rushwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kalamu ya Mperembaji wa Rushwa kwa uteuzi wenye harufu ya Rushwa

    Viongozi walioteuliwa na Mwenyekiti wa CCM ni ishara kwamba hakuna kiongozi ndani ya chama hicho. Nianze na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, kwa kipindi chote alichokaa Ruvuma hakuna jambo unaloweza kusema amefanya lakiubunifu na lenye tija kwa mkoa huu. Leo hii unamteua akapange mipango ya chama, means...
  2. JamiiForums Tanzania TAKUKURU yamkamata mtumishi wake Zainabu Mohamed Jabir kwa kuomba rushwa ya Tsh milioni 50

    Unaweza kudhania ni hadithi, lakini ndio ukweli wa mambo. - AFISA WA TAKUKURU AKAMATWA KWA KUOMBA RUSHWA YA SHILINGI MILIONI 50 Kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa – TAKUKURU Brigedia Jenerali John Mbungo, napenda kuufahamisha umma kwamba, Taasisi ya Kuzuia...
  3. JamiiForums Tanzania ARUSHA: Askari Polisi 7 waliombambikia pembe za ndovu Prof. Justin Maeda na kuchukua milioni 100 wafukuzwa kazi, Profesa afunguka

    Askari Polisi saba wakiwemo watano wa kituo cha Polisi Usa Wilayani Arumeru Mkoani Arusha na wawili wa Kituo Kikuu cha Polisi Arusha wamefukuzwa kazi kwa fedheha kwa kosa la kushawishi na kuomba rushwa ya shilingi milioni 100. Wiki iliyopita Kamanda wa TAASISI ya Kuzuia na kupambana na Rushwa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Rushwa Usalama barabarani - Iringa

    Jana nilikuwa safarini mkoa wa Iringa. Njiani, ukipita Igingilanyi kwa mbele kuna askari polisi wawili walikuwa wanavizia magari yanayokwenda spidi wakiwa wameficha gari yao aina ya spacio. Nilichoona ni kwamba mabasi yanapita kasi huku wakidondosha pesa. Hii ni aibu. Kuna haja ya kubadilika...
  5. JamiiForums Tanzania Je, Gwajima alimshauri rafiki yake atoe rushwa?

  6. JamiiForums Tanzania TAKUKURU Arusha yaburuza mahakamani watumishi wa serikali wilaya ya Karatu na Longido

    TAASISI ya Kuzuia na kupambana na rushwa Takukuru ,Mkoa wa Arusha,imewafikisha mahakamani wafanyakazi watatu wa halmashauri ya Karatu waliokuwa wakikusanya ushuru wa utalii katika mradi wa Laki Eyasi Cultural Tourism Program (LECTP) kwa kosa la kuisababishia hasara ya sh,milioni 11.4 halmashauri...
  7. JamiiForums Tanzania DC na Mkuu wa Takukuru Wilaya ya Tanganyika matatani kwa Rushwa

    Wadau hongereni kwa kazi hii kitu imevuma Sana Leo kwa wahusika hao kuvuta 60 mil toka kwa makarani wa pamba huko Wilaya ya Tanganyika hebu wajuvi mtupe nyama inakuwaje hii kitu maana Hawa jamaa inaonekana watu wa dili na kutakuwa na chain ndefu tu ya Kula mlungula najua humu great thinker...
  8. JamiiForums Tanzania Ole wao wale wanaotumia nafasi zao za umma na Serikali kuiba, kuhujumu uchumi na kupokea rushwa, maana salama yao ni kudra za Mwenyezi Mungu

    "Ole Wao Wale Wanaotumia Nafasi Zao Za Umma Na Serikali Kuiba , Kuhujumu Uchumi Na Kupokea Rushwa ' Maana Salama Yao Ni kudra Za Mwenyezi Mungu , Labda Nisiwajue " Hayo yalikuwa ni maneno ya mwamba Edward Moringe Sokoine. Na mimi haya ndio maneno yangu ya mwisho hapa JamiiForums maana leo ndio...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mhe. Rais Magufuli alikataa rushwa wazi, watumishi walioiba wawajibishwe kumuenzi

    Hakuna ubadhirifu uliofanywa na Rais aliyepita, ubadhirifu ulifanya na viongozi wasio kuwa na maadili wakiwemo Mawaziri, makatibu wakuu na maafisa suuri wengine katika sekta mbalimbali. Kama tunataka kumuenzi JPM Basi tuwawajibishe wanaohusika Kama ambavyo angeafanya endapo angekuwa hai...
  10. JamiiForums Tanzania Huyu mwamba apewe tuzo maalum kwa kupandisha happiness index ya taifa

  11. JamiiForums Tanzania Mtindo mpya wa trafiki kula rushwa (picha)

    Pichani ni kaka mtanashati anayejifanya muuza magazeti, hapa ni mataa ya Morocco (Kinondoni) daladala zinazotoka maeneo ya Shoppers/Kawe/Msasani zinasimamishwa na Askari kisha kondakta anashuka na kumalizana na na huyo kaka muuza magazeti. Mheshimiwa alisema watoa taarifa tutalindwa hivyo...
  12. JamiiForums Tanzania Rushwa ya ngono vyuo vikuu

    Kiukweli, sikuwasikiliza kichele na mbogo sababu ni waongo waongo, hawa wawili walichangia sana kuharibu uendeshaji wa serikali kwa kufuata misingi ya utawala bora, wanatia kichefu chefu sana. Sasa sielewi kati yao ni nani aliyewasilisha taarifa ya rushwa ya ngono vyuo vikuu mbele ya Bi. Samia...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nini hupelekea Rushwa kwenye Sekta ya Afya

    Chuo cha Basel kilifanya utafiti kwenye nchi tatu za Afrika Mashariki (Tanzania, Uganda na Rwanda) kuhusu Rushwa kwenye utoaji wa huduma ya afya. Ilibainika tatizo hilo limetokana na kusuasua kwa sekta ya afya katika nchi hizo na kusababisha upatikanaji wa huduma kuwa mgumu. Aidha kupatiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Aliyeomba rushwa ya Sh50,000 akwepa kifungo kwa kulipa faini ya Sh1 milioni

    Ofisa mtendaji wa kijiji cha Ndedo kata ya Makame Wilayani Kiteto Mkoa wa Manyara, Yusuf Mrisho amehukumiwa kwenda jela miaka mitatu au kulipa faini ya Sh1 milioni kwa kosa la kuomba na kupokea rushwa ya Sh50,000. Hata hivyo, ofisa mtendaji huyo alilipa faini hiyo na kukwepa kifungo hicho...
  15. JamiiForums Tanzania Kupanda madaraja: Adui wa staff development katika awamu ya Serikali ya tano

    Mh. Rais, kwenye ualimu kuna program tunaita STAFF DEVELOPMENT. Kwamba kila mwaka kuwepo na utaratibu endelevu wa walimu kwenda kuendeleza taaluma zao ili kukuza ufanisi. Huko nyuma walimu walikuwa wanaenda masomoni na bado madaraja yao yanapanda kama kawaida, lakini serikali yako imekuja na...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yapata njia mpya ya kudhibiti rushwa kwa Askari Polisi , nchi zingine ziige

  17. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awataka TRA kuacha kubambikia wafanyabiashara kodi, asema wanakadiria kodi kubwa ili wapewe rushwa!

    Rais Magufuli ameitaka TRA kuacha kuwabambikia kodi wafanyabiashara na badala yake watoe makadirio ya haki. Rais Magufuli amesema tabia ya kubambika kodi inawafanya wafanyabiashara washindwe kulipa na kutafuta njia za kukwepa kabisa kulipa. Rais Magufuli amesema baadhi ya watumishi wa TRA...
  18. JamiiForums Tanzania Tuangazie rushwa adui wa maendeleo

    Tuangazie #Rushwa Rushwa ni aina ya ukosefu wa uaminifu au kosa la jinai linalofanywa na mtu, taasisi, au shirika lililopewa madaraka, kujipatia faida haramu au kutumia nguvu vibaya kwa faida binafsi. Rushwa inamaliza imani, inadhoofisha demokrasia, inakwamisha, maendeleo ya uchumi na...
  19. JamiiForums Tanzania Katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro, Shaka Hamdu Shaka asimamishwa kwa tuhuma za rushwa

    Anatuhumiwa kushiriki rushwa wakati wa mchakato wa kumpata Meya wa Manispaa hiyo. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa CCM Mh Magufuli akiwa ziarani Mkoani humo. ==== Katibu CCM asimamishwa kwa rushwa, Magufuli asema… KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Morogoro, Shaka Hamidu Shaka...
  20. JamiiForums Tanzania Waliomteka mfanyabiashara, kuomba rushwa wakiri mashtaka

    Askari polisi watatu pamoja na raia sita akiwemo mfanyabiashara maarufu wa Madini a Tanzanite, Lucas Mdeme wanaotuhumiwa kwa makosa ya uhujumu uchumi wamekiri makosa kwa kuandika barua kwa DPP. Wameandika barua ya kukiri mashataka sita wanaokabiliwa nayo ikiwemo uhujumu uchumi, utakatishaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…