saa

  1. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Mgao umeanza upya? Leo tu umezimwa Kariakoo Mchikichini

    Kwanza ulizimwa saa tisa mpaka saa kumi na mbili jioni ukarudi, kisha ukazimwa saa moja mpaka saa hii ni saa tano na dakika mbili usiku hamna umeme kariakoo mchikichini. TANESCO
  2. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaipa Malawi Helkopta 2 na Dola milioni moja

    Balozi Polepole anazipokea helikopta mbili toka Tanzania kwenye uwanja wa ndege Chileka Blantyre Malawi, ndege hizi ni kwa ajili ya kutoa msaada wa uokoaji wananchi waliokumbwa na kimbunga Freddy, hizi zitafuatiwa na misaada ya chakula, madawa na mahema ambavyo vinaelekea huko kwa njia ya...
  3. Replica

    JamiiForums Tanzania Jinsi maamuzi mabovu yalivyoifilisi benki ndani ya saa 48, wateja waliomba kutoa dola bilioni 42 kwa siku moja(Mara mbili ya bajeti ya Tanzania)

    Silicon Valley Bank inayosifika kuwa muhimu kwa kampuni za kiteknolojia hasa zinazoanza na kukua imedondokea pua na kuwa benki ya pili kubwa nchini Marekani kudondoka tangu kumaliza kwa mdororo wa uchumi wa mwaka 2008. Mdororo wa 2008 ulianzia nchini Marekani baada ya mabenki mengi kuporomoka...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sasa ni Vita rasmi ya Sports Extra ya Clouds FM dhidi ya E-Sports ya EFM Usiku wa Saa 3 hadi Saa 5

    Baada ya kwa muda mrefu Clouds FM na Kipindi chao pendwa cha Sports Extra kutamba kwa muda mrefu kila Siku za Usiku wa Saa 3 hadi Saa 5 sasa wamempata Mpinzani wao mpya wa Kipindi cha Michezo cha Usiku. Taarifa ikufikie kuwa kuanzia Wiki ijayo kile Kipindi pendwa cha E-Sports cha EFM...
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nionesheni bodaboda aliyeagiza gari Japan au China kwa kipato cha bodaboda niache kazi ya utumishi wa umma ndani ya saa 24

    Hii sasa ni too much Unamfananishaje mtu anayekufa kama nzi hapa jijini Dar es Salaam na mtumishi wa umma? Unamfaninishaje bodaboda ambaye akipata ajali kubwa tu anakimbizwa Kijijini kwa mama yake akafie huko na mtumishi wa umma ambaye ana bima ya watu 6? Mtu akistaafu anakunja mpaka milioni...
  6. Four-Star General

    JamiiForums Tanzania Walimu wa Meru DC watakiwa kujitokeza Jumapili saa 1:00 asubuhi Usa-river wakati Rais Samia atakapokuwa anapita eneo hilo

    Hii kada ni ya wanyonge na wananyongwa kweli. Mke wangu ametumiwa meseji na mratibu wao kuwa yeye (mwalimu mkuu) pamoja na walimu wake wafike bila kukosa eneo la usa-river jumapili saa 1:00 asubuhi bila kukosa ili Rais atakapokuwa anapita basi awapungie mkono. Cha kushangaza hakuna nauli wala...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Trump: Nitaimaliza vita Ukraine ndani ya saa 24

    Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ameahidi kuimaliza vita kati ya Ukraine na Urusi ndani ya saa 24 tu endapo akipewa tena Urais wa Marekani. Trump ambaye tayari ameonesha nia ya kugombea tena Urais kwenye uchaguzi ujao wa mwakani 2024 ametoa kauli hiyo Florida, Marekani ambapo amesema...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ripoti huwa haziakisi ukweli. Mimi nikiwa na Tsh 10,000/= nikiichenji tu inakatika ndani ya saa

    Supu ya buku mbili, mchana buku tatu usiku buku tatu buku teni inakuwa imeisha.
  9. kyagata

    JamiiForums Tanzania Saa 1 na dakika 11 usiku hapa Mbeya jua bado linawaka

    Niko Mbeya, hapa ni saa moja usiku kwa mujibu wa saa yangu ila bado jua linawaka. Nimewasiliana na mtu yuko Dar ananiambia wao huko giza tayari na wako wanakula supper. Kwanini kuna tofauti hii ya kuzama kwa jua kati ya mikoa hii miwili?
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Manchester City yamchukua Mwanasheria anayelipwa Milioni 14 kwa saa ili awatetee

    Imechukua uamuzi wa kumpa kazi Mwanasheria Lord Pannick ili awatetee katika kesi yao inayoendelea kuhusu uvunjaji wa sheria za fedha katika Premier League. Manchester City ipo hatarini kukatwa pointi au kuondolewa katika ligi hiyo baada ya kudaiwa imefanya makosa ya kukiuka sheria za fedha mara...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Lissu: "Mimi huwa nachelewa kuamka asubuhi, naamka saa 4 asubuhi au zaidi." Je, akikabidhiwa nchi si italala kimaendeleo?

    Tundu Lissu, akihojiwa na kituo Cha online TV kiitwacho Ngasa, alisema huwa anachelewa kuamka asubuhi na kwamba anaweza kuamka saa nne asubuhi au zaidi. Hivi kama tukiwa na Rais wa aina hii, wa kuamka saa nne saa tano asubuhi, ataongozaje nchi? Maana muda wa kazi yeye ndio bado anavuta shuka...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Lissu: Wakati wa Magufuli waandishi walikuwa wanaogopa kunihoji, kwa sasa wanaweza kunisogelea

    Ameyasema leo akihojiwa na Ngasa TV leo Dodoma akiwa njiani kuelekea nyumbani kwao Ikungi, Singida.. Akizungumzia utawala wa Rais Samia Suluhu, amesema moja ya mambo yaliyobadilika kidogo baada ya Mwendazake John P. Magufuli kufa, ni waandishi wa habari kuwa na ujasiri wa kumsogelea na kumhoji...
  13. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mwalimu amchapa mwanafunzi na kumuumiza shule ya Msingi Kinondoni, Walimu mmelogwa?

    Huyu wa leo naomba akapimwe akili jamani Yaani kwa kuumizwa kule mwanfunzi hawa walimu Sio hivi hivi wana shida ya utimamu wa akili jamani. Yaani mwenzio kachafua hali ya hewa hana wiki na wewe unaenda kurudia yale yale Hivi walimu mmelogwa?Au ndio kampeni yenu mmeiandaa 2023 kuumiza watoto...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania DAWASA kuzima Mtambo Ruvu Chini kwa saa 36 Januari 30, 2023

    Mamlaka ya Maji Safi na Mazingira Dar es Salaam, (DAWASA) imetangaza kuzimwa kwa mtambo wa kuzalisha Maji Ruvu Chini uliopo Wilayani Bagamoyo kwa saa 36 Jumatatu 30 Januari 2023 Kwa mujibu wa DAWASA, lengo la uzimaji huo ni kusafisha mifumo yote ya Mtambo ikiwemo Machujo, Matanki yote ya Maji...
  15. Kaji Bagome

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Magu S/Msingi: Biashara kazini saa za kazi kwa walimu

    JMT; Kazi iendelee. Nilishaandika mara kadhaa kuhusu udhaifu wa uongozi wa Shule ya Msingi Magu; nikiomba uongozi wa Elimu Msingi (W) urekebishe hali hiyo, lakini kila uchao inakuwa kama heri ya jana. Sasa hivi baadhi ya waalimu wanafanya biashara shuleni hapo (wao wenyewe), tena wakati wa...
  16. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Saa kumi asubuhi nimepishana na katoto kadogo kana begi kubwa mgongoni, hivi shule za namna gani hizi?

    Saa kumi asubuhi nimepishana na katoto kadogo kana begi kubwa mgongoni, hivi shule za namna gani hizi? Nimeumia sana moyoni!
  17. Chichi09

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Saa na Wallet

    Nauza saa English Gold hazipauki haraka na wallet zenye ubora mkubwa Nafanya delivery dsm na mikoani Bei: Saa 35,000/= Wallet 25,000/= Location: Mbezi, Kimara Contact: 0626903619
  18. B

    JamiiForums Tanzania Mwenezi wa CCM Ndg. Shaka na Mkutano mkubwa na Waandishi wa Habari Januari 12, 2023

    Katibu wa NEC- Itikadi na Uenezi wa CCM Ndugu Shaka Hamdu Shaka leo Jumamosi Januari 14, 2023 Saa 11 Jioni atakuwa na Mkutano na Waandishi wa Habari katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam. #CCMImetimia #KaziIendelee
  19. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Saa 4:00 Usiku Yanga wana jambo lao

    Je ni jambo gani? Tukutane saa 4:00 usiku
Back
Top Bottom