Mechi ya Ujerumani dhidi ya Japan inaanza saa ngapi kwa masaa ya hapa Tanzania?

44mg44

JF-Expert Member
Jun 16, 2019
2,135
2,141
Nina shauku sana ya kwenda kuwaangalia Wajerumani wakiwa wanamfunga mtu!

Hii mechi kali na muhimu inaanza saa ngapi wadau?
 
Game linaanza saa kumi,nshapata jibu tayar wadau, nawashukuru kwa kushiriki
 
Nina shauku Sana ya kwenda kuwaangalia Wajerumani wakiwa wanamfunga mtu!!

Hii mech Kali na muhim inaanza saa ngap wadau??
Kijana download flashscore inakupa masaa ya Tanganyika aka EA na Unguja ikiwemo Unguja kwa mechi zote za soka duniani. Utakuja kunishuku siku moja.
 
Back
Top Bottom