rushwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Mama Samia umepiga bull: Kamishna wa Ardhi cheo cha rushwa kubwa.

    Mama Samia sasa anaenda kukata mzizi wa fitna kstika rushwa zinazotokana na Ardhi. Kamishna wa Ardhi na Idara yake nxima inalalamikiwa sana katika suala la rushwa ilinkuhudumiwa kupata uhalali wa Ardhi. Wafanyakazi chini ya Idara hii wana ukiritimba wa kutisha, ili kutengeneza mazingiraya...
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia kugawa bahasha kwa watumbuizaji ni sawa na kununua watu, anatuonesha hakubaliki bila 'zawadi'?

    Wakuu, Karibu wenye kila mkutano wa ndani ambao Rais Samia huwa mgeni rasmi, huwa kunakuwa na vikundi vywa kutumbuiza yaani wasanii wakubwa wa muziki, wa mashaiemri, kuna ngoma nk. Sasa wasanii hawa wakimaliza kufanya shughuli zao huenda moja kwa moja kwa Rais Samia kupokea bahasha zao na...
  3. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UMEAHIRISHWA: Tunawezaje kuhakikisha kuwa Rushwa inakoma ndani ya vyama vya siasa kwa ya maendeleo ya jamii?

    Rushwa ndani ya vyama vya siasa inahujumu demokrasia kwa kupendelea wenye nguvu kifedha, huku ikiweka kando wagombea wenye sifa lakini wasio na rasilimali kubwa. Hali hii huzaa uongozi unaotanguliza maslahi binafsi badala ya sera zinazowanufaisha wananchi wote, hivyo kudhoofisha maendeleo ya...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Ushirikina na Rushwa kutumika kusaka madaraka ni hatari.

    Tukatae kuwachagua viongozi wanao tumia nguvu za giza/ushirikina kupata uongozi. Imekuwa jadi kwa viongozi wengi katika nafasi zao kutumia USHIRIKINA kupata na fasi na kulinda nafasi zao. tuwakatae viongozi wenye tabia hizo. Unamkuta kiongozi hana uwezo wa kuiongoza hata familia yake lakini...
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Orania, Afrika Kusini: Kielelezo sahihi namna Ubinafsi, Rushwa na Siasa chafu zinavyoathili Maendeleo ya Waafrika na Usahihi wa sera za CHADEMA

    Amani iwe nanyi Wanabodi. Kila siku huwa nasema, mchawi katika maendeleo ya kweli kwa mwafrika ni akili. Sio rasilimali wala nguvukazi. Kati ya vitu ambavyo siku nikifika mbinguni nitakuja kumuuliza Mungu nikipata nafasi ni swali " Aliweka nini kwenye akili ya Mwafrika ikiwemo sisi Watanzania...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kigamboni: Mwana CCM Habib Mchange akamatwa na TAKUKURU kwa Rushwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imemkamata mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Habibu Mchange kwa tuhuma za rushwa inayohusishwa na uteuzi wa ndani ya chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu. Mkuu wa TAKUKURU kanda ya Temeke, Joseph Makungu amesema...
  7. milele amina

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Soko la Mbuyumi: Mabadiliko ya Ajabu ya DC Moshi, kutokukemea Rushwa kwenye miradi ya maendeleo

    Katika mwaka wa 2024, tulishuhudia mtu mmoja akifanya kazi kubwa kama mkimbiza mwenge wa uhuru, akitafakari na kukagua miradi ya maendeleo katika maeneo mbalimbali nchini. Huyu si mwingine bali ni DC wa Moshi, ambaye alionekana kuwa na dhamira ya dhati ya kuleta mabadiliko chanya katika jamii...
  8. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Wasafi FM, wanatupitisha kwenye ulaghai na utapeli wa ujenzi wa Barabara zisizokuwa na tija Tanzania. Je ni mamlaka, Engineers au Rushwa?

    Kwanza niipongeze WASAFI FM, nadhani ndio chombo cha habari huwa wanajadiligi ishu za msingi sana. Ni ngumu sana kwenda nchi za watu kukuta maujenzi ya barabara kila mwaka hususani maeneo ya mjini. Na hata barabara zinazojengwa mjini ndani ya miezi 6 barabara zinakuwa zimeharibika. Je tatizo...
  9. Izizimba

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Rushwa imekithiri katika taasisi za serikali bila kitu kidogo hupati huduma bora kwa haraka

    Rushwa imekuwa kama ugonjwa katika taasisi nyingi za serikali, ambapo kila kitu kinaonekana kuendeshwa kwa mlungula. Bila bahasha, huwezi kupata huduma kwa wakati, na bila "connections," mambo yako yatakwama hadi uchoke, utazungushwa mpaka uchakae. Hakuna anaejali umetoka wapi unapigwa tu...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Hizo ndiyo dalili kuu za kutaka rushwa

    Wadau hamjamboni nyote? Nimeweka baadhi tu ya dalili za rushwa hapa chini: Kutopewa risiti ya malipo Kuambiwa sijanywa chai Majalada yana mavumbi Kutopatiwa nakala za hukumu kwa wakati Kuahirishwa kesi mara kwa mara Kutopatiwa jalada kwa wakati Kuchelewa kuhudumiwa bila sababu za msingi...
  11. olimpio

    JamiiForums Tanzania Viashiria vya rushwa ICT commission na YAS - serikali ichunguze

    Tarehe 21 Feb ,ICT commission ilitoa tuzo muhimu tatu kwa kampuni ya YAS(zamani Tigo) Walishinda Tuzo tatu kama zilivyo hapa chini 1. Huduma Bora za Intaneti (Best Internet Service Provider) 2. Kampuni Bora ya Mawasiliano (Best Mobile Network Provider) 3. Mtumiaji Bora wa TEHAMA & Manufaa kwa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kagera: Rushwa imetawala ofisi ya kata Nyaruzumbura, wilayani Kyerwa

    Habari za Asubuhi ? Ninatanguliza shukrani kwa jukwaa hili la fichua UOVU. Nimewahi kwenda kupata msaada kwenye ofisi ya mtendaji wakata ya Nyaruzumbura , Wilaya Ya kyerwa, Mkoa Kagera, nilichokutana nacho huko kinatisha sana Rushwa imetawala vyakutosha kuanzia kwa MTENDAJI WA KATA, MTENDAJI...
  13. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Samia inanuka rushwa: Orodha ya Idara zinazoona zina haki ya kupewa rushwa

    Awamu ya Magufuli kidogo watumishi wa serikali walishaanza kuogopa. Nidhamu na customer care ilikuwepo kwa kiwango fulani. Kwa hiki nampongeza Magufuli. Awamu hii ya sita hali inatisha. Ofisi za umma zinanuia uvundo wa rushwa. Kuanzia boss mpaka msaidizi wa ofisi wote wanaweza kirushwa-rushwa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Samia kashindwa swala la Rushwa, Haki na umasikini

    Samia kashidwa swala la Rushwa, Haki na umasikini Rushwa: Imeongezeka. Mikataba ya sirisiri na rushwa kila mahali Haki: Hakuna tume huru ambayo haimtegemei raisi. wizi wa kura kwa kutumia Polisi na usalama Umasikini: Huwezi kununua magari ya milioni 400 kwa bilioni 600 halafu unategemea dawa za...
  15. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zawadi zinazotolewa na wanasiasa wakati wa Uchaguzi ni Rushwa? Wananchi wanatofautishaje?

    Usikose kuungana nasi leo Februari 13, 2025, kuanzia Saa 12:00 Jioni hadi Saa 2:00 Usiku kupitia XSpaces ya JamiiForums, kwa mjadala wa kina kuhusu zawadi wanazotoa Wanasiasa wakati wa Uchaguzi. Je ni rushwa? Wananchi wanatofautishaje? Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu...
  16. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza katika kipindi cha Oktoba hadi Disemba 2024 imefanikiwa kufuatilia

    Serikali kupitia taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza katika kipindi cha Oktoba hadi Disemba 2024 imefanikiwa kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maendeleo 13 yenye thamani ya zaidi ya sh. Bil 4.4 kwenye sekta ya Elimu, Barabara na Biashara ambapo kati ya hiyo...
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Wamiliki wa Vyombo vya Moto Kutoa Rushwa huku wakiwarekodi Askari barabarani , Sheria isimuhukum Askari pekeake na Mtoa Rushwa awajibishwe

    Hawa Askari wetu wanafanya kazi kubwa na Ngumu mnoo, Mvua yao, Jua lao . Watanzania wachache Kwa upuuzi na makusudi yao, huamua kwenda Kumpa Hela Askari , wakati fulan Askari anaipokea akijua ni "Pole ya juani" kama ilivyo kawaida katika kada mbalimbali . Ajabu unakuta Mtanzania huyo alotoka...
  18. kingphisher

    JamiiForums Tanzania Uhalisia wa madeni ya taifa letu na urejeshwaji wake kupita wananchi maskini kwa kukandamizwa na kodi za ajabu, rushwa na unyonyaji

    wananchi masikini wanahangaika ila mabeberu wapo bize kununua magari ya milioni mia nne ++ wakiendelea kula rushwa na kurundika madeni nchini, mwisho wa siku wanaachia ngazi na madeni yakushiba
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Luhaga Mpina: Baadhi ya Viongozi wa Serikali wanahusika kutorosha fedha

    Kivumbi tu! Kutoka kwa Mpina, anaendelea kutapika nyongo haswa Ila huyu jamaa ni tofauti sana na wanaCCM wengine yani aogopi kupiga panapo stahili ================ Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, amesema Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa ya utakatishaji wa fedha haramu, hali...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia weka Tanzania mbele, mbona mwenzako Ruto ameweza!

    Tatizo la nchi yetu ni viongozi wengi ni wabinafsi nilishangaa kwa utamaduni mfano wa kuwajengea wa Raisi wastaafu mahekalu kwa pesa ya walipa kodi na kulipa wenza wao wakati hii sio kazi ya kulazimishwa. Rais Samia anatakiwa aweke nchi mbele mwenzake Ruto pamoja na tofauti kubwa ya Odinga...
Back
Top Bottom