hii? Mwezi uliopita Mwanza-Dar delay masaa 12 no apology na hakuna anayejali. 3. ATC ina CEO/MD? NB: European Union wana kila sababu kuipiga pini...
Back
Top Bottom