saa

  1. U

    JamiiForums Tanzania Duka gani wanauza saa quality za uswiss (Swiss watches)?

    Wakuu umofia kwenu? Nauliza hapa Dar duka gani naweza pata saa quality za brand za uswiss kama vile Rado, Patek Phillipe, Rolex ambazo zina quality?
  2. JamiiForums Tanzania Ben Saanane kumuondosha muuaji wake kama Joseph Muscat kwa kumuua Daphne Caruana Galizia?

    Waziri Mkuu wa Malta Joseph Muscat, nchi ambayo haijawahi kuwa na maandamano wala mkwamo wa kisiasa na ambaye amekuwa akipendwa pomoni ametupiwa mayai viza, yeye na wapambe wake na waandamanaji baada ya kugundulika kwamba alihusika kumuua mwandishi wa habari za kichunguzi mwanamama Daphne...
  3. JamiiForums Tanzania Agizo la Rais Magufuli la mashirika yasiyotoa gawio kwa Serikali latekelezwa ndani ya saa 24

    Saa chache baada ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kutoa siku 60 kwa Taasisi, Kampuni ambazo Serikali ina hisa chache na Mashirika ya Umma 187 ambayo hayajatoa gawio au mchango kwa Serikali tayari Taasisi nne zimetekeleza agizo hilo leo. Akizungumza leo, jijini Dodoma, wakati akipokea gawio na...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi ungejisikiaje kama umenunua bia halafu ikipita nusu saa hujaimaliza unanyang'anywa na kuamrishwa ununue nyingine au upishe kiti wateja wengine?

    Chukulia mfano umeenda bar, tena umelipa kiingilio, ukaagiza bia moja baridi kisha ukaanzwa kuinywa taratiiibu kwa raha zako, halafu baada ya nusu saa unaambia bia yako ime-expire kwahiyo tunaiondoa na unatakiwa ununue nyingine, la sivyo pisha kiti akae mtu mwingine. Hilo linaweza likawa ni...
  5. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz kuzungumza na vyombo vya habari kesho saa 5 asubuhi

    Jioni hii Diamond (Chibu) ameripoti kuwa kesho atazungumza na vyombo vya habari nchini. Je, Chibu anaenda kujibu mawe anayorushiwa juu Million 500 ya Konde boy? Usikose kesho saa 5 asubuhi kupitia Wasafi TV na Wasafi FM (88.9).
  6. JamiiForums Tanzania Mvua zasababisha abiria wa Dar, Arusha na Kilimanjaro kukwama njiani zaidi ya saa 20

    Mamia ya Wananchi (abiria) waliokuwa wanasafiri kutoka Arusha, Kilimanjaro na nchi jirani na waliotoka Dar es Salaam kuelekea mikoa mbalimbali wamekwama tangu jana mchana wilayani Korogwe na Handeni Mkoa wa Tanga sababu zikielezwa ni kutokana na maji kupita juu ya daraja la Mandera na kulisomba...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Jamani mpenzi wangu hajapata siku zake mwezi saa, inawezekana ana mimba au?

    jamani habari za saa hizi mpenzi wangu hajapata siku zake mwezi sasa hivi ina wezekana ana mimba au?
  8. JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata casio watch kama hizi?

    Habari wakuu? Wapi naweza kupata casio watch za model hii kwa hapa Dar? 1. Casio illuminator W-96H 2. Casio Telememo illuminator AW-81 Hizi zipo tofauti na zile casio za kawaida, kuna feature ya telememo ndani yake. inaweza kustore records kidogo, contacts. ina dual time, timer n.k kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…