Nature ya watanzania ni ubinafsi na roho mbaya. Nasema uongo ndugu zangu?
Kati ya watanzania 10, nane au tisa kabisa wamejawa na wivu, chuki, rohombaya na vijicho. Sasa jitu lenye roho mbaya litaruhusu upate kazi kweli? au upate- connection ya kupiga pesa? Sasa hapo ndipo ninapouona umuhimu...