Mimi ni mdau wa JamiiForums, Mkazi wa Mbezi Msakuzi, Mtaa wa Makamba, jirani na Shule ya Msingi Makamba.
Mtaani kwetu tumepitiwa na mradi mpya wa maji kutoka DAWASA, pamoja na kwamba baadhi ya Wakazi wamepata huduma hiyo, bado eneo letu halijafikiwa, licha ya kuwa na nyumba nyingi zinazostahili...
MAHAKAMA ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imemhukumu kwenda jela miaka 20 Katibu wa Chama Cha Ushirika cha Msingi(Amcos)Kijiji cha Gula,Masanja Mboje(36)baada ya kukutwa na hatia ya makosa mawili ya rushwa na uhujumu uchumi.
Hukumu hiyo imetolewa leo Jumanne.Mei20,2025 na Hakimu Mkazi wa...
Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga kimesema kuwa jumla ya wagombea tisa wa nafasi za ubunge na udiwani wilayani humo wamebainika kujihusish na vitendo vya kugawa fedha kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wa wilaya nyakati za usiku, kinyume na maadili ya chama.
Katibu wa...
Maaskofu wa Kenya walikataa na kumrudishia rais Ruto pesa aliyoitoa kusaidia kanisa kwa kuogopa kuweka uhuru wao rehani.
Leo tumesikia Samia akimpa askofu wa Bagamoyo zawadi ya milioni 20. Hii sio rushwa ya kumfunga mdomo na kupora uhuru wake? Igeni wenzenu wa Kenya
Hapa ndipo watanzania tumefika. Mahubiri ya haki si kwa mtanzania mmoja, bali kwa kila mtanzania, hii mihimili mitatu hii inayoendeshwa na mtu mmoja madhara yake ni makubwa sana
==================================
Mmiliki wa Kampuni ya Ruhama 333, Mhandisi Owden Mwalyambi amemuangukia Rais Samia...
Wakristo kote nchini wametakiwa kuwa mfano bora wa kuigwa kwa kuendele a kuyaishi matendo mema kama walivyofanya wakati wa kipindi cha mfungo wa Kwaresma kwa kudumiasha upendo na kujaliana na kuombea amani ya nchi katika kipindi hiki ambapo taifa linaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Urais Ubunge...
Nilikuwa naangalia gharama za Ujenzi wa viwanja vya michuano ya kimataifa itakayofanxika 2027 ya AfCON gharama zetu zimekuwa kubwa sana Mfano Uwanja wa Tlanta jijini Nairobi unajengwa Kwa TZS Billion 44, capacity 60,000. Uwanja wa Arusha capacity 30,000 unajengwa TZS Billion 300. Hapo unapata...
Viongozi watokanao na rushwa hutegemea nguvu ya fedha — haijalishi fedha ni za haramu au za halali.
Nakumbuka Aprili 2019, Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakati huo akiwa Makamu wa Rais, alisema:
Katiba yetu ya CCM ya mwaka 1977, Ibara ya 5(4), inataka tuwaenzi waasisi wa taifa...
Siku tutakapopeana makavu live bila chenga, machawa watakaibika. Siku hiyo itakuwa mwanzo sahihi wa kuitokomeza rushwa na kuunyonga unafiki.
Nakumbuka tarehe 13/03/2023, Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka — aliyewahi kuwa mtumishi wa mashirika ya kimataifa, Waziri wa Ardhi, Mbunge wa Muleba —...
Madini (Tanzanite, dhahabu, almasi) Huku ndio kwenye umafia wenyewe, Hadi utoboe kubali kugawana na wengi, Ni biashara inayokuhitaji uwe na mguu wa kuku ukifika levels flani
Mabasi ya Mikoani Bila roho ya chuma tegemea kuchezewa sana rafu kuanzia kwa washindani mpaka kwa madereva na matani boy...
Kumekuwa na vitendo vya kudai rushwa kunakofanywa na watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Mbeya ili waweze kupitisha vikundi vya vijana kupata mkopo wa 10% Inayotolewa na halmashauri.
Hili jambo lipo katika halmashauri ya wilaya ya Mbeya hapa mji mdogo wa Mbalizi.
Maafisa maendeleo katika...
Matatizo mapya makubwa Tanzania ni
1. Rushwa. Rushwa ya uongozi hata kwa viongozi wa usalama ndiyo sababu ya wizi wa kura na mambo ya namna hiyo. Kutokuwa na adhabu kwa walarushwa wa serikali za kutosha na wanasiasi kununua hata wapinzani nayo ni rushwa.
2. Uongozi mbovu Mama Samia kashidwa...
Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dk Msafiri Joseph Mbilu,amewataka waumimi na Watanzania kwa ujumla kujiepusha kuchukua rushwa kwa wanasiasa wanaotarajia kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi ujao na wasiwachague.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
Natazama hapa Waziri Mwigulu Nchemba akiwa na maongezi na Wafaransa, ati kujenga viwanda vya madawa.
Kwanza, Kuna kiwanda cha madawa ya kukuua vidudu vya mbu Kibaha. Kiwanda hiki kimejengwa kwa ushirikiano na nchi ya Cuba.
Kiwanda vile vile kinazalisha dawa za binadamu.
Serikali yenyewe...
Zipo tuhuma kwamba baadhi ya wagonjwa katika Halmashauri ya Maswa mkoani Simiyu wamekuwa wakitoa rushwa kwa wahudumu wa afya ili wapatiwe huduma mapema wanapofika katika vituo hivyo.
Ni mbinu ya wagonjwa kukwepa misururu mirefu kupata huduma za afya.
Mara nyingi malalamiko ya vitendo vya...
Kwa kweli Sina chuki na Mwenyekiti wa baraza la Aridhi wilaya ya same na Sina chuki na yule Binti hakimu
Ila nmesikitihwa na kitendo cha kuwa wanaairisha nashauri zaidi ya mara Tano paspo kuwa na sababu ya msingi
Mfano Kuna shauri Moja washitakiwa ni Mmoja na Taasisi mbili anae shitaki...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) bara, Stephen Wasira, amewataka wanachama wa CCM katika wilaya za Karagwe na Kyerwa kupunguza matumizi ya fedha katika michakato ya uchaguzi wa ndani ya chama.
Akizungumza na wanachama wa CCM siku ya Jumapili mkoani Kagera, Wasira amekemea vikali...
Waafrika hatuendelei sababu ya wizi, wengi wanaokabidhiwa kitengo wanafilisi serikali.
Vivuko vya kigamboni vimetushinda, magari ya mwendokasi yametushinda, reli ya tazara imetushinda wamepewa wachina waendeshe miaka 30.
Tusijifiche kwenye mwamvuli wa dini, sisi wengi ni wezi, wala rushwa.
Kwa mujibu wa maelezo ya Bodi ya Ligi, Kwamba mchezo uliahirishwa kwa sababu za kiusalama na rushwa, Mbali na kwamba taarifa za kiusalama zilipaswa kutolewa mapema zaidi, Lakini mpaka kufikia masaa kadhaa kabla ya mchezo, Bodi ilisisitiza kwamba mchezo upo palepale, Kisha baada ya saa kadhaa...
Bodi ya ligi inahanyahanya iseme nini baada ya kuamrishwa na Simba ifute mechi ya derby. Kama takukuru ingethibitisha kuwa Yanga imetoa rushwa kwa yeyote ili kushinda mechi bado bodi ya ligi ingeweza kutumia ushahidi huo wa TAKUKURU kuipoka Yanga points 3 na kuipa Simba, lakini sio kuahirisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.