Wakati joto la maandalizi ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 likizidi kupanda, wananchi wametakiwa kuchukua nafasi ya kipekee katika mapambano dhidi ya vitendo vya rushwa, wakihimizwa kuepuka ushawishi wa fedha na zawadi zinazolenga kununua dhamira zao za kisiasa.
Wito huo...
Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (CHRAGG), Bw. Nyanda Shuli, amesisitiza umuhimu wa wananchi wa Tanzania kupewa elimu kuhusu rushwa na madhara yake, ili kuwawezesha kutumia haki yao ya kuchagua viongozi bora katika Uchaguzi Mkuu.
“Tupo hapa leo kujadili jinsi ya kutumia...
Watu wanafikiri sisi hatutaki rushwa? ndio sisi hatutaki rushwa kwa yoyote hata kwa raisi, hivyo hili suala la kutoa baiskeli sijui vihela ni rushwa ya wazi wazi na inachafua taswira ya nchi kwa ujumla tunaipinga kwa nguvu zote.
Nasikitika kumuona raisi samia kwenye uelekeo huo wa kugawa vitu...
Napenda kutoa pongezi na shukhurani za dhati kwa idara ya kupambana na kuzuia rushwa Tanzania na mkoa wa Tabora (TAKUKURU).
Naomba maafisa TAKUKURU Wilaya ya Uyui, Mkoa wa Tabora, muweze kufuatilia na kuleta mrejesho stahiki na wa haki katika suala la yule mama mkazi wa Kijiji cha Izumba Wilaya...
CHADEMA hii ya Lissu ingepata Katiba ya JMT ambayo ingeweka tume huru ya uchaguzi na wateule wa rais kutosimamia uchaguzi watu kama Msukuma, Eric Shigongo, Babu tale na Salma Kikwete wasingerudi Bungeni.
Eti watu wanapokea rushwa gizani alafu wanazirudisha mbele ya kamera.
Nomsensical...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imewaomba viongozi wa dini mkoani Morogoro kukataa, kukemea, na kufichua viashiria vya rushwa kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Ndio.
Kuna speech moja amesikika akisema "Wewe kula chako kaa kimya",naam tena alikuwa akiongea Katika majukumu yake kama mkuu wa nchi aliyeapa kuilinda na kutetea katiba ambayo inapinga dhulma kama rushwa.
Kwa muktadha huu huwezi kunikatalia nikisema huyu ndie kiongozi wa genge la kutoa...
wakuu
===
Rais Samia akitoa zawadi kwa watumbuizaji siku ya leo, alipotembelea kituo cha utamaduni na makumbukusho ya wasukuma Bujora,Kisesa mkoani Mwanza.
MAONI YANGU
Hiki kitendo nakifananisha na rushwa kuelekea uchaguzi mkuu kwa sababu hakuna ulazima wakutoa zile zawadi hadharani angeweza...
Uchaguzi wa TFF una viashiria vya rushwa kwenye upande wa kupata endorsements kutoka kwa wajumbe. Mwenye fedha nyingi anaweza kununua endorsements zote na wengine kukosa hata moja.
Uchaguzi umeharibika kabla haujafanyika.
Ili mtu kugombea nafasi ya TFF mashariti ni kulipa TZS 500,000 na kupata...
Sijawahi kuwa natumia rushwa kushinda (uchaguzi). Sitoi rushwa, huwa nawawezesha nawa 'facilitate' kabla ya uchaguzi. Mimi ni Mbunge kuna ahadi nilitoa ahadi ya kuwapa sungusungu pikipiki kila Kata. Nilitoa ahadi labda kwa viongozi wa chama kuwapa pikipiki au baiskeli au pikipiki napeleka. Nipo...
Sasa ni rasmi, Tanzania imeanza kula matunda ya Wanasiasa kuwa juu ya Utendaji/mifumo na Siasa kuwa juu ya Utaalamu. Kwa sasa rushwa imekuwa jambo la kawaida nchini Tanzania na inafanywa waziwazi bila hofu yeyote.
Kwa wasiojua, Mataifa yote yaliyofeli haikutokea kwa siku moja. Nigeria unayoiona...
Kwa mujibu wa Ma engineer wazuri wa ujenzi wa barabara duniani, barabara bora yenye viwango vya uhakika inayoweza kudumu kwa muda mrefu inapaswa kujengwa kwa viwango hivi;
Kinachonipa hofu ni namna ujenzi wa barabara zetu nchi nzima unavyofanyika. Nyingi hazijengwi kwa ubora huu na ndo mana...
Yes,nimefanya tafiti za rushwa kwa kipindi kirefu sana tangu nikiwa chuo kupitia clubs za TAKUKURU,na baadae nikijitegemea.
Kipindi hiki rushwa imekuwa ni mfupa mgumu kwa TAKUKURU.
RUSHWA inatendeka waziwazi mchana kweupe tena na viongozi wakuu wa kiserikali ,kila jambo na kila sehemu iwe...
Habari ndugu.
Ningependa kufichua uovu wa rushwa unao endelea katika vituo vya ukaguzi wa mazao ya kilimo na mali asili vilivyopo njia ya kutoka Segera kuja Dar kupitia Bagamoyo.
Wale mabwana unafika kituo cha ukaguzi una risiti zote za ushuru bado wanakulazimisha utoe pesa kwa kitisho cha...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki sherehe ya Kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi wa Jeshi la Polisi Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam, leo tarehe 9 Juni, 2025.
Habar wakuu
Kuna siku mida ya saa tatu usiku nilipita sehemu nikavamiwa na vijana wakanikaba,kunitishia silaha na wakafanikiwa kuniibia simu pamoja na pesa kidogo,nikaenda kuripoti kituo Cha polisi nikafungue kesi na kupatiwa RB.
Nikamtafuta mtuhumiwa wangu kimyakimya maana anajulikana na...
Ni takribani miaka 64 tangu Tanganyika ipate uhuru na miaka 61 tangu Muungano uliopelekea kuzaliwa taifa la Tanzania.
Kwa miaka yote hiyo vitendo vya rushwa vinasikika na kuonekana katika kila ngazi ya uchaguzi. WAPIGA kura wanapokea rushwa za kifala kabisa eti chakula au vijihela.
Hata...
Afisa wa polisi wa barabarani aliyekuwa na nia ya rushwa leo alijaribu kumdai hongo dereva wangu – hadi akatufuatilia kwa pikipiki. Ilibidi nishuke kutoka kwenye gari, na mara aloniona akasema, “MADOLLAR, nakujua, sisi ni marafiki.” Ndugu zangu, je hamjui kuwa ndivyo watu wanavyosumbuliwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.