Christiano Ronaldo to be investigated after gesture he made towards fans for chanting Lionel Messi

2 of Amerikaz most wanted

JF-Expert Member
Jan 13, 2023
1,328
3,690
Ronaldo is set to face possible investigation after an on pitch 'obscene gesture' he made towards fans who chanted Lionel Messi's name towards him.

The gesture came after Al Nassr's 3-2 victory over Al shabab, in which Ronaldo scored a penalty.

After final whistle, Ronaldo could be seen cupping his ear and repeatedly moving his hand in front of his pelvic area.

Ndio dawa yao, enzi zangu naudananda nilikiwa nina tabia, nikifunga goli au kusababisha goli, naweka mkono ndani ya bukta halafu nautikisa kama ub0oo vile, naenda kuutikisa kule kule kwa mashabiki maandazi.. 😂
 
Dunia ya sasa hayo mambo hayafai.
Nakubaliana na matusi ya kibaguzi ya rangi na jinsia yaondolewe ila yaliyobaki tunayoweza kutumia ni machache. Ukifanya hivyo leo, wanawake (na wanaume) walio mbele yako wanakushtaki kwa unyanyasaji wa kingono.
 
Mimi nilipendaga ile battle yake na Diego Simeone kwenye UCL wakati akiwa Juventus.

Atletico waliposhinda 2-0 kwao Diego akamfanyia Ronaldo hayahaya ya kwenye video, marudiano Juve wakashinda Turin nae akalipiza.
Nilicheka mno!
 
Mchezaji aliyekomaa kiakili hapaswi kufanya huo ujinga, Ronaldo anaelekea kuharibu brand yake kipumbavu.

Nje ya mada, kwa level na legacy ya Messi kwenye soka, hakuna namna unaweza ukamchallenge kwa dhihaka, njia sahihi ni kumpongeza, kukaa kimya au kuongeza juhudi katika kucheza.
 
Dunia ya sasa hayo mambo hayafai.
Nakubaliana na matusi ya kibaguzi ya rangi na jinsia yaondolewe ila yaliyobaki tunayoweza kutumia ni machache. Ukifanya hivyo leo, wanawake (na wanaume) walio mbele yako wanakushtaki kwa unyanyasaji wa kingono.
Kwangu mimi ilikiwa njia bora, nawafunga kisha nawapa dawa yao.

Unachosema ni kweli, ila hujui hali anayopitia yule anaezomewa, mzee ushawahi kusimama hata darasani kusolve swali ukawa unazomewa? Lengo la mashabiki ni kukutoa uwanjani, sasa ukiwafunga unawanyamazisha midomo.

Inakatazwa kufanya hivyo kwa usalama, sababu mashabiki ni wengi wakikereka na kuamua kulianzisha itakuwa hatari saana.
 
Wanaozomea huwa hawaoni kama na wao wanafanya shambulizi la kisaikolojia
 
Mimi nilipendaga ile battle yake na Diego Simeone kwenye UCL wakati akiwa Juventus.

Atletico waliposhinda 2-0 kwao Diego akamfanyia Ronaldo hayahaya ya kwenye video, marudiano Juve wakashinda Turin nae akalipiza.
Nilicheka mno!
Hivi wewe ni KE kweli? Mbona umeelezea story kubwa hiyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom