roma

Ibrahim Mussa, commonly known as Roma Mkatoliki, is a Tanzanian artiste, political activist, and member of Rostam, a hip hop group from Tanzania.Aside from being a member of Rostam, he is also pursuing a solo career. Some of his hit releases include Anaitwa Roma, Mkombozi, to mention a few.In 2007, Roma was kidnapped alongside other artistes at the studio. An incident that fans claimed it was staged for popularity.
  1. Andazi! Kwanini mtu achague andazi?

    Katika hali ya kawaida ni ajabu kwa mtu kuamua kuthaminisha andazi na mtu au taasisi. Hata hivyo, kama ambavyo Sheria ya Sababu na Athari (Cause and Effect Law) ya Aristotle (384–322 BC) inavyoeleza; kila kitu hutokea kwa sababu na kila athari huwa na sababu maalumu. Aristotle anaona kuwa...
  2. B

    Na unakuta hata sisi tunaoonewa na kuwanenea mabaya watu hao, hata sisi hatujakamilika pia ( Roma )

    wanaotutendea mabaya, wanaotutesa, wanaotuua,wanaotuibia, wanaotudhulumu haki zetu, wanaotufunga bila hatia….. Upande wa pili wa shilingi watu hao hao wanawatendea mema watu wengine, wanasaidia yatima, wanawawezesha wajane, wanajenga nyumba za ibada na kutoa sadaka zinazoendesha nyumba hizo...
  3. D

    Roma na wamitego nani mkali

    Wajumbe  hawa jamaa mnawaonaje ukizingatia wanakimbiza maudhui zenye mrengo unaofanana.Unadhani nani anameno makali kuliko mwenzie kimaudhui?
  4. Usia wa Roma Mkatoliki kwa wanaojiandaa kuoa

    Salute comrades! Hitmaker wa NIPENI MAUA YANGU, Roma Zimbabwe kupitia ukurasa wake wa Instagram amewausia vijana wa kiume wanaojiandaa kuoa kwamba wasikurupuke tu kufanya maamuzi ya kuoa bali wawafanyie wachumba wao " vetting" ya kutosha. Roma amesema kabla hujamuoa huyo mchumba wako na...
  5. Hivi Roma aliposema mawingu kwenye derby ya Paka na Panya alimaanisha Clouds FM?

    Mzee mbabe untouchable mkali ka Mugabe, Hakuiva na Manji wenye ganji akasema akabwe, Panya wakafyata mkia wakapotea wenye ngebe, Acha kumpinga ukimsema unanyea debe, Hakua mlevi wa uhuru kunyata kama kalewa, Labda kama madaraka yanalevya alolevyewa, Sometimes hivi vyeo vina hangover, Lake gang...
  6. Album ya Roma nipeni maua yangu Ina nyimbo nzuri sana zenye ujumbe mzuri

    Kwa wale wapenda nyimbo za wana harakati Roma mkatoliki katupa album kalii sana kuanzia track number 1 hadi 15 zote ni nzuri sana roma mkatoliki pokea maua yako je ipi ni track ipi umeipenda zaidi? Mimi yangu ni track number 11 derby paka na panya
  7. Wasanii wa HipHop Tanzania wana kitu Cha kujifunza kwa Roma Mkatoliki

    Mashairi ya nyimbo za Roma mkatoliki yanafikilisha Sanaa 😊 Ukipata muda zisikilize
  8. Roma Mkatoliki amemaanisha nini kwenye huu mstari

    Msanii Roma ameachia kionjo cha wimbo wake mpya na moja ya mstari wa huo wimbo ni huu mstari anaosema "Kwani aliyemteka Roma, si ndio aliyevamia Mawingu''. Wajuzi wa mambo amemaanisha nini? Written by Mjanja M1 ✍️
  9. Hii video ameipost msanii Roma. Je, una maoni gani kuihusu?

    Ila huyu mzee sijui mzee nani maana kanyooka kama rula😁 Mwishoni anakuambia "🗣️ Aaaah Chakula safiii, Chakula safiii Aaah Chakula safi kabisaaa😁"
  10. Historia fupi ya mji wa ROMA

    KWANINI MJI ULE ULIITWA ROMA? Roma ni mji mkuu wa nchi ya Italy, ni mji wenye historia ndefu duniani... Kwa maana historia yoyote ya dunia haitokamilika kama hujaizungumzia au kutaja Neno Roma. Roma imeanza kukaliwa na watu kwa zaidi ya miaka elfu 2 iliyopita. Ni mji wa 3 kwa umaarufu katika...
  11. Z

    Ningekuwa na karama ya kulaani ningelilaani Italia (Roma) kwa kusababisha usumbufu kati ya Myahudi na Muislam

    The siege of Jerusalem of 70 CE was the decisive event of the First Jewish–Roman War (66–73 CE), in which the Roman army led by future emperor Titus besieged Jerusalem, the center of Jewish rebel resistance in the Roman province of Judaea. Following a five-month siege, the Romans destroyed the...
  12. Roma Mkatoliki na Nay wa Mitego, ni muda wenu sasa kuwa wabunge/viongozi ndani ya nchi hii

    Wasalaam Wakuu.............!!! Moja kati ya mambo ambayo uwa naumia sana kuyaona kwenye hii nchi ni kuwaona watu wasio staili kukalia nafasi za wale wanao staili Ukienda Bungeni kuna watu mpaka unashangaa mwenyewe,alitumia mbinu gani mpaka akaupata ubunge? Mtu Kama Babu Tale,Mwana FA,Michael...
  13. Klabu ya AS Roma yamfukuza kazi Jose Mourinho kutokana na matokeo mabovu

    Kibarua cha Kocha Jose Mourinho kimeota nyasi katika Klabu ya AS Roma kutokana na matokeo mabaya mfululizo ya timu hiyo msimu huu katika Ligi Kuu ya Italia ‘SerieA’. Kocha huyo wa zamani wa Chelsea na Manchester United ameshinda mechi 68 kati ya 138 lakini hivi karibuni amekuwa akitolewa nje ya...
  14. Ubaguzi washika kasi ndani ya kanisa la Roma kama wa Afrika tufanye nini?

    Hapa ni video clip mbili zikionesha ubaguzi wa wazi kabsa kwa wenzetu ngozi nyeusi. NB: Mimi Sina dini maana dini tuliletewa tu. ♥️I love this becose we African are practicing other religions retuals. Christianity us not for us. Black man wake up.
  15. Chelsea yakubali kumuachia Lukaku kwenda Roma kwa mkopo

    Mshambuliaji huyo raia wa Ubelgiji anatarajiwa kutua Roma kwa mkopo wa Pauni Milioni akiungana na kocha Jose Mourinho waliyewahi kufanya kazi pamoja miaka kadhaa iliyopita. Kukamilisha usajili huo, Chelsea imekubali Pauni Milioni 5 badala ya 8 iliyotaka awali ili kumruhu Lukaku (30) kwa mkopo...
  16. Roma Mkatoliki – Tupeni Chetu

    Today, the esteemed Roma Mkatoliki graces us with his triumphant return, presenting his latest musical masterpiece titled "Tupeni Chetu."
  17. Tupeni Chetu - Roma Mkatoliki

    Ijumaa ya leo tarehe 18/08/2023 Msanii maarufu kwenye nyimbo zinazogusa maisha halisi ya Watanzania, Roma Mkatoliki ataachia wimbo wake uuitwao “Tupeni Chetu.” Wimbo huu utagusia suala zima la bandari ambalo ndio jambo linalojadiliwa zaidi hapa nchini kwa sasa. Kaa mkao wa kutega sikio muda...
  18. Roma naye amkataa Nay wa Mitego

    Roma kwenye account yake ya Twitter ameandika haya #YAH: SIHUSIKI KWENYE HILI. Kwenu @BasataTanzania Husika Na Kichwa Cha Habari Hapo Juu, Huyu Kijana NAY Ni Muongo Sana, Mimi Sijamtumia Kitu Chochote Wala Sijahusika Kwenye Wimbo Wake Huo, Kwanza Hata Namba Yake Ya Simu Sina, Ananisingizia Na...
  19. Roma naye amkataa nay wa mitego.

    Habari Wanajf , Roma kwenye account yake ya Twitter ameandika haya kuhusu nay wa mitego. Kukanusha kwamba amemsaidia nay wa mitego baadhi ya mistari kwenye wimbo wake wa "amkeni* "#YAH: SIHUSIKI KWENYE HILI. Kwenu @BasataTanzania Husika Na Kichwa Cha Habari Hapo Juu, Huyu Kijana NAY Ni Muongo...
  20. Nay na Roma wapewe maua yao

    Hawa jamaa wamejitoa mhanga haswa maana kwa Africa ukiwa mkweli wewe ni adui. Hawa jamaa wamekuwa wakweli sana katika kufumua maovu na uchafu unaifanywa na hawa wachumia tumbo. Hio ndio maana halisi ya sanaa. Wakati wasanii wengine wamegeuka machawa. But Africa ukijifanya mtetezi wa wanyonge...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…