MOHAMED SAID RADIO ONE KIPINDI CHA MAPINDUZI YA ZANZIBAR 1964 KESHO 12 JANUARY ASUBUHI SAA MBILI
Kichwa cha.habari kinajieleza.
In Shaa Allah...
Nasikia, ‘’Hodi, hodi, hodi.’’
Nafungua nawaona watu wa stesheni moja maarufu sana wako mlangoni pangu wananiambia wamekuja kunihoji kuhusu Mapinduzi...
Ndugu watanashati habari,
Ninatafuta mkanda wa saa kama huo pichani. Si lazima nipate kama huo bali kama naweza kupata mkanda mzuri wa ngozi. Niende duka lipi hapa Dar?
Tulikuwa tunafanya mazoezi mchangani Ziwa Tanganyika, Ahmad kucheki time ni saa moja na nusu usiku ila kweupeeee kama mchana.
Muda huo kule kwetu Unguja ni giza totoro. Kigoma ni Burundi.
Kuanzia leo saa 6 Mchana tarehe 05.01.2023 Mtandao wa Halotel unawaibia wateja wake bila huruma kupitia Vifurushi vya Internet. Ukijiunga kifurushi cha Siku cha Shilingi 1,000 ambacho wanakupa MB 490 na mara Tu ukianza kukitumia ndani ya Dakika 3 Kinakuwa kimeisha.
Kwa MB 490 ukiangalia video...
Jamani naweka booking, katika muda huo.
Nitaweka uzi wa kuwatakia heri ya mwaka mpya wanaJF wote. Pia nitaandika malengo yangu ya mwaka 2023.
Naweka booking ili mtu asije akaniwahi kuweka similar uzi.
Heri ya Mwaka Mpya ndugu zangu wote...
Tegemeeni mengi mazuri kutoka kwangu mwaka 2023...
Leo nimesikiliza EFM, Wasafi na Clouds, hakuna cha maana nimesikiliza na kukielewa na kutosheka zaidi ya KAMARI ZAO TU na zile tutarejea tutarejea zao.
Hivi vipindi vya hizo redio vimefika mwisho.
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram mshambuliaji matata christiano Ronaldo alimaarufu CR-7 kwa kushirikiana na Kampuni ya rafiki yake wa zaidi ya miaka 20, Jacob & Co amezindua saa mpya za kifahari zilizotengenezwa kwa ushirikiano, sahihi na Alama spesheli za Ronaldo.
Bei ya...
Leo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana na yeye anapata huduma, yeye kafuata kondomu anasema anaenda kazini.
Hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji...
Nijibuni upesi kwani nataka nimuandae kabisa Mnyasa (Mmalawi) wa kuwa naye usiku mzima wa leo na niandae pombe za kunywa ili kusheherekea tu kutolewa rasmi kwa klabu moja, na Tanzania kubakia kuwakilishwa na klabu moja tu kubwa kuliko inayojulikana hata na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ya...
Nini kinaendelea? Hili ni swali linalogonga vichwa vya Watanzania wengi wenye shauku ya kujua majadiliano baina ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yatahitimishwa lini.
Jana vigogo wa vyama hivyo wasiozidi 15 walijifungia kwa saa nne katika...
Naandika leo nimechukizwa sana na huduma ofisi za Serikali
Haina mana wote wanatabia ya uvivu. Huu ni ushuhuda wangu mimi.
Siku zote Kuna watu wanadhani wao Kwa kuwa hawahusiki na hawaendi hata hapo temeke hospital wakaona weakness za watumishi, tanesco, maji wakaona upumbav wa baadhi wa...
Hotuba za mkuu wa Mkoa wa Kagera zinajaa aina fulani ya ucheshi na ni wa kipekee. Huwa ni wa kwake mwenyewe haufanani na wa mwanasiasa mwingine yoyote. Maongezi yake yanafikirisha lakini yanawekwa hadharani kwa njia ya kuchekesha.
Wapo wanaodhani kuwa ameupata ukuu wa Mkoa kama bahati tu, kama...
Habari za mchana ndugu zangu.
Kama nilivyoalindika kichwa hapo juu, hivi siku hizi kuna mwanaume anaeweza kujamiana na mwanamke raundi ya kwanza wastani wa saa moja?
Maana mbona kuna malalamiko mengi siku hizi zihusizo nguvu za kiume kupungua?😠
Salaam.🙏
Karibuni katika mtanange huu wa kukata na shoka baina ya Yanga na Kmc utakaochezwa saa 1 jioni Estadio De Benjamin Mkapa.
.
Huu ni mchezo wa namba 69 wa Ligi Kuu ya NBC 2022/2023.
.
Yanga akiwa ni mwenyeji wa mchezo wa leo dhidi ya Kmc.
.
Karibuni Wakuu.
=======
01' Mtanange umeanza Benjamin...
Wananchi wajipange na kununua majenereta.
Wasio na uwezo wa majenereta wanunue taa za kandiri na koroboi.
Wenye pesa za uhakika wanunue Solar power.
This is too much.
Waziri wa Afya Jane Ruth Aceng ameripoti ongezeko la Wagonjwa 9 waliothibitishwa kuwa na Ebola jijini humo na kufanya jumla ya wagonjwa kufikia 14 ndani ya saa 48 zilizopita.
Usambaaji wa kasi wa Ebola jijini Kampala umezusha hofu kwa raia kuwa huenda Rais Museveni akatangaza hatua kali za...