roho

Rohō Yukio (born March 9, 1980 as Soslan Feliksovich Boradzov, Russian: Сослан Феликсович Борадзов, in Vladikavkaz, Republic of North Ossetia–Alania in the Russian Federation) is a former sumo wrestler. The highest rank he achieved was komusubi. His younger brother is also a former sumo wrestler, under the name of Hakurozan. In September 2008 both were banned from the sport for life after testing positive for cannabis.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni mwana Simba SC mwenye roho mbaya na ya kichawi ndiyo hatolifurahia 'Classic Goal' la Stephane Aziz Ki

    Kama mwana Simba SC ni goli ambalo limeniuma kwani amesawazisha ila kiuanamichezo na hasa nikiwa kama mdau wa soka GENTAMYCINE, nisiwe mnafiki na naomba niseme tu kuwa ni goli zuri hakuna mfano. Kwani alijiseti vyema kabisa na kunipigia 'muwa' wa maana ulioenda kule kule anakotagia mayai ndege...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Jihadhari, unataka kumuoa nani? Kuna watu wana roho ya mauti ukigusa tu, mauti inakufuata

    Roho ya mauti ni mbaya sana, kabla hujaingia kwenye mahusiano na mtu, jitahidi umjue. Jua atleast mahusiano yake matatu nyuma yaliishaje, yalikuwaje? Kuna mtu ukiingia naye tu kwenye mahusiano, unaanza kuugua, kazi zinaharibika, biashara zinakufa, ufukara unaingia na mambo yote kuyumba. Hebu...
  3. Kalpana

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma (General Hospital) angalieni roho za watu

    Kuna hali ya sintofahamu hapa kwenye hii hospital sijui ni uzembe wa makusudi au hospital imekabidhiwa wanafunzi Case 1: kuna ajali ilitokea ya magari yaligongana na ktk hyo ajali kuna watu naowafahamu, wakapelekwa general abiria mmoja kati ya waliopata ajali alifika hapo hospital akiwa...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni ukweli unaoniuma ila acha tu niuseme Roho yangu ipoe

    Kwa miaka Mitatu hadi Mitano ijayo hakutatokea Mshambuliaji ambaye ni Complete Package katika hii NBC Premier League kama Fiston Kalala Mayele GENTAMYCINE. Namkubali mno na Ninampenda.
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini binadamu yeyote akikata roho (akifa) tu ni lazima atoe haja kubwa hata kama ni kiduchu?

    Nangoja kwa hamu sana kusoma maoni yenu ya kitaalamu enyi wajuvi wa JamiiForums, kwani nimedokezwa tendo la mwanadamu kujisaidia haja kubwa Wazaramo wanasema kuukweka) pale tu akikata roho ni la kisayansi zaidi. Hivyo nitafurahi nikielimishwa juu ya hili.
  6. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Kutaka sifa kungenitoa roho!

    Uvulana ni shida Sana! Ilikuwa mida ya jioni muda ambao maji ya bahari huwa sometime yamejaa vizuri sana na kukufanya uvutiwe kuogelea. Ilikuwa kawaida yetu siku moja moja kupenda kuogelea na kuinjoy beach. Ilikuwa miaka ya 1998/99 huko kivukoni maeneo ya Kigamboni, tukiwa watoto wa kota wa...
  7. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni paka mwenye roho ngumu, ila kiuhalisia amekufa!

    Nianze Kwa kutaja miamba iliyoondoka chadema na sifa zao na hawakutakiwa kutoka! David silinde, huyu jamaa alikuwa jemedari wa nyanda za kusini aliishika sana Tunduma, sijajua kwanini CHADEMA waliruhusu mazingira yamuondoe! Dr. slaa, huyu aliishika nchi kisawa sawa, watu hawakuwa wanaogopa...
  8. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano gani kati ya washika dini sana na roho mbaya/ubinafsi? Maana ni kama hivi vitu havitengani!

    Kichwa cha mada kimejitosheleza, yaani kwa utafiti hawa watu machoni petu huonekana wema na wenye msaada mkubwa sana kwetu. Ila ukianza kuwa karibu nae ndio utagundua ni watu hatari sana kwenye maisha. Kwako anaweza onekana mwema sababu kilichowakutanisha ni suala la dini tu. Ila kwa wale...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

    Kuna muda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara. Nimewekeza Tsh. Million mia tatu(300m+), nimeanza biashara napata return ya 5m yaani million tano kwa mwezi. Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi. Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje!
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kumbe bila Naibu spika Zungu "miradi" ingekuwa imekwama leo hii? Tuna watawala wenye roho mbaya sana na wabinafsi

    Yaani kama kuna mazindiko yaliwekwa mahala nchi hii yakatolewe haraka, the country is rotten to the core IMEKUWA NCHI YA KINAFIKI SANA kujifanya ni ya upendo na haki lakini deep inside ni nchi ya watu wenye roho mbaya sana wanaotawala wenzao na tabasamu la kinafiki huku wakiwaangamiza...
  11. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Wanawake, hata kama mmetofautiana na waume zenu msiwaseme mbele za watu

    Peace be with you all, Weekend ya majuzi nilikua kiwanja flani ndani ya kitovu cha mji wa utalii Tanzania, nikiwa peke yangu katika kujipumzisha mwisho wa week. Ndani ya lounge ya hotel hii kilitokea kihoja kilichowastaajabisha wengi pale hotelini ila mimi sikushangaa maana nawajua wanamake na...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Masikini, wavivu na watu wenye roho mbaya walikuwa wakifurahia hatua za Magufuli kuturudisha kwenye UJAMAA

    Habari! Watu maskini, wajinga (waliokosa elimu), na wavivu ndio makundi ya watu waliokuwa wakifurahia harakati za Magufuli kutupeleka kwenye UJAMAA. Hata. UJAMAA hauwezi kufurahiwa na watu wenye bidii na vipawa katika utafutaji. Hata Wachina wanaukacha UJAMAA na kuanza kuishi kibepari, kila...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Mnaomchukia Rais Samia mna hoja au ni chuki tu?

    Moja kwa moja kwenye mada. Muna point kweli au ndio munafuata mkumbo tu, kwa sababu naona wengi wanasema eti maisha ni magumu ndio maana wanalaumu. Kwani lini yaliwahi kuwa mazuri? Tuanzie hapo kwanza.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ameondoka na roho ya baharia!

    Anaitwa Safina Diamond, ni slay queen na socialite wa Ghana. Ameshikiliwa na polisi kwa kumchoma visu zaidi ya mara30 shingoni na tumboni, na kumuua mpenzi wake ambaye alikuwa amesafiri siku chache kutoka Canada. Baada ya tukio aliutelekeza mwili wa mwanaume huyo ndani ya gari la mwanaume huyo...
  15. mama D

    JamiiForums Tanzania Hivi ni ujinga, wivu au ni roho mbaya wanandoa waliotengana kuwazuia waliokua wenza wao kuwa na wenza wengine?

    Nilisikitishwa sana na hili tukio lililomkuta kaka Sindato kwa kweli! Na hii sio kwa Sindato tuu. Inatokea kwa watu wengi wanaume kwa wanawake. Unakuta watu wameshashindwana na kuamua kuachana lakini mmoja wao anapoamua kuingia kwenye mahusiano mengine inakua vita. Tena wengine wanafikia hatua...
  16. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Watu wana roho mbaya, hawafikishi jina langu. Tutakuja kuonana wabaya

    Watu tunapambana huku na kule, tunajikusu tunatoa kwa ari kubwa kusaidia chama na serikali yetu majina yetu hamyapeleki, nimekwazika sana. Sijaona jina langu na pesa zangu mmekula. Watu tunapambana hivi halafu inakuwa ni wale wale tu. Why? Why lakini? Naandika haya nikiwa naumia sana. Hampeleki...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Nenga ana roho ngumu sana. Mimi siwezi kuachwa na mwanamke achumbiwe na mwingine, halafu baadaye anirudie nimuoe

    Hii inayoitwa "wedding" Ina somo kubwa kwa wanawake, wanaume na ndugu za maharusi. Nenga alimpenda Nandy kitambo sana, lakini ndugu wa Nandy walimtema na kumdisi Nenga kuwa ni mhuni na hana hela. Nandy akachumbiwa na Ruge Mutahaba ambaye bahati mbaya akaitwa na Mungu. Nenga akamrejea Nandy na...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Roho yangu imeumia kumuona Mugalu kwenye msafara

    Kiukweli that guy hana hata uchungu akikosa magoli huwa anatabasamu na kuendelea kutafuna jojo, he is a waste takataka kabisa Sasa naamini maneno kwamba ana mahusiano ya kimapenzi na kigogo wa kike, nilidhani angempisha manzoki au attacking midfielder anayeweza kupasua Inaboa sana huo ni mzigo...
  19. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Kwangu mimi huyu ndio mzamiaji mwenye roho ngumu kinoma, wengine wanangoja

    Habari zenu wana JF wenzangu. Ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu zangu mwaka 2005 mwishoni, mimi na madogo fulani wawili wa mtaani tulikuwa safarini tukielekea Kaburu. Mimi nikiwa kiongozi wa safari, tuliamua kupitia njia ya Malawi ambayo ndio nilikuwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wasiokula bia au kilevi wana roho mbaya sana. Ukiwa nao makazini au unapoishi kuwa makini

    Wengi ni watu wasiojiamini. Wakiwa makazini ni watu wa fitina na majungu. Wanaamini sana uchawi na ushirikina. Ukiwa nao mahala unaishi nao kuwa makini. Ukiwa nao mahala unafanya nao kazi kuwa makini. Hawafai kabisa
Back
Top Bottom