Roma naye amkataa nay wa mitego.

hermanthegreat

JF-Expert Member
Mar 2, 2021
853
2,037
Habari Wanajf ,
Roma kwenye account yake ya Twitter ameandika haya kuhusu nay wa mitego. Kukanusha kwamba amemsaidia nay wa mitego baadhi ya mistari kwenye wimbo wake wa "amkeni*

"#YAH: SIHUSIKI KWENYE HILI.

Kwenu @BasataTanzania Husika Na Kichwa Cha Habari Hapo Juu, Huyu Kijana NAY Ni Muongo Sana, Mimi Sijamtumia Kitu Chochote Wala Sijahusika Kwenye Wimbo Wake Huo, Kwanza Hata Namba Yake Ya Simu Sina, Ananisingizia Na Sijapenda!! Mimi Ni Kijana Muadilifu Sana NA MNALIJUA HILO @BasataTanzania

Naipenda Sana Nchi Yangu, Zidumu Fikra Za Mwenyekiti Na Kazi Iendelee……!!

#NB Akija Hiyo Jumatatu, Malizaneni Naye PekeYake, Mimi Nina Familia Na Watoto Wananitegemea Kupitia Mziki, Sitaki HekaHeka!!"
Kwanza Mimi Urafiki Na Mtu FreeMason Wapi Na Wapi? @BasataTanzania Hata Nyie Hamuoni!!?""
Karibu kwa maoniu
Screenshot_20230730-202959.png
 
Mbona roma anakuwa muoga kindezi hivyo? Huo wimbo ingependeza zaidi wafanye collabo au remix na yeye atupie mawe yake humo. Kijana amekuwa muoga sana tangu lile sakata lake la kutekwa, anyway, anawapoteza mashabiki wake kimtindo
 
Habari Wanajf ,
Roma kwenye account yake ya Twitter ameandika haya kuhusu nay wa mitego. Kukanusha kwamba amemsaidia nay wa mitego baadhi ya mistari kwenye wimbo wake wa "amkeni*

"#YAH: SIHUSIKI KWENYE HILI.

Kwenu @BasataTanzania Husika Na Kichwa Cha Habari Hapo Juu, Huyu Kijana NAY Ni Muongo Sana, Mimi Sijamtumia Kitu Chochote Wala Sijahusika Kwenye Wimbo Wake Huo, Kwanza Hata Namba Yake Ya Simu Sina, Ananisingizia Na Sijapenda!! Mimi Ni Kijana Muadilifu Sana NA MNALIJUA HILO @BasataTanzania

Naipenda Sana Nchi Yangu, Zidumu Fikra Za Mwenyekiti Na Kazi Iendelee……!!

#NB Akija Hiyo Jumatatu, Malizaneni Naye PekeYake, Mimi Nina Familia Na Watoto Wananitegemea Kupitia Mziki, Sitaki HekaHeka!!"
Kwanza Mimi Urafiki Na Mtu FreeMason Wapi Na Wapi? @BasataTanzania Hata Nyie Hamuoni!!?""
Karibu kwa maoniu
Roma Huwa anakosoa ila anatumia Sanaa hawezi imba pumba,huyo nay ni bangi anazopewa na kina Lisu ndio zimemharibia
 
Back
Top Bottom