Vijana tafuteni hela,money can buy anything
Pascal Lutandula muhitimu wa darasa la saba B shule ya msingi Igando wilaya ya Chato,ameongoza kura za naoni kwa kuwaacha mbali wagombea wasomi akina Katwake na wenzake
Huyu ni mfanyabiashara wa madini ya dhahabu,ana hela kama njugu
Mpaka muda huu...
Na Mwanachama Hai wa CCM TEMEKE
Utangulizi
Kwa masikitiko makubwa na kwa dhamira ya dhati ya kulinda heshima, maadili, na misingi ya haki ndani ya chama chetu, napenda kuwasilisha taarifa hii maalum ya uchunguzi wa awali kuhusu mchakato wa kura za maoni ndani ya Jimbo la Temeke. Taarifa hii...
Kura ya maoni ya CCM imetia fora kwa rushwa. Kila mjumbe anasema bila chochote mtia nia hapati kura yake. Kila mtia nia anaona bila kutoa chochote atapoteza nafasi anayoiomba.
Hapa kwa asilimia 100 tusiwalaumu TAKUKURU. Rushwa ni siri ya yule anayetoa na yule anayepokea. TAKUKURU hana cha...
Unapotamani kwenye chaguzi za CCM kusiwepo na rushwa au upendeleo, ni kama unataka kusema CCM isiwepo!
Huwezi kuitenganisha CCM na rushwa halafu CCM ikaendelea kuwepo. Rushwa kwa wana CCM wengi ni kama ndiyo damu na pumzi inayoifanya CCM iwe hai.
Siasa za ndani ya CCM zinahitaji Hela nyingi...
Moshi bado unaendelea kufuka ndani ya Jumuiya ya wanawake ya Chama cha mapinduzi(UWT)baada ya wanachama wake walioenguliwa katika kinyang'anyiro cha kusaka nafasi ya ubunge wa Viti maalumu kufichua mtandao uliotumika kutawanya rushwa kwa wajumbe .
Miongoni mwa wanaotajwa kutawanya rushwa kwa...
TAKUKURU, pokeeni kazi hii. Mshindi wa kura za udiwani Kata ya Kivule ndungu Rajabu Shabani Manyinya akitoa rushwa waziwazi siku moja kabla ya uchanguzi kufanyika.
Kata ya Kivule ipo Jimbo jipya la Kivule Jijini Dar es Salaam.
Nategemea kupoka majibu sahihi kutoka kwenuo
Hii rushwa yeye...
Makamu Mwenyekiti wa UWT
adaiwa kutoa maelekezo wasimamizi wa Uchaguzi kuhusu Mtoto wake Wardat Nassir Ali anayegombea Uwakilishi Jimbo la Kiembesamaki Zanzibar ili aweze kupata ushindi.
Pia ameonekana akigawa rushwa hadharani kwa wajumbe wa mkutano huo nje ya ukumbi wa mkutano, na wajumbe...
Video hii inakuonyesha makumi ya kina mama wakiwa wameacha watoto na waume zao wako kwenye foleni ya mgao wa rushwa angalia video hii sungura anamla sungura !!
TAKUKURU bila upendeleo wanapaswa kumchukulia hatua na Samia kwa kugawa rushwa naona tu rushwa zinahesabiwa kwa wale wa ubunge na udiwani.
Walichokifanya hao wa ubunge na udiwani ndio kile kile alichokifanya Samia, kama samia kwake sio rushwa basi hawa wengine nao sio rushwa. lakini kama kwa...
Zahanati ya Tambukareli iliyopo kata ya Azimio wilaya ya Temeke DSM, ambayo ni tegemeo kwa wananchi wa kata ya Azimio na maeneo jirani imeanza kugubikwa na viashiria vya rushwa, hali inayotia doa huduma za afya na kuathiri maisha ya wagonjwa na wateja kwa ujumla.
Malalamiko kutoka kwa wananchi...
UKITOA RUSHWA UNAKATWA, UTEUZI WA WAGOMBEA WA CCM KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
Katibu wa itikadi na uenezi na mafunzo wa chama cha mapinduzi (ccm) upande wa zanzibar Hamis Mbeto ameeleza jinsi wagombea wa chama cha mapinduzi wanavyo patikana katika mchujo wa kura za maoni na kusisitiza kuwa wagombea...
Tulisikia kuwa TAKUKURU watakuwa macho sana na vitendo vyaRushwa wakati hiu wa uchaguzi. Inawezekana hili likawa kweli au siyo kweli.
Huku kwetu Rushwa inagawanywa waziwazi mchana kweupe. Katika kura na maoni za UWT, mbunge wa Kondoa alipewa kazi ya kusafirisha wajumbe kutoka maeneo yote kwenda...
Mkutano Mkuu wa ccm uliofanyika kwa njia ya mtandao,umeibua maswali mengi kuhusu uhalali na uwazi wa mchakato huu. Mwanachama mmoja wa CCM, ambaye alijitokeza kuwania ubunge, amekataliwa kupitishwa na kamati ya siasa ya wilaya na kamati ya siasa ya mkoa.
Hali hii imechochea mjadala mpana, hasa...
Baada ya malalamiko yaliyoibuliwa na Mwananchi kupitia JamiiForums.com kuhusu Mwanamke Mkazi wa Kijiji cha Izumba Mkoani Tabora, kudai kuombwa fedha na Askari wa Kituo cha Polisi Kigwa kwa kushirikiana na Mwalimu wa Shule ya Sekondari Kigwa ili mume wake aachiwe huru baada ya kushikiliwa kwa...
Uonevu, utekaji, rushwa sio siasa ni wizi na uhalifu. Hivyo mtu yeyote asisingizie chama cha mtu kufanya haya. Kwanini unaibia kura watu ambao unasema wanakupenda, kwanini unakula rushwa au kuteka .
Jeshi letu na mahakama saidieni nchi kwenye haya
Waziri wa TAMISEMI ingilia kati rushwa na upigaji utoaji wa fedha za kujikimu kwa ajira mpya.
Ukifuatilia Halmashauri mara kwa mara wanakulipa cha kushangaza ni kwamba unapewa fedha pungufu wengi wamelipwa Tsh. 150,000.
Asilimia kubwa tangu January na February ajira mpya bado hawajalipwa...
Vijana wa CCM jueni rushwa, miondombinu mibovu na umasikini sio kwa upinzani tu! Ni wote
Wengi ambao tunawapigania tuna maisha mazuri ambayo wengi wetu hamtakaa kupata hasa mkiendelea kuunda mkono rushwa, upendeleo wa viongozi mambo mengi ya kuteka wananchi.
Fungueni macho
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.