Viongozi wa dini, wazee wa mila na asasi za kiraia wametakiwa kushirikiana kwa karibu katika kupambana na vitendo vya rushwa wakati huu taifa likielekea kwenye uchaguzi mkuu, ili kusaidia jamii kupata viongozi bora, waadilifu na wenye kuzingatia masuala ya haki, uongozi na maendeleo ya wananchi...
Hiki ndicho kilichopo kwa sasa TAKUKURU haina meno yake, zamani maofisa wa serikali na sekta binafsi walikuwa wakisikia TAKUKURU inawafuatilia walikuwa wanaingia ubaridi lakini kwa sasa mambo ni tofauti.
Kinara wa rushwa ni Taasisi za umma ili kuziba madhaifu yao.
Yaani TAKUKURU imekufa na...
Tarehe 15.07.2025 katika Mahakama ya Wilaya ya Kakonko limefunguliwa Shauri la Uhujumu Uchumi lililosajiliwa kwa nambari ECC.17155/2025 mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Mh. Maila Makonya (SRM).
Washtakiwa hao ni Bw. Denis Simon Manji (36) ambaye ni Fundi sanifu maji RUWASA Wilaya ya Kakonko na...
Kada wa CCM Mkoa Simiyu, Godfrey Sitta Sukari akizungumza na waandishi wa habari alieleza kupitia uzoefu wa kuwa mwanachama muda mrefu, alisema kumekuwepo mabadiliko ya hivi karibuni ya kanuni na vifungu kwenye katiba ya chama ambapo kama vijana lazima wakosoe na kupongeza kwa mema
Pia ametoa...
Uongozi mbaya wa Kikwete ulaumiwe kwa kukosa
1. katiba,
2. Mungu mtu Magufuli,
3. Magu na umungu mtu akaleta bunge butu maana alijiona yeye pekee ni Mungu
4. Magu katuletea Mama kujifanya malkia
5. Magu katuletea utekaji
5. Mama Samia kaendeleza yote ya Magufuli + Rushwa
6. Mama katuletea...
Kupata ujenzi wa aina yeyote Tanzania hasa wa barabara ni lazima utoe 10%. Hii inasabisha
1. Gharama za ujenzi wanaoshinda ni wale waliopewa habari za ndani
2. Rushwa inaanzia juu kwa waziri mpaka kwa managers wa chini
3. Kulipwa ni lazima utoe pesa nyingine
4. Hii inasabaisha kampuni nyingi...
Mchakato wa uchaguzi wa kura za maoni za kuwania nafasi mbalimbali za Ubunge na Udiwani, zimeingia dosari baada ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Mwanga, Ibrahim Mzava, kudaiwa kuendesha mchakato huo kwa ubaguzi wa dini pamoja na kuomba rushwa kwa baadhi ya watia nia wa Ubunge...
Hii Baiskeli ya rushwa imetolewa ili watu wamchague flani kwenye uchaguzi hii ni rushwa.
Kama mtu anaweza kutoa rushwa kama hivi ili achaguliwe inamaana yeye ni rushwa rushwa tu kwenye maisha yake anaweza kupokea rushwa pia anaweza kuuza rasilimali za nchi.
"Mimi sitaki rushwa na ninapinga kwa...
Kama mwanachama wa chama cha upinzani, nimekuwa nikifuatilia kwa makini mwenendo wa siasa ndani ya vyama vyote, si kwa ajili ya kushangilia mapungufu ya wengine, bali kwa kutambua kuwa mustakabali wa Taifa letu hutegemea afya ya kisiasa ya kila upande.
Hivyo basi, matukio yanayoripotiwa kutokea...
Katika mfumo wa siasa za Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina nafasi muhimu katika mchakato wa uteuzi wa wabunge. Mfumo huu unatoa picha ya jinsi siasa za nchi zinavyoweza kuathiriwa na muundo wa chama, hasa katika muktadha wa uwakilishi wa wananchi. Katika mchakato huu, kamati za siasa za...
Serikali imetaja njia mbadala ya kumaliza ama kupunguza rushwa, ni kujenga mifumo ambayo itakuwa wazi katika utoaji wa huduma za kiserikali ikiwemo kutokutana moja kwa moja na wenye kutoa uamuzi huo, huku ikieleza ni muhimu rushwa kutamkwa kwa uwazi kuelekea uchaguzi mkuu ili kukomesha vitendo...
Wakuu,
Embu tuambiane ukweli hasa kwa sisi vijana, kweli ushawahi kuona mtu anatoa rushwa au anakuomba kitu kidogo ukaenda kuripoti kuwa umeombwa Rushwa?
Ukiangalia wanaokula mabilioni hawakamatwi, sasa kwanini umchome huyu anayetaka buku kumi au elfu 50 wakati anakufanyia jambo lako fasta na...
Mwenyekiti wa Kijiji cha Mlanje, Kata ya Matongoro, Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, Elisha Mpanda, amerudishwa madarakani baada ya uchunguzi uliofanywa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Kongwa kutokubaini hatia dhidi yake.
Mwenyekiti huyo alisimamishwa Februari...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema inafahamu hoja kuhusu suala linalohusu tuhuma za rushwa kwa Mkazi wa Kijiji cha Izumba kilichopo Uyui Mkoani Tabora.
Awali, Mwanachama wa JamiiForums.com kupitia Jukwaa la Habari na Hoja mchanganyiko aliandika kuwa “TAKUKURU Uyui -...
Mchakato wa uchujaji wa wagombea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Moshi Vijijini umetawaliwa na tuhuma nzito za rushwa, upendeleo na ubabe wa viongozi, hali iliyopelekea sintofahamu kubwa na kuibua mjadala mkali miongoni mwa wanachama wa chama hicho.
Kwa mujibu wa duru kutoka ndani...
“…Takrima za watia nia ya kugombea ni rushwa.” Haya yamesemwa na Bw. Ahmad Sungura, Mkuu wa TAKUKURU (W) Iramba wakati akijibu maswali katika semina ya elimu ya makosa ya rushwa katika uchaguzi kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani NA 1/2024 katika uwanja wa Ofisi ya CCM...
Wakati joto la maandalizi ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 likizidi kupanda, wananchi wametakiwa kuchukua nafasi ya kipekee katika mapambano dhidi ya vitendo vya rushwa, wakihimizwa kuepuka ushawishi wa fedha na zawadi zinazolenga kununua dhamira zao za kisiasa.
Wito huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.