• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

ruby

 1. I

  Nandy: Vanessa na Ruby hawaniwezi

  Msanii wa kimataifa na mwenye mvuto wa sauti wa kumtoa nyoka pangoni na msanii mwenye mvuto kuliko msanii yoyote barani Africa Nandy a.k.a African Princess. Amefunguka baada ya kushindanishwa na V.Money na Ruby na mashabiki nakusema wote wawili hawapo level yake na amewashauri mashabiki...
 2. pancho boy

  Lady jay dee na Ruby hakuna anayewafikia kwa kuimba live

  Kiukweli bandugu. Hawa wasanii wawili kwa hapa bongo sijaona mtu anayewazidi kwa kuimba live. Maana wengi wanaimba na CD yaani playlist imepangwa kwenye CD halafu anashuka tu.! Lakini show nyingi za Hawa wawili nimeshuhudia huwa wanaimba live na wanafanya vizuri sana.. Kiukweli unaiskia...
 3. B

  Naomba kujua bei ya madini ya Ruby

  Habari wadau, naomba kujua Bei ya madini ya Ruby mpaka kufikia leo. Kwa mwenye soko napatikana 0755500510
Top