D Didododi JF-Expert Member Joined Jul 21, 2023 Posts 354 Reaction score 495 Sep 24, 2024 #1 Wajumbe hawa jamaa mnawaonaje ukizingatia wanakimbiza maudhui zenye mrengo unaofanana.Unadhani nani anameno makali kuliko mwenzie kimaudhui?
Wajumbe hawa jamaa mnawaonaje ukizingatia wanakimbiza maudhui zenye mrengo unaofanana.Unadhani nani anameno makali kuliko mwenzie kimaudhui?
begi la pesa JF-Expert Member Joined Apr 11, 2019 Posts 1,834 Reaction score 2,875 Sep 24, 2024 #2 Nay wamitego sauti ya mamulaka