Jana baada ya kuhamia ACT Wazalendo chama kikuu cha upinzani alianza kuwabeza wanaharakati aliokuwa wanamsupport
Kauli iliowashatua wengi kumwambia sativa auguze makovu aliyoyapata kwa washikaji
Ukifatilia comments zake za jana na wachangiaji ktk account yake ni wazi kwamba brand ya kitapeli alioijenga miaka 50 imepotea ghafla
Nini kimemkumba?